Juuchini
JF-Expert Member
- Dec 10, 2018
- 1,969
- 2,831
Msikilize mwenyewe
Inasikitisha sanaView attachment Tundu.mp4
Inasikitisha sanaView attachment Tundu.mp4
Mbona umeongea kwa jazba,Home wapi, huku ambapo hawafai kuishi binadamu? akae hukohuko kwenye pepo aendelee kusaidiwa pesa ya chakula, pango na ada
Msikilize mwenyewe
Inasikitisha sanaView attachment 1026455
Kweli kiongoziSishauri wala siafiki.
usalama wake bdo ni mdogo tanzania.
afya yake ni muhimu kwanza.
ushauri wangu akae kwanza huko mpaka awamu hi itoke
Msikilize mwenyewe
Inasikitisha sanaView attachment 1026455
kweli haya ni mahaba niue kwa lissu, sasa hapo kuna nini sasa kimeongelewa zaidi kusikiliza wimbo? au unadhani kila mtu humu ni rika lako?Home wapi, huku ambapo hawafai kuishi binadamu? akae hukohuko kwenye pepo aendelee kusaidiwa pesa ya chakula, pango na ada
Arudi tena mashenzini ambako hakufai kuishi watu, ake hukohuko wanapokaa wastaarabu kama yeye, genius. Pathetic!!Mbona umeongea kwa jazba,
Lazima arudi. Ili unywe sumu vizuri...
Sidhani kama mamba huwa anaelewa lugha aongeayo binadamu.
Sidhani kama mamba huwa anelewa lugha aongeayo binadamu.
Mimi mwenyewe nimeandika kwa mfumo wa methali za kisasa.Wazee waliposema hayo walikuwa wanajua kuwa mamba anasikia.
Karma is what??????
Sent using Jamii Forums mobile app
Akirudi Lissu chochote mtakachpmfanya basi dunia nzima itajua kwasababu sahizi ulimwengu mzima unamjua.
Karibu Home MZEE baba tuendeleze mapambano
Teh...hao jamaa wakishakutumia hawanaga tena muda na wewe, akifanya mchezo atageuka ombaomba
Home wapi, huku ambapo hawafai kuishi binadamu? akae hukohuko kwenye pepo aendelee kusaidiwa pesa ya chakula, pango na ada