Tundu Lissu awasili Washington DC, Marekani

Tundu Lissu awasili Washington DC, Marekani

Mh. Lissu amewasili Washington D.C. leo salama akiwa ameongozana na mke wake. Mh. Lissu ataanza ziara yake kesho Jumanne, February 5, 2019.

Kesho asubuhi amepangiwa kuzungumza katika Chuo Kikuu cha George Washington kilichopo katikati ya mji mkuu wa Marekani, Washington D.C. Mada ya mazungumzo haya ni *“Tanzania’s Democratic Challenge.”*

Jenniffer Cooke, The Instute for African Studies (IAfS) Director, ataongoza mazungumzo haya na mgeni mualikwa Ndugu Tundu Lissu.

Tutaendelea kuwajulisha ratiba yake kila siku hadi mwisho wa ziara yake.
View attachment 1013815
View attachment 1013814
View attachment 1013813

Lissu Ndio habari nene..... kawafunika Diamond na Alikiba kwa mbali sana..


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Akimaliza kutalii atarudi tena majukwaani kuwaeleza nini sijui wazee wetu waliomfukuza mkoloni.
Kwamba alienda kushitaki kwa wakoloni au alienda kutafuta msaada wa kujenga ofisi pale jimboni kwake

Sent using Jamii Forums mobile app
Huna akili wewe,huwezi reply comment yangu kwa upupu huu unaoandika.

Hivi nyinyi majitu ya ccm mlinyofolewa ubongo au mnafikiri kwa kutumia kiungo gani mwilini,kwanini mmekua wannyama kiasi cha kutojali utu wa mtu.

Popoma wewe sitaki nione unareply upupu kwenye comment yangu...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Namkubali Lissu sana. Ila chonde chonde Kaka yangu weka akiba ya maneno....punguza ukali kwa maneno yako, usiwamange sana viongozi na serikali yako. Just put it in simple language...hakuna demokrasia.

Kumbuka wewe ni muujiza unaoishi, uwepo wako na uhai wako ni pigo kubwa kwa mtesi wako.

Waliokupiga wana maumivu makali kuliko maumivu uliyopata, na hapo bado karma haijafanya kazi ipasavyo.
 
Back
Top Bottom