mtaua watu kwa presha nyie!!
Why and how?? Sioni kama kuna mtu anapata presha hapa...This is a good thing...Binafsi nitafuatilia...
mtaua watu kwa presha nyie!!
Kawoli wewe unataka Je ?!Mnaweukaga Sana na upepo. Kuna upepo ulivuma Kama wa mabadiliko 2015? Fanya kazi wewe utoboe
Sent using Jamii Forums mobile app
😂😂😂tutajua km ni ujinga au la
Atawambia kuwa alikuwa amekwenda kununua bombardier.Akimaliza kutalii atarudi tena majukwaani kuwaeleza nini sijui wazee wetu waliomfukuza mkoloni.
Kwamba alienda kushitaki kwa wakoloni au alienda kutafuta msaada wa kujenga ofisi pale jimboni kwake
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa kura halali au za kitengo ?! Hata kwa Lowassa hesabu ilitengenezwa .Utapaa lakini siyo kwenye Sanduku la Kura.Hawezi kusimama na Mgfl akatoboa
Wewe ni mpumbavu tu kama mwenyekiti wakoLisu mijadala haiwezi ni mmbwekaji tu lazima atachemka tu kwenye huo mjadala sababu anachojua ni kutoa hotuba ni mpenda kusema nisikilize Mimi badala ya kujadili atakuwa akihutubia hotuba yenye mihemko isiyo na pointi akitaka kunganganiza hoja kwa mikelele bila pointi.Lisu kwenye midahalo ni zero.
Sipingi mkuu wa kaya kukosolewa Wala sipingi lisu anavyojaribu kuonyesha madudu ya serikali hususani kwenye Uhuru wa kufanya siasa kwa Vyama vingne.Kawoli wewe unataka Je ?!
Asisemwe ?, Asipingwe ?.
Kama ni kazi hakuna anayemlisha mtu. Hata Maghufuli hamlishi mtu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ujinga ni kujaribu kuzima wenye mawazo tofauti.
Tofauti ni kwamba wewe ni mbwa wa magufuliHeri kuishi kama mbwa Ulaya-By Baba Ubaya
Bob Wine of Uganda did the same....what happened?nothing ...Museveni bado yuko anadunda
Acha kufananisha Lissu na vitu vya ovyoBob Wine of Uganda did the same....what happened?nothing ...Museveni bado yuko anadunda
mtaua watu kwa presha nyie!!
Jpm anachapa wewe na mkeo shwainiAkizunguka kote huko akimaliza mwambieni arudi Tanzania, JPM anachaoa kazi na sisi tuna support Sera zake.
Sent using Jamii Forums mobile app
Anabutua hakuna kuremba, kwani anatongoza? Hutaki kumsikiliza unapita kimya hujalazimishwa, wengi tunamuelewaLisu mijadala haiwezi ni mmbwekaji tu lazima atachemka tu kwenye huo mjadala sababu anachojua ni kutoa hotuba ni mpenda kusema nisikilize Mimi badala ya kujadili atakuwa akihutubia hotuba yenye mihemko isiyo na pointi akitaka kunganganiza hoja kwa mikelele bila pointi.Lisu kwenye midahalo ni zero.