Tundu Lissu atishiwa Kifo

Tundu Lissu atishiwa Kifo

Nani amtishie huyo maisha? Hivi kama kuna mtu ana nia naye kwa nini amtishie badala ya kufanya kimya kimya? Kick zingine za kipumbavu sana

Hujafikiri sawa sawa. Tulia uelewe unachotaka kuandika. Dunia ya utandawazi hii kijana
 
Finding Kicks!
Kama magufuli alivyotafuta kiki ya makinikia
757bd1bea0993488273ebe57c235561f.jpg
 
Nani amtishie huyo maisha? Hivi kama kuna mtu ana nia naye kwa nini amtishie badala ya kufanya kimya kimya? Kick zingine za kipumbavu sana
Msifikiri nyinyi mtaishi milele ukifikisha miaka 85 mshukuru Mungu. Mtaua sana lakini mwisho wenu ni mbaya sana na huko mnakopeleka wenzenu huko hamna dikteta hata hittler, idd amini wote walienda huko ije kuwa huyo uchwara wenu anaye jificha nyuma ya wanyonge
 
Nani amtishie huyo maisha? Hivi kama kuna mtu ana nia naye kwa nini amtishie badala ya kufanya kimya kimya? Kick zingine za kipumbavu sana
Kama hii ya magufuli...mpaka leo noah zetu hatuzioni
9e7d93ca830562e36c44b9615186fd64.jpg
 
Wamuache bhana mwanasiasa mwenye akili kuliko wote Tz
 
Nani amtishie huyo maisha? Hivi kama kuna mtu ana nia naye kwa nini amtishie badala ya kufanya kimya kimya? Kick zingine za kipumbavu sana
Wale waliomteka Ben Saa8 walimtumia ujumbe kwanza. Ile nambari iliyotuma ujumbe wa vitisho imeshajulikana ni ya nani?
 
Nani amtishie huyo maisha? Hivi kama kuna mtu ana nia naye kwa nini amtishie badala ya kufanya kimya kimya? Kick zingine za kipumbavu sana
Kumbe uko hai??.. Nikajua njaa ishakumaliza maana awamu hii buku saba za kijinga jinga hazipo tena
 
Katishiwa na nani? Ye si mwanasheria awashtaki?
 
RAIS WA CHAMA CHA WANASHERIA (Tanganika Law Society - TLS) MH. MBUNGE TUNDU LISSU AMESHAURI CHAMA HICHO KUHAKIKISHA USALAMA KWA WANACHAMA WA TLS KUTOKANA NA MATISHIO YA VIFO.

hao tls wenyewe ndio wamekaribisha kifo kwa kumteua lissu kua rais wao. lissu sio mpinzani bali adui wa ccm na serikali yake. amekua akiitukana ccm na rais magufuli siku zote kwa hivyo tls ya lissu haiwezi kua na mustakabali mwema mbele ya serikali ya ccm.
 
RAIS WA CHAMA CHA WANASHERIA (Tanganika Law Society - TLS) MH. MBUNGE TUNDU LISSU AMESHAURI CHAMA HICHO KUHAKIKISHA USALAMA KWA WANACHAMA WA TLS KUTOKANA NA MATISHIO YA VIFO.

jpm anataka kum Ben sanane
 
Huyu ni papauxhi ya bar kona inayo liwa na kila mtu huyu... Stupid
 
Nani amtishie huyo maisha? Hivi kama kuna mtu ana nia naye kwa nini amtishie badala ya kufanya kimya kimya? Kick zingine za kipumbavu sana
Ni wangapi mliwatisha kabla ya kuwafanya kimyakimya? Nyie ni all weather,kimya kimya mnafanya na kutishia kwanza mnafanya!!
 
Humu ndani kuna watu ni wepesi wa kudandia hoja kabla ya kusoma na kuelewa maudhui yakile kinachojadiliwa then mnajiita wasomi wa twaweza.Mbona hakuna anapozungumzia kuuawa yeye bali anachozungumza ni suala la kuundwa bodi ya mawakili kutaisababishia TLS isiwe na meno kwa kuwa itakuwa under control ya serikali huko ndiko kuuawa kulikozungumzwa na siyo yeye binafsi
 
RAIS WA CHAMA CHA WANASHERIA (Tanganika Law Society - TLS) MH. MBUNGE TUNDU LISSU AMESHAURI CHAMA HICHO KUHAKIKISHA USALAMA KWA WANACHAMA WA TLS KUTOKANA NA MATISHIO YA VIFO.

Kuna watu ni hovyo sana.
 
Back
Top Bottom