Libakiriwe sana tumbo lililomzaa Tundu Lissu

Kingsharon92

JF-Expert Member
Joined
Aug 10, 2015
Posts
8,548
Reaction score
12,252
Nipende kusema nimeona wanaharakati wengi sana waliojaribu kuwa challenge watawala wa nchi hii, nadiriki kusema Tundu Lissu ndiye mpenda haki pekee asiye na bei amepambana sana bila malipo akisimamia haki za wa Tanzania wasiojua haki zao,

Niseme mengi ila wazazi wa Lissu mlizaa hatuna deni na nyinyi kijana wenu anawadhalilisha watawala haramu huku wapenda damu Viva Lissu
 
Kwangu mimi hilo tumbo lililomzaa Tundu Antipasi Mughway Lissu limelaaniwa na ndio maana kiumbe kilichotokea humo ni LAANA!
 
Wazazi wako wewe walitoa uchafu viunoni mwao laiti kama mama yako angelijua amebeba uchafu tumboni mwake asingediriki hata kwenda leba
 
Uchafu unaoweka hoja yake JF na wewe ukapata muda wa kuujibu sio? Sasa fikiria wewe ni gani kama sio zaidi huo uchafu unaoujibu! Ahahahahaha!!!
 
Nimeshakwambia wazazi wako walitoa uchafu viunoni mwao ungelikuwa na akili mpenda haki usingejibu upuuzi kama huu
 
Back
Top Bottom