Tundu Lissu: I Am Coming Home

Tundu Lissu: I Am Coming Home

mkuu tatixo letu tunaziamini sana katiba kuliko tunavyoamini uhalisia.

Hivi tundu lissu sasahivi kati ya katiba ambayo anaisimamia na uhalisia kipi kinafanya haya yaliyotokea yazidi kutokea?

Katiba imeandikwa na kuwekwa pale na watu ambao pengine hata wenyewe hawaifuati,katiba haina nguvu isipokuwa inaposimamiwa na viongozi wanaofuata hiyo katiba.

Inapotokea kiongozi haoni kama katiba inaweza kumuongoza alafu mtu akataka amkosoe raisi kupitia katiba hiyo hiyo ambayo yeyr haifuati matokeo yake huwa ni mabaya sana.

Namsikitikia sana tunDu lissu kwa kuishi na katiba kuliko anavyoishi na uhalisia.anazidi kujiharibia.wengi sana ambao wanakaaga kimya na kutokuzungumza kila neno wanaona mbali sana.wanaziona familia zao baada ya wao kuondoka namna gani zitateseka,wanajiona wenyewe baada ya kuongea namna ambavyo watateseka,wanawaona watoto wao wakikosa matunzo na hata kukosa ada za shule,wakiyafikiria hayo yanawafanya wachunge sana midomo yao na kuchunguza wanachotaka kukisema kabla hata ya kukisema.

TUNDU LISSU ANATAKIWA AJIFUNZE UHALISIA SIO KATIBA.ajifunze kwa mujibu wa mazingira,angekuwa sasa hivi ilikuwa wameshamsahau na angekuwa ameacha familia kubwa ambayo inamtegemea yeye.

Uhalisia.
Ni ajabu kuishi katika nchi ya kidemokrasia, yenye viongozi wa kuchaguliwa, ambako mpinzani akifanya kazi yake ya kuikosoa Serikali kwa mujibu Katiba na sheria, anapigwa. risasi, halafu anazuiliwa fedha za matibabu, Kisha hatakiwi hata kufumbua kinywa kueleza kilichomsibu!!! Tumeufikia ufidhuli wa kiwango cha lami. Kweli "mkataa pema pabaya panamwita!!!"
 
Ameshanyea kambi
Hamna jipya la kuwafanya, mna aibu mpaka basi! Watu na uwawa kwa risasi moja na bila kukusudia, nyinyi kwa dhamira kabisa, kwa kutumia bunduki za kijeshi na wataallam wabobezi na kwa risasi kibao jamaa bado anawananga. Tubuni huyu ni kipenzi cha Mungu na dunia nzima. Inawauma sana.
 
Mkuu yeye mwenyewe ndo anajihatarishia usalama wake.

Hivi mkuu kwa akili ya kawaida analofanya tundu lissu huku akiwa na familia nyuma inamtegemea ni sawa?
Hivi hajui kama watoto wake na familia ataiacha vipi huko nyuma?
Ebu ona juzi tu yupo hai anaomba msaada watoto wasome vipi angekufa ingekuwaje mkuu?

Hivi hajui kama angepigwa risasi na akafa maisha yangeendelea kuwa hivi hivi yalivyo na yeye teyari angeshakufa na kusahaulika huku watoto na familia ambayo inamtegemea wangebaki wanahangaika?

Tundu LISU anaweza sema kwamba anawatumikia watanzania dhidi ya udhalimu lakini ajue kwamba haitendei haki familia yake.

Unapokuwa mwanaharakati ambae huna unalojali katika uhai wako huwenda ukawa unawatetea watanzania lakini ukawa unawakandamiza wanao na kupelekea kukosa haki zao.wakati haki ambazo unatakiwa kutimiza ni zile za watu wa karibu kwanza.

Hivi unadhani familia ya lissu inafurahia kukosa misaasa ya lissu eti kwa sababu anatibiwa matatizo ambayo yametokana na kuipigania nchi?
Familia haipendezwi na anachokifanya na familia inaumia wala haina raha.tundu lissu namnasihi asome alama za nyakati.

Awe na akili ya kuangalia lipi akilisema litakuwa na madhara makubwa kuliko faidaa,akiona jambo linaweza kumdhuru uhai wake kwa mgongo wa kutetea haki basi ni bora akavumilia jambo hilo asiliseme,hata hata kama atalisema na uhai ukapotea basi atakuwa ameacha familis kubwa inamtegemea nyuma yake.

Lissu anajua kabisa kwamba anayoyasema yanazidisha uhatari juu ya uhai wake na hivyo huwenda kama hao waliokusudia kummaliza mwanzo watapata hasira zaidi na hapo kutafta mbadala ambao watahakikisha haponi tena kwa njia yeyote.

Awe makini sana TL.
Yeye anajua kila kitu hawezi kukuelewa, hizo haki anazopigania watanzania ndo hizi za kuwatetea wazungu ili waendelee kujichotea madini na kushawishi kukamatwa mali za nchi zilizoko nje?
 
Hamna jipya la kuwafanya, mna aibu mpaka basi! Watu na uwawa kwa risasi moja na bila kukusudia, nyinyi kwa dhamira kabisa, kwa kutumia bunduki za kijeshi na wataallam wabobezi na kwa risasi kibao jamaa bado anawananga. Tubuni huyu ni kipenzi cha Mungu na dunia nzima. Inawauma sana.
Tangu lini Mungu huyu ninayemwabudu akakubali ushoga? tatizo lenu hamjielewi hao watu ni devil worshipers
 
Tangu lini Mungu huyu ninayemwabudu akakubali ushoga? tatizo lenu hamjielewi hao watu ni devil worshipers
Kwani mashoga wamekuwepo baada ya jaribio lenu lililoshindwa la kumuua Mhe. Tundu Lissu? Mashoga tunao, ni watanzania wenzetu kwenye miji yetu. Mnawajua, na mnawaona wakipita huku na kule , Mhe. Tundu Lissu hawawakataza msiwauwe kwa mawe mitaani. Sheria za nchi zipo, zinakataza kuingiliana kinyume cha maumbile, polisi wapo ndio wasimamizi wa sheria, wakamateni na kuwafikisha mahakamani. Mlichozuiwa kukifanya kuhusu mashoga ni nini? Alichowazuia Mhe. Tundu Lissu ni nini? Au ndio sababu iliyowafanya mmpige risasi? Acha chuki, mtendee haki binadamu mwenzio, mnapata faida gani kumzushia hata baada ya kushindwa kwenu? Watu wabaya nyinyi!!!!!!
 
Sishauri wala siafiki.

usalama wake bdo ni mdogo tanzania.

afya yake ni muhimu kwanza.
ushauri wangu akae kwanza huko mpaka awamu hi itoke
Uoga ni dhambi hakuna mafanikio yasiyo na taabu, ukombozi hupitia kwa mtu mmoja ikibidi hata damu kumwagika. Mimi naamini hawatamua. Alichofanya huko ulaya na marekani ni ulinzi kwakuwa jicho la kimataifa kwa sasa lipi Tz.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwani mashoga wamekuwepo baada ya jaribio lenu lililoshindwa la kumuua Mhe. Tundu Lissu? Mashoga tunao, ni watanzania wenzetu kwenye miji yetu. Mnawajua, na mnawaona wakipita huku na kule , Mhe. Tundu Lissu hawawakataza msiwauwe kwa mawe mitaani. Sheria za nchi zipo, zinakataza kuingiliana kinyume cha maumbile, polisi wapo ndio wasimamizi wa sheria, wakamateni na kuwafikisha mahakamani. Mlichozuiwa kukifanya kuhusu mashoga ni nini? Alichowazuia Mhe. Tundu Lissu ni nini? Au ndio sababu iliyowafanya mmpige risasi? Acha chuki, mtendee haki binadamu mwenzio, mnapata faida gani kumzushia hata baada ya kushindwa kwenu? Watu wabaya nyinyi!!!!!!
Unabisha nini wakati keshaunga mkono haki za mashoga, wazungu hawawezi kukuelewa usipotambua mashoga maana ndo ibada wanayofanya kwa mungu wao ibilisi
 
Sishauri wala siafiki.

usalama wake bdo ni mdogo tanzania.

afya yake ni muhimu kwanza.
ushauri wangu akae kwanza huko mpaka awamu hi itoke
Hahahaa atakula nini na kulala wapi wakati hata michango akiwaomba hamtoi. Yeye aje tu kwa kuwa Mbowe yupo mahabusu ila akitoka akimbie fasta.
 
Back
Top Bottom