Nyankurungu2020
JF-Expert Member
- Oct 2, 2020
- 4,086
- 6,568
Wewe mkiaHiki ndio kichwa nchi hii.
Safi kabisaNi ushauri mzuri kabisa ambao kama ukifuatwa basi mambo ya kubambikia kesi watu na walipakodi kuonewa kutakwisha. Hii kitu Lissu aliisema sana wakati wa kampeni za uchaguzi mkuu
View attachment 1745100
The Tanzania number one reject huyo...Ana waya waya tu huyu hana lolote.
MATAGAWewe mkia
Ila hayuko original ni mvizia matukio ndio adakie ubunifu zero ! Mtu aseme ndio kwa mbali akili zinakuja!!!Lissu huwa haniangushi.
Hivi kiongozi anahitaji ubunifu au inabidi atafute solution kutokana na matukio (au kuunganisha kuwapa fursa wataalamu watafute suluhisho)...Ila hayuko original ni mvizia matukio ndio adakie ubunifu zero ! Mtu aseme ndio kwa mbali akili zinakuja!!!
Mtu yeyote akiliamini hili taahira, akili zake zitakua sawa na za ng'ombe, jamaa limedanganya hata kwa Shaka Sali, eti Mashauri mlinzi wa Magufuli amekufa na corona!! Hili chiziNi ushauri mzuri kabisa ambao kama ukifuatwa basi mambo ya kubambikia kesi watu na walipakodi kuonewa kutakwisha. Hii kitu Lissu aliisema sana wakati wa kampeni za uchaguzi mkuu
View attachment 1745100