Tundu Lissu: I Am Coming Home

Tundu Lissu: I Am Coming Home

Watu wenyewe wanahangaikia kupata hiyo kodi ya pango, chakula, kulipa bili nk. halafu wahangaike na mtu mwingine, mzalendo feki aliyeamua kupaka matope nchi yake kwenye media za kimataifa
Akifika tu waandishi wahabari wanatakiwa wamuhoji amepata faida gani kuropoa ropoka kwake,na baada ya kukubali kuwa shoga wamemwahidi Nini?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna mahali nimesema kuwa hana haki ya kuishi or kuwa Lissu ni Mhutu???
Wapare wana kamsemo kana sema...
Wanyea he mbango mbua teina chi.. (.. Amenyea kwenye pango na mvua haijakatika)
Lissu ana haki ya kuishi hapa Tanzania maana ni mwana nchi halali na siyo muhutu

In God we Trust

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nakuhakikishia hachukui hata wiki tatu, atakuwa maiti na kuzikwa kwa aibu. Mwambie akaribie. Atatukuta

Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi nyie maccm mnataka nini hasa Lissu afanye? Alipokuwa anazungumza huko Masilingi na wengine wote kelele yenu Lissu rudi usemee nyumbani huko umachafua nchi. Leo amataka kurudi eti kaa hukohuko! Kwani kwao kule ?
Tayari mumechangamyikiwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwenye kauli ya mwisho juu ya mambo yanayomhusu Lissu ni Lissu mwenyewe.
Kama kasema atarudi nyumbani hakuna atakayemzuia kurudi nyumbani, iwe ni kwa vitisho au kwa kutimiza yaliyopangwa juu yake akisharudi.
 
Hivi nyie maccm mnataka nini hasa Lissu afanye? Alipokuwa anazungumza huko Masilingi na wengine wote kelele yenu Lissu rudi usemee nyumbani huko umachafua nchi. Leo amataka kurudi eti kaa hukohuko! Kwani kwao kule ?
Tayari mumechangamyikiwa

Sent using Jamii Forums mobile app
Ameshachafua nchi kwa kiasi kikubwa, alitakiwa arudi awaombe msamaha aliowakosea na hata kuomba ulinzi kwa serikali, siyo kupayukapayuka pasipo kushirikisha ubongo
 
Mnafikiri akirudi watamuhurumia hiyo haipo aje ajibu kesi yake pamoja na dreva wake,risasi 38 harafu dreva haikumpata hata moja wakati walikaa karibu ,haya Ni maajabu ya firauni

Sent using Jamii Forums mobile app
Anyepaswa kutoa majibu siyo Lisu wala dereva wake. Ni serikali, kumbuka hii Ni kesi ya jinai, 'so the burden of proof lies with the government'. Ila kwa kuwa wewe na wenzio akina Kangi Lugola 'you are acting with impunity,' basi endeleeni!!!
 
Sishauri wala siafiki.

usalama wake bdo ni mdogo tanzania.

afya yake ni muhimu kwanza.
ushauri wangu akae kwanza huko mpaka awamu hi itoke
mkuu, amembiwa aje kusaidia uchunguzi huku..hahahaha..maana ameukwamisha! na akifanya mchezo atapokelewa central , atueleze nani aliyezipiga zile risasi...usikute ni yeye lisu ndio muhusika mkuu wa tukio la kushambuiwa mwanashera mkuu wa TLS na kiongozi wa kambi ya upinzani bungeni..hahahahahaha...oyoooooooooo
 
Who cares, arudi asirudi hainiongezei kitu, sana sana yeye ndo atafaidika kurudi kwake kutokana na kukosa makazi huko aliko na kuishia kupigwa baridi
Mwenzako analala kwenya nyumba zenye central heating systems wewe unasema anapigwa na baridi kwa kukosa makazi!
 
Sishauri wala siafiki.

usalama wake bdo ni mdogo tanzania.

afya yake ni muhimu kwanza.
ushauri wangu akae kwanza huko mpaka awamu hi itoke
Mkuu yeye mwenyewe ndo anajihatarishia usalama wake.

Hivi mkuu kwa akili ya kawaida analofanya tundu lissu huku akiwa na familia nyuma inamtegemea ni sawa?
Hivi hajui kama watoto wake na familia ataiacha vipi huko nyuma?
Ebu ona juzi tu yupo hai anaomba msaada watoto wasome vipi angekufa ingekuwaje mkuu?

Hivi hajui kama angepigwa risasi na akafa maisha yangeendelea kuwa hivi hivi yalivyo na yeye teyari angeshakufa na kusahaulika huku watoto na familia ambayo inamtegemea wangebaki wanahangaika?

Tundu LISU anaweza sema kwamba anawatumikia watanzania dhidi ya udhalimu lakini ajue kwamba haitendei haki familia yake.

Unapokuwa mwanaharakati ambae huna unalojali katika uhai wako huwenda ukawa unawatetea watanzania lakini ukawa unawakandamiza wanao na kupelekea kukosa haki zao.wakati haki ambazo unatakiwa kutimiza ni zile za watu wa karibu kwanza.

Hivi unadhani familia ya lissu inafurahia kukosa misaasa ya lissu eti kwa sababu anatibiwa matatizo ambayo yametokana na kuipigania nchi?
Familia haipendezwi na anachokifanya na familia inaumia wala haina raha.tundu lissu namnasihi asome alama za nyakati.

Awe na akili ya kuangalia lipi akilisema litakuwa na madhara makubwa kuliko faidaa,akiona jambo linaweza kumdhuru uhai wake kwa mgongo wa kutetea haki basi ni bora akavumilia jambo hilo asiliseme,hata hata kama atalisema na uhai ukapotea basi atakuwa ameacha familis kubwa inamtegemea nyuma yake.

Lissu anajua kabisa kwamba anayoyasema yanazidisha uhatari juu ya uhai wake na hivyo huwenda kama hao waliokusudia kummaliza mwanzo watapata hasira zaidi na hapo kutafta mbadala ambao watahakikisha haponi tena kwa njia yeyote.

Awe makini sana TL.
 
Back
Top Bottom