Yamakagashi
JF-Expert Member
- Sep 19, 2016
- 8,613
- 17,646
Duuu haya
Kwa lugha nyingine anaishawishi serikali ambayo yeye haitambui impe bodyguard hiyo kweli kikiNani amtishie huyo maisha? Hivi kama kuna mtu ana nia naye kwa nini amtishie badala ya kufanya kimya kimya? Kick zingine za kipumbavu sana
hata Ben saanane alitishiwa hivi hivi, leo yuko wapiNani amtishie huyo maisha? Hivi kama kuna mtu ana nia naye kwa nini amtishie badala ya kufanya kimya kimya? Kick zingine za kipumbavu sana
Alitishiwa na nani? Kwani hayupo mbona kubenea amesema yupo vijiwe vya sinza.hata Ben saanane alitishiwa hivi hivi, leo yuko wapi
Nani amtishie huyo maisha? Hivi kama kuna mtu ana nia naye kwa nini amtishie badala ya kufanya kimya kimya? Kick zingine za kipumbavu sana
Hivi SAA 8 kaZi ilomleta duniani alimaliza?kabla hajamaliza kazi, aliyemleta duniani hataruhusu auliwe.
what do you mean by finding kicks???Swahili thinking english words!!!!!!A big foolFinding Kicks!
Mama yakoWewe ni Lipumavu sana
RAIS WA CHAMA CHA WANASHERIA (Tanganika Law Society - TLS) MH. MBUNGE TUNDU LISSU AMESHAURI CHAMA HICHO KUHAKIKISHA USALAMA KWA WANACHAMA WA TLS KUTOKANA NA MATISHIO YA VIFO.
Ni kweli mtashuhudia maajabu mengi ya mauaji ya kutisha na kupotea kwa wafuasi na viongozi wa vyama vya upinzani na wale wanaoonekana kupingana na nyinyi.safari ya 2020 ni ndefu sana tutaendelea kushuhudia maajabu mengi zaidi.