The Wakanda Panth3r
JF-Expert Member
- May 22, 2018
- 260
- 203
Na maisha yao yapoje? Au unatafsiri huo mshahara kwa maisha ya Tz?Unajua malipo yao yakoje huko?kipato cha mbunge wetu hapa TZ,Ulaya si lolote mkuu.
Ulaya kama brain ya mtu iko vizuri,kunalipa sana,lkn kama ni Lusinde au Milinga type hapafai.
Hapa kwetu vyeo ni vikubwa lkn kipato kidogo,tofauti kabisa na nchi za ulaya.
Utakuta mtu ni mbeba mabox tu huko ulaya lkn kipato chake hakilingani hata kidogo
na Afisa wa ngazi ya kati hapa kwetu.
Pili,sarafu yao iko juu sana tofauti na yetu....12mill etc za mbunge wa TZ ni pesa za
madafu kwa wenzetu