Vikwazo vitaongezeka na kudhihirisha udsm, si kitu siloloteBaada ya kukubaliana namna ya kuondoa kesi na sionekane kubwa serikali alimbambikia ksi "atapewa" kesi ya kujibu kisha muda mfupi baada ya kuanza utetezi ndipo Dpp ataleta ile "taarifa". (Rejea kesi ya FEM) Hii itawapa faraja wahafidhina kubwa pamoja na serikali kutoendelea na kesi bali alikutwa na kesi.
Mie ni darasa la saba, maana ya ushahidi ndio nafahamuUna level gani ya Elimu ?Una elewa maana ya ushahidi?
Ahsante! nimerekebisha nilikuwa sehemu isiyo na utulivu.andika vizuri, usiwe na haraka.
Mbona umeandika kama mtu usiye na akili!! Umekosa maarifa au huna akili ya kutosha.Mbona kajibiwa na upande wa mashtaka ajiandae kujibu maelezo " ni kweli tutafanya uasi na uchaguzi wa october 2025 tutakinukisha kweli kweli "
So kumbuka kwa uchochezi huo mo29 palinuka kweli kweli, so anayo kesi ya kujibu
AMINAAhsante! nimerekebisha nilikuwa sehemu isiyo na utulivu.
Kauli tu ya kabla ya tukio la Oktoba 29 haiwezi kuwa na nguvu lakini pia haiwezi kuunganishwa na tukio la Oktoba 29, ndiyo maana hata ushahidi mpya dhidi ya Lissu ulikataliwa kupokelewa na mahakama.Mbona kajibiwa na upande wa mashtaka ajiandae kujibu maelezo " ni kweli tutafanya uasi na uchaguzi wa october 2025 tutakinukisha kweli kweli "
So kumbuka kwa uchochezi huo mo29 palinuka kweli kweli, so anayo kesi ya kujibu
Uasi na uhaini are similar ni sawa sawa na tako na kiuno huwezi kuvitenganishaTudhihirishie kuwa una akili japo kidogo: nini maana ya uasi?
Kitendo cha kutishia kuua hata kabla hujaua kweli hiyo tayari ni kesi na lazima uijibu!!Kauli tu ya kabla ya tukio la Oktoba 29 haiwezi kuwa nguvu lakini pia haiwezi kuunganishwa na tukio la Oktoba 29, ndiyo maana hata ushahidi mpya dhidi ya Lissu ulikataliwa kupokelewa na mahakama.
Labda tu kushinikizwe kuwa ana kesi ya kujibu ila si kwa uzito wa kauli hiyo.
Amen.Mungu ampe maisha marefu shujaa wetu Tundu Lissu.
Unajichanganya we boya, hiyo ni kesi ya uhaini, huo uchochezi unatokea wapi? Ama ukiingia humu uko kama robot?Mbona kajibiwa na upande wa mashtaka ajiandae kujibu maelezo " ni kweli tutafanya uasi na uchaguzi wa october 2025 tutakinukisha kweli kweli "
So kumbuka kwa uchochezi huo mo29 palinuka kweli kweli, so anayo kesi ya kujibu
Tafsiri ya maneno haya ya uasi ni nyumbufu mno kiasi cha kutoweza kumtia hatiani achilia mbali uwezekano wa kukubalika kama msingi wa kosa.Kitendo cha kutishia kuua hata kabla hujaua kweli hiyo tayari ni kesi na lazima uijibu!
Uchochezi wa kufanya uhaini, Uchochezi ni sentensi ambayo haijitoshelezi lazima iambatane na vishazi saidizi,Unajichanganya we boya, hiyo ni kesi ya uhaini, huo uchochezi unatokea wapi? Ama ukiingia humu uko kama robot?
Lisu hii kesi kwake ni kama fimbo kwenye shimo alilomo jongoo.
Hii kesi inamnufaisha Lissu kuliko serikali
Acha hasira hata kama "imepenya" Uamuzi utoke usitoke TAL atarudi uraiani very soon kuanzia sasa.Upumbavu tu! Subiri maamuzi we kima jike
Lissu sio anatia janja, ni moja ya wanasheria top nchi hii? Remind me imechukua mashahidi wangapi kujaribu ku implicate kesi yake, how much amewagaraza mpaka sasa?
Oh tunakamata brenda rupia? Only kauli ya mjinga na mpumbav pale anaposhindwa ku deal na mtu size yake