Mbimbinho
JF-Expert Member
- Aug 1, 2009
- 8,328
- 7,807
Finding Kicks!
Atafute kiki ya nini wakati yeye mwenyewe ni kiki tosha??
Finding Kicks!
Jifunze kuandika vizuri kabla ya kuniona mimi rubbish .Na wewe rubish tu
Ripoti ya makinikia ndio ilikua kiki ya karne ya 21,ohh tunaibiwa huku mmebana pua kma wacheza vigodoro.leo ohh mikataba ya zamani itabaki hivyohivyo kweli chama chakavu akili zenu ziko kwenye masaburi yenuNani amtishie huyo maisha? Hivi kama kuna mtu ana nia naye kwa nini amtishie badala ya kufanya kimya kimya? Kick zingine za kipumbavu sana
Nani amtishie huyo maisha? Hivi kama kuna mtu ana nia naye kwa nini amtishie badala ya kufanya kimya kimya? Kick zingine za kipumbavu sana
Huyu [COLOR=#5900b3][B]Ufipa-Kinondoni[/B][/COLOR] naye aliandika haya Julai mosi mwaka huu, halafu IGP Sirro anatuomba tumsaidie kuwapata waliofanya jaribio la kigaidi la kumuua Mh. Tundu Lissu!Mbona hajapotezwa huyo mhuni?
RAIS WA CHAMA CHA WANASHERIA (Tanganika Law Society - TLS) MH. MBUNGE TUNDU LISSU AMESHAURI CHAMA HICHO KUHAKIKISHA USALAMA KWA WANACHAMA WA TLS KUTOKANA NA MATISHIO YA VIFO.
Utakuwa umeumbuka vibaya sanaNani amtishie huyo maisha? Hivi kama kuna mtu ana nia naye kwa nini amtishie badala ya kufanya kimya kimya? Kick zingine za kipumbavu sana
Hivi wewe binti huwa unajisikiaje ukisoma post yako hii?Nani amtishie huyo maisha? Hivi kama kuna mtu ana nia naye kwa nini amtishie badala ya kufanya kimya kimya? Kick zingine za kipumbavu sana
KillerFinding Kicks!
MUDA ni mwalimu mzuri! Aibu zao manyumbu wa nyinyiemHivi wewe binti huwa unajisikiaje ukisoma post yako hii?
Unajisikiaje sasa hv? Na ww huwa unaenda kwny nyumba za ibada? Unafiki sio mzuriHuyu Lissu anatafuta kiki. Namshauri akajifiche mahali halafu iandikwe ametekwa. Baadaye ajitokeze aeleze kuwa aliteswa sana kama Mandela. Hiyo kiki itachukua muda kufahamika ni janja tu.
Mbona hajaumbuka bado, mh lisu bado ni mzima na anaendelea vema na matibabu!Utakuwa umeumbuka vibaya sana
Mumeo ndo alitaka kumuua.nani amuue lissu?
MkuuHivi wewe binti huwa unajisikiaje ukisoma post yako hii?
Hongera!kabla hajamaliza kazi, aliyemleta duniani hataruhusu auliwe.
Huyu [COLOR=#5900b3][B]Ufipa-Kinondoni[/B][/COLOR] naye aliandika haya Julai mosi mwaka huu, halafu IGP Sirro anatuomba tumsaidie kuwapata waliofanya jaribio la kigaidi la kumuua Mh. Tundu Lissu!
Asante mkuu Pascal Mayalla nimekuelewaaaaa!! Huyu binti asitusumbue sisi hapa!!Mkuu
Job K, umejuaje Lizaboni ni binti?. Sisi baadhi yetu wa makabila ya wafugaji, tunakuwa na tatizo la male chauvinism, tunaamini a woman's place is at the kitchen, hivyo ukiishajua member fulani ni mwanamke, unajikujiku huwezi tena kujibishana nae humu mitandaoni, hivyo kwa kutojua, kumbe tunaweza kuwa kuwa tunajibishana na wanawake humu jf bila kujijua, kwa sababu kuna wanawake wapenda misuto, akiona kimya anaanzisha mada au kuchangia kwa provocation ili asutwe!, hivyo its very important, ukibishana na mtu, ujue unabishana na gender gani!.
P.
Mkuu Job K, asante ila bado hujajibu swali, umejuaje Lizaboni ni binti?.Asante mkuu Pascal Mayalla nimekuelewaaaaa!! Huyu binti asitusumbue sisi hapa!!