Mudawote
JF-Expert Member
- Jul 10, 2013
- 11,572
- 16,047
Mungu huwa halindi watu waovu waovu, wezi na wala rushwa. Yaani mwisho wa siku huwaumbua na kuwaacha uchi.Mungu endelea kumlinda na kumpigania President Tundu Antipas Lissu..
Wewe wajua umuhimu wake kwa Taifa hili.
Amen.