Shindu Namwaka
JF-Expert Member
- Sep 22, 2014
- 4,911
- 3,084
Hata Roma Mkatoliki anajuasafari ya 2020 ni ndefu sana tutaendelea kushuhudia maajabu mengi zaidi.
Hata Roma Mkatoliki anajuasafari ya 2020 ni ndefu sana tutaendelea kushuhudia maajabu mengi zaidi.
Toka abadili gia angani, sijaona cha muhimu alichokifanya huyu mouth piece!!Mungu endelea kumlinda na kumpigania President Tundu Antipas Lissu..
Wewe wajua umuhimu wake kwa Taifa hili.
Amen.
huyu sio mpumbavu kama unavyofikiria toka lin Lissu akatafuta kiki wakati kiki ndo zinamtafuta? mtafuta kiki ni yule mkuu wa wanakijan anayepiga kelele kwa tarumbeta kuwatisha na kuwakebehi wanaomkosoa huku akiwa amewaziba mdomo ili wasiongee chochote kuhusu kiki zakeNani amtishie huyo maisha? Hivi kama kuna mtu ana nia naye kwa nini amtishie badala ya kufanya kimya kimya? Kick zingine za kipumbavu sana
RAIS WA CHAMA CHA WANASHERIA (Tanganika Law Society - TLS) MH. MBUNGE TUNDU LISSU AMESHAURI CHAMA HICHO KUHAKIKISHA USALAMA KWA WANACHAMA WA TLS KUTOKANA NA MATISHIO YA VIFO.
uchi wwMbona hajapotezwa huyo mhuni?
Harafu anajiona kama bonge la mtu kubwe wengine tunaona rubbish tu.
Huwa situmii bando zangu kutukana mtu. Hata ningekuita bwenge sitakuwa nabadili uelewa na kiwango cha elimu yako.
Finding Kicks=looking for kicks.Finding Kicks!
Mungu huwa halindi watu waovu waovu, wezi na wala rushwa. Yaani mwisho wa siku huwaumbua na kuwaacha uchi.
Na mimi nimemuelewa kuwa ni kupotezwa kwa TLSInahuzunisha Ma-great thinkers mnashindwa kupata maana halisi ya hayo maneno ya Lisu!!
Amesema TLS inatishiwa kifo(kufutwa) sio kifo cha wanachama Wa TLS!!
Mleta mada think harder!!
Jifunze kuandika vizuri halafu ndio umuone TL rubbish.Mbona hajapotezwa huyo mhuni?
Harafu anajiona kama bonge la mtu kubwe wengine tunaona rubbish tu.
Kweli mkuu!Na mimi nimemuelewa kuwa ni kupotezwa kwa TLS