Tundu Lissu: Bila kuweka taxpayers bill of rights walipa kodi wataendelea kuonewa na kupata dhuluma.

Yoda

JF-Expert Member
Jul 22, 2018
15,890
2,000
Sahihi kabisa ili tuache kuishi kwa hisani za watawala
 

Odhiambo cairo

JF-Expert Member
Jul 11, 2015
15,345
2,000
Lisu ni msanii kasoma masomo ya sanaa yaani Arts HGL na ana digrii ya arts ya sheria ni msanii complete
Haya mambo aliyasema kwenye campaign zake . Sema hukutaka kumuelewa . After all ushauri mbaya huo kweli ?!

Odhis *
 

Kertel

JF-Expert Member
May 11, 2012
4,751
2,000
Tundu lissu akisema simba ikienda kucheza na al ahly asicheze mkude bali nafasi yake acheze mzamiru kuna watu watasema huyu jamaa ni bonge la genius...
Hatari sana.
Jamaa kichwa chako unakitumia kufugia mba tu,badili matumizi.
 

Waberoya

Platinum Member
Aug 3, 2008
15,149
2,000
Naona kila post unapost hikihiki Kama roboti, Ila kinachokuuma ni kuona mama anafanya vizuri kwa hiyo roho inauma kuwa kwa Nini mama anaelekea kufanikiwa na legacy ya Jiwe inafutika, na Magu ni rais mbovu kuliko wote waliopita.

kweli na mimi nakubaliana na mtazamo wako


JPM alikuwa Rais, aliongoza....ulimpisha barabarani sio? kawahi na wewe na ukoo wako hauwezi kamwe


Unachoweza ni kuandika!!!! basi

huyo SSH alikuwa makamu sio? na anafanya kukupa unachotaka sio???

well JPM hakuwa mnafiki...utamkumbuka mpaka unakufa😂😂😂😂😂😂
 

Imeloa

JF-Expert Member
Jan 28, 2013
8,568
2,000
Lisu ni msanii kasoma masomo ya sanaa yaani Arts HGL na ana digrii ya arts ya sheria ni msanii complete
Wewe umesomea nini cha kuja kuandika utumbo humu ndani. Mungu wenu ameshakufa sasa rudini mkamuabudu Mungu wa kweli, msiwaze sanamu tena.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom