Atarejea kwa nguvu ya mabeberu, siyo? ili aendelee kusimamia maslahi yao kwenye madini. mwanasheria nguliNakuomba atakaporejea usibadirishe ID na gia.
Atarejea kwa nguvu ya mabeberu, siyo? ili aendelee kusimamia maslahi yao kwenye madini. mwanasheria nguliNakuomba atakaporejea usibadirishe ID na gia.
Mammae Israeli mtoa roho huyu?Nakuhakikishia hachukui hata wiki tatu, atakuwa maiti na kuzikwa kwa aibu. Mwambie akaribie. Atatukuta
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimeshindwa kuelewa maana naona LB7 wanatamba balaaKwani Makamanda wako likizo leo?
Maana siwaoni kwenye uzi huu!
Home wapi, huku ambapo hawafai kuishi binadamu? akae hukohuko kwenye pepo aendelee kusaidiwa pesa ya chakula, pango na ada
Home wapi, huku ambapo hawafai kuishi binadamu? akae hukohuko kwenye pepo aendelee kusaidiwa pesa ya chakula, pango na ada
Mbona umeongea kwa jazba,
Lazima arudi. Ili unywe sumu vizuri...
Lissu ana haki ya kuishi hapa Tanzania maana ni mwana nchi halali na siyo muhutu
Basi kama hutaki kusikia sauti yake itazame picha yake naona utamchukia jiwe wakokweli haya ni mahaba niue kwa lissu, sasa hapo kuna nini sasa kimeongelewa zaidi kusikiliza wimbo? au unadhani kila mtu humu ni rika lako?
Arudi tena mashenzini ambako hakufai kuishi watu, ake hukohuko wanapokaa wastaarabu kama yeye, genius. Pathetic!!
Mtu anayepigania haki za watanzania hawezi kuwasaidia mabeberu ili waendelee kupora rasilimali za nchi, anapiga kabobo mali zetu zilizoko ughaibuni zizuiliwe. eti mzalendoKama taifa mnasaidiwa na hayo mataifa ya nje kuwezesha bajeti yenu angalau itekelezwe kwa 40%
Unamshangaaje mtu binafsi tena mpigania haki za watanzania kusaidiwa?
In God we Trust
Akirudi Lissu chochote mtakachpmfanya basi dunia nzima itajua kwasababu sahizi ulimwengu mzima unamjua.
Karibu Home MZEE baba tuendeleze mapambano
Kuna wizi uliofanyika zaidi ya kutumia 12bills kwenye chaguzi 3 za marudio? Wacha kujitoa ufahamu weweMtu anayepigania haki za watanzania hawezi kuwasaidia mabeberu ili waendelee kupora rasilimali za nchi, anapiga kabobo mali zetu zilizoko ughaibuni zizuiliwe. eti mzalendo
Wewe kweli mmawia, hii ni jamii ya wakimbizi kutoka msumbiji walioko kule mtwara wanaochukuliwa kama watu duni. Yaani unajivunia ulinzi wa kibinadamu? angekuwa anapewa huo ulinzi angeomba pesa ya kula, pango na ada za watoto? acheni kumpoteza mwenzenu maboyaKwanza kwa sasa Lissu analindwa kuliko hata jiwe maana analindwa na mashirika makubwa ya kijasusiView attachment 1026554
In God we Trust
Kwa hiyo inahalalisha mabeberu yaje yajichotee kwa msaada wa huyo kilaza wenuKuna wizi uliofanyika zaidi ya kutumia 12bills kwenye chaguzi 3 za marudio? Wacha kujitoa ufahamu wewe
In God we Trust
Kwa hiyo inahalalisha mabeberu yaje yajichotee kwa msaada wa huyo kilaza wenu
Ukisoma hiyo picha lazima ufunge domo lakoKwa hiyo inahalalisha mabeberu yaje yajichotee kwa msaada wa huyo kilaza wenu
Wewe jamaa utakuwa kiazi kabisa, hujui benki ya dunia inachangiwa na nchi wanachama ikiwemo Tanzania, unaona ajabu nchi kukopa kwenye taasisi ya fedha ya kimataifa ambayo yenyewe ni mwanachamaWakati mnawaomba wawasidie kumalizia au kuanza miradi mnawaita waheshimiwa na kuwapigia magotiView attachment 1026557
In God we Trust
Wewe jamaa utakuwa kiazi kabisa, hujui benki ya dunia inachangiwa na nchi wanachama ikiwemo Tanzania, unaona ajabu nchi kukopa kwenye taasisi ya fedha ya kimataifa ambayo yenyewe ni mwanachama
Sasa akae huko wakati kodi imeshaishaSishauri wala siafiki.
usalama wake bdo ni mdogo tanzania.
afya yake ni muhimu kwanza.
ushauri wangu akae kwanza huko mpaka awamu hi itoke