Juuchini
JF-Expert Member
- Dec 10, 2018
- 1,925
- 2,756
- Thread starter
- #161
Unamshauri nini bwana Lisu?Kaongeza speed ya kuchangiwa pesa. Zitamsaidia kwa kujikimu yeye na familia yake
Sent using Jamii Forums mobile app
Unamshauri nini bwana Lisu?Kaongeza speed ya kuchangiwa pesa. Zitamsaidia kwa kujikimu yeye na familia yake
Sent using Jamii Forums mobile app
Arudi tu ili afe kabisa. Maana binafsi ana nikera sana Lisu. By the way ni mnafki sana Mbuzi mmoja ana tusumbua akili anataka kukubali ushoga nina wasi wasi nae sana hata huko anako pata huduma za bure wana mminya ndio maana anaona ni sawa kukubali ushoga maana hata hakunaga huduma za bure bure embu wazeni vizuri huyo jamaa yenu huko nani ana mhudumia bure kama sio ana tumikia Wanaume wezako huko. Fungukeni Lisu sio mtu huyo
Mkulima imekuwaje tena?Arudi tu ili afe kabisa. Maana binafsi ana nikera sana Lisu. By the way ni mnafki sana Mbuzi mmoja ana tusumbua akili anataka kukubali ushoga nina wasi wasi nae sana hata huko anako pata huduma za bure wana mminya ndio maana anaona ni sawa kukubali ushoga maana hata hakunaga huduma za bure bure embu wazeni vizuri huyo jamaa yenu huko nani ana mhudumia bure kama sio ana tumikia Wanaume wezako huko. Fungukeni Lisu sio mtu huyo
Sent from my SM-G900F using JamiiForums mobile app
Akirudi Lissu chochote mtakachpmfanya basi dunia nzima itajua kwasababu sahizi ulimwengu mzima unamjua.
Karibu Home MZEE baba tuendeleze mapambano
Kigeugeu huyo tundu
Piga chini
Ubongo umejaa ma painkillers anaongea upupu tu
KILA BINADAMU MWENYE AKILI YAKE TIMAMU ANAMKIMBIA TUNDU ANTIPAS LISSU KAMA UKOMA WALAHI
In Goddess Isis voice voice
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa hao chadema waliomshambulia mmewachukulia hatua gani? Na hao chadema walipokuwa wanamshambulia, wale askari wenye silaha wanayolinda hayo makazi ya viongozi walikuwa wameenda wapi? Au na hao askari ni chadema pia! Na kama ni jamaa zake walimshambulia, kwanini kulikuwa na marufuku kubwa sana kumhusu? Ilikuwa ni marufuku hata kumuombea apone. Kuna mengine mengi.Bana yule Mtu kama wange taka kumuua wange muua from the first sight siku ya attack!! Nina wasi wasi sana na we zake wa Chadema humo humo ili kutengeneza skendo mbovu tu. Ila kama wale wange taka kumuua wala was inge tumia risasi zote zile. Yule ange pigwa moja tu angekufa. Halaf eti mnasema amevamiwa kapigwa risasi zaidi ya 6 zote zime piga chini ya kioo kwanini wasingepiga usawa wa kioo Waka changua Kifua chote na Kichwani kama kweli walikua wana kusudia kumuua? Chadema mmejaa fiti na tupu na unafki tu.
Sent from my SM-G900F using JamiiForums mobile app
Kabisaaaaaa.... tena akirudi awe mpole asi tuletee fujo huku nchi yetu ina amani tuta msukumia mbali huko na wheelchair yake huko afe mbele ya macho ya wanafki wezakeMwehu huyo ndani ya wheelchair umfanye nini tena naye ni mfu tayari
Thamani yake ni zero
Sent using Jamii Forums mobile app
Kamanda gani yule mnafki hakuna anaye kubali ushoga a kama yeye sio Shoga. .. wewe malizia either yeye ni Shoga na wewe unae Mpa support ni shooAcheni nidhamu za uoga,mwacheni Kamanda arudi.
Satanist, no wonder umejaa chuki dhidi ya wanadamuKigeugeu huyo tundu
Piga chini
Ubongo umejaa ma painkillers anaongea upupu tu
KILA BINADAMU MWENYE AKILI YAKE TIMAMU ANAMKIMBIA TUNDU ANTIPAS LISSU KAMA UKOMA WALAHI
In Goddess Isis voice voice
Sent using Jamii Forums mobile app
Jana Jenerali Ulimwengu alisema kuwa anayeogopa kifo ni mjinga.Msikilize mwenyewe
Inasikitisha sanaView attachment 1026455
HujielewHome wapi, huku ambapo hawafai kuishi binadamu? akae hukohuko kwenye pepo aendelee kusaidiwa pesa ya chakula, pango na ada
Who cares, arudi asirudi hainiongezei kitu, sana sana yeye ndo atafaidika kurudi kwake kutokana na kukosa makazi huko aliko na kuishia kupigwa baridi
Inawauma sana mnapomuona akiwa hai, he is coming homeHome wapi, huku ambapo hawafai kuishi binadamu? akae hukohuko kwenye pepo aendelee kusaidiwa pesa ya chakula, pango na ada
Wewe una ji elewa nini unae mshabikia mtu mnafki! propaganda nyingi!! Tena ana unga mkono Ushoga. Na wewe upo kundi hilo niini?
tukikwambia wapige kwa mawe moshoga hadi wafe unadhani utaua wangapi?Wewe una ji elewa nini unae muunga mkono mtu mnafki, hana Siasa za mendeleo propaganda tu! Tena anae unga mkono Ushoga??
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio maana nimesema hujielew wapi aliposema tundu lisu kuwa anaunga mkono ushoga?nyie ndio mnatengenezewa propaganda kwakuwa ni wajinga..utabaki kuitwa mkulima hivyo hivyo...jitambueni upo gizaniWewe una ji elewa nini unae mshabikia mtu mnafki! propaganda nyingi!! Tena ana unga mkono Ushoga. Na wewe upo kundi hilo niini?
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni ajabu kuishi katika nchi ya kidemokrasia, yenye viongozi wa kuchaguliwa, ambako mpinzani akifanya kazi yake ya kuikosoa Serikali kwa mujibu Katiba na sheria, anapigwa. risasi, halafu anazuiliwa fedha za matibabu, Kisha hatakiwi hata kufumbua kinywa kueleza kilichomsibu!!! Tumeufikia ufidhuli wa kiwango cha lami. Kweli "mkataa pema pabaya panamwita!!!"Mkuu yeye mwenyewe ndo anajihatarishia usalama wake.
Hivi mkuu kwa akili ya kawaida analofanya tundu lissu huku akiwa na familia nyuma inamtegemea ni sawa?
Hivi hajui kama watoto wake na familia ataiacha vipi huko nyuma?
Ebu ona juzi tu yupo hai anaomba msaada watoto wasome vipi angekufa ingekuwaje mkuu?
Hivi hajui kama angepigwa risasi na akafa maisha yangeendelea kuwa hivi hivi yalivyo na yeye teyari angeshakufa na kusahaulika huku watoto na familia ambayo inamtegemea wangebaki wanahangaika?
Tundu LISU anaweza sema kwamba anawatumikia watanzania dhidi ya udhalimu lakini ajue kwamba haitendei haki familia yake.
Unapokuwa mwanaharakati ambae huna unalojali katika uhai wako huwenda ukawa unawatetea watanzania lakini ukawa unawakandamiza wanao na kupelekea kukosa haki zao.wakati haki ambazo unatakiwa kutimiza ni zile za watu wa karibu kwanza.
Hivi unadhani familia ya lissu inafurahia kukosa misaasa ya lissu eti kwa sababu anatibiwa matatizo ambayo yametokana na kuipigania nchi?
Familia haipendezwi na anachokifanya na familia inaumia wala haina raha.tundu lissu namnasihi asome alama za nyakati.
Awe na akili ya kuangalia lipi akilisema litakuwa na madhara makubwa kuliko faidaa,akiona jambo linaweza kumdhuru uhai wake kwa mgongo wa kutetea haki basi ni bora akavumilia jambo hilo asiliseme,hata hata kama atalisema na uhai ukapotea basi atakuwa ameacha familis kubwa inamtegemea nyuma yake.
Lissu anajua kabisa kwamba anayoyasema yanazidisha uhatari juu ya uhai wake na hivyo huwenda kama hao waliokusudia kummaliza mwanzo watapata hasira zaidi na hapo kutafta mbadala ambao watahakikisha haponi tena kwa njia yeyote.
Awe makini sana TL.