Tundu Lissu hebu tueleze vizuri tukio la kupigwa risasi lilivyotokea haya uliyotoa yanaacha maswali mengi sana

NA SIJAONA HOJA YOYOTE ULIYOTOA ZAIDI YA KUSHAMBULIA NAFSI
 
Kwa wanaoijua CHADEMA inawezekana kabisa ni inside job!
  1. CHADEMA mabingwa wa mapichapicha, walijitahidi kuhakikisha picha za tukio hilonhazisambai kinyume na utamaduni wao!
  2. Risasi kutoboa upande moja wa gari na yeye kuumizwa upande mwingine. Risasi zitoboe kushoto na muathirika aumie mguu wa kulia!
  3. Dereva aliyeko kulia risasi isimpate hata moja!
  4. Zipigwe risasi 38 na atoke kama alivyotoka!
  5. Dereva kuingia mitini na mpkumficha kwa nguvu zote!
 
Ulihusika kwenye tukio au? Maana inaonekana una pingana na maelezo ya alie pigwa.
 
Kama kamungu mtu kako kalikopo jehanum sio!!???
 
Yaani iwe "inside job" halafu serikali itupiwe lawama,tena kiongozi mkubwa kabisa ndiye anatupiwa lawama,halafu serikali hiyo ikae kimya bila kujisafisha kwa kufanya uchunguzi na kudhihirisha kuwa CDM walihusika!!???

Ama kweli kuna binadamu na viumbe hai.
 
Duh

Hii ya Risasi kupigwa kushoto na kuumiza mguu wa kulia wewe umeitoa wapi?
 
You have serious cognitive or thought process issues!! I rest my case - mwishoni nitasema hili - Kamata Lissu akahojiwe na kujibu hayo maswali unyouliza na mengine.
Who care
 
Mkuu, Lisu ni muongo hakupigwa risasi hata moja.
Umefurahi Sasa?
 
Maadamu yupo na aliona atueleze vizuri huu mchezo wenu wa kuchafua watu
Hopeless kabisa!

Kama wewe ulikuwa mmoja wa hao wauaji au msaidizi wa huo uovu, usipime upepo. Kuna siku msiyoijua wote mtasimama mbele ya vyombo huru vya kisheria, kujibia uovu wenu.

Maelezo ya kina yalikwishatolewa, na yapo katika kumbukumbu. Mtoa amri anafahamike. Yeye hukumu yake ipo mbinguni. Bashite aliyesimamia operation akiwa Dodoma Hotel, yupo. Kisanduku, mfyatuaji wa risasi amefungwa kule Mtwara kwa uovu mwingine. Msjmamizi mkuu wa kikosi, Nyaulingo alikwishakufa kwa ajali ya gari alipokuwa akitokea Bagamoyo. Lakini bado wapo wengine waliohusika, na wapo mitaani, huenda qewe ni miongoni.
 
Yale yale- kuzushia watu maneno- si aseme ukweli ili muwe huru mnaogopa nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…