Tila-lila2
JF-Expert Member
- Oct 20, 2019
- 653
- 1,058
Enzi za Nyerere hamna mwaka ulipita bila nyongeza ya mshahara kwa wafanyakazi kufanyika. Inasemekana kuna wakati Nyerere mwenyewe aliwahi kujipunguzia mshahara kidogo lakini nyongeza ya kawaida ilifanyika. Sasa Tundu Lissu katika hotuba zako kumbuka sana kuendelea kuorodhesha yote mageni yaliyofanywa na JPM ili umsadie kwenye Kampeni zake.
Fanya hivyo Ndugu yangu ili kumsadia kuweka evidence wazi kuwa yeye amefanya mengi na mazuri ambayo hayakufanywa na watangulizi wake ambao hawakuwa na maono kama yake. Tafadhali ninakuomba usisahau kulisema hili na mengine mengi ambayo tutaendelea kukujuza.
Jana uliingia Shinyanga na ukaenda Kahama, Pls usisahau kuja na huku Kishapu, specifically hapa Idukilo, tena njia ya karibu ni kupitia Maganzo (tutaanza kukupokea kwa hapo). Ili ushuhudie na Mgodi wa Mwadui unavyoliwa na mabeberu ambao hawatakiwi na Serikali ya JPM.
Tila Lila - Idukilo - Kishapu -Shinyanga kwetu!