MWALLA
JF-Expert Member
- Dec 12, 2006
- 16,952
- 10,513
kimyakimya kama mlivomfanyia kule dom..Nani amtishie huyo maisha? Hivi kama kuna mtu ana nia naye kwa nini amtishie badala ya kufanya kimya kimya? Kick zingine za kipumbavu sana
kimyakimya kama mlivomfanyia kule dom..Nani amtishie huyo maisha? Hivi kama kuna mtu ana nia naye kwa nini amtishie badala ya kufanya kimya kimya? Kick zingine za kipumbavu sana
Wewe utakuwa na ABCFinding Kicks!
Lizaboni, you went undercover tangu litokee ulilokuwa unabishia, hivi huwezi kuwa suspect kweli kwenye assasnstion attemot? Just kidding!Nani amtishie huyo maisha? Hivi kama kuna mtu ana nia naye kwa nini amtishie badala ya kufanya kimya kimya? Kick zingine za kipumbavu sana
Dah unaona mbali sanakabla hajamaliza kazi, aliyemleta duniani hataruhusu auliwe.
Bado TL ni mjinga sio?TL ni mjinga sana kama ataendelea hivi atakuwa mtu wa mihemuko na matukio.
"Always Fantasy' kills Dreams" by [HASHTAG]#Poise[/HASHTAG], JF 2017.
Safari ya 2022. Na siyo 2020safari ya 2020 ni ndefu sana tutaendelea kushuhudia maajabu mengi zaidi.
Aise!Wangapi wanakufa? Yaani unaona TL ndo Mungu wako.
Mkuu nikikujibu hili Painkiller atanipeleka lupango ya mwezi mzima! Ila amini tu kwamba nina uhakika na ninachokisema!!Mkuu Job K, asante ila bado hujajibu swali, umejuaje Lizaboni ni binti?.
P.
Unajisikiaje sasa hv? Na ww huwa unaenda kwny nyumba za ibada? Unafiki sio mzuri