Tundu Lissu: I Am Coming Home

Tundu Lissu: I Am Coming Home

Kama wewe unavyo omba buku 7 hapo kwa wakubwa zako
Vipi daktar kashamruhusu kurudi haaahaaahaaahaa
Shikamoo Njaa mamaeeeee

Sent using Jamii Forums mobile app
tapatalk_1549972891359.jpeg


In God we Trust
 
Akirudi Lissu chochote mtakachpmfanya basi dunia nzima itajua kwasababu sahizi ulimwengu mzima unamjua.

Karibu Home MZEE baba tuendeleze mapambano
Dunia dont bother juu ya maisha ya mweusi mmoja.... Kama ambavyo baada ya ziara na kuropoka hakuna impact yoyote
 
Lisu alipigwa risasi 38, 16 zikimwingia mwilini. Amehangaika kwa matibabu, watu wema wakichanga. Amepata nafuu halafu Kuna mijitu inatangaza hadharani kuwa akirudi haitammis. Hiki Ni kiwango Cha juu Cha impunity.
Binafsi watu wa aina hii sitawasamehe Hadi naenda kaburini. Naomba Watanzania wenzangu tuwe tayari kutomsamehe yeyote atakayemdhuru Lisu safari hii.
 
Kurudi atarudi tu, kama umechukia itabidi umeze wembe.
Who cares, arudi asirudi hainiongezei kitu, sana sana yeye ndo atafaidika kurudi kwake kutokana na kukosa makazi huko aliko na kuishia kupigwa baridi
 
Mtu mweusi ni kiumbe cha ajabu sana, kwa akili kama zako hizi ndio maana Trump anatuzarau
Yaani Trump ndo unamchukulia kama role model wako, haishangazi kuona mpo tayari kuwa hata mashoga ili mradi kuwafurahisha wazungu
 
Wazungu wamemtumia kwenye media zao wamemalza hawana kazi nae tena.
Alitaka aendelee japo kukaa ulaya wabongo wamegoma kumchangia hela ya pango, chakula na ada za watoto.
Hana namna inabid arudi tu😂😂😂😂
Watu wenyewe wanahangaikia kupata hiyo kodi ya pango, chakula, kulipa bili nk. halafu wahangaike na mtu mwingine, mzalendo feki aliyeamua kupaka matope nchi yake kwenye media za kimataifa
 
Back
Top Bottom