Tundu Lissu atapewa" kesi ya kujibu

Tundu Lissu atapewa" kesi ya kujibu

Baada ya kukubaliana namna ya kuondoa kesi na sionekane kubwa serikali alimbambikia ksi "atapewa" kesi ya kujibu kisha muda mfupi baada ya kuanza utetezi ndipo Dpp ataleta ile "taarifa". (Rejea kesi ya FEM) Hii itawapa faraja wahafidhina kubwa pamoja na serikali kutoendelea na kesi bali alikutwa na kesi.
Hizi stori zinafanya mahakama zetu zionekane hazifai
 
Lissu anajitia janja janja ila akinusurika hapa goma linaanza upya, tunadaka brenda rupia ambaye kakaangwa na Lissu mwenyewe kuwa ndiye aliyealika kikao cha kupanga uhaini na shahidi pw17 alimshuhudia katika mandalizi ya kikao hicho cha kupanga uhaini.
Upande wa mashtaka ukimbana brenda rupia tuambie ni nani alikuwa ndo mwenye kikao, automatically atamtaja tundu lissu na hapo sasa ngoma ndo inarindima vizuri dadadeki!!
Mnahangaika sana
 
Baada ya kukubaliana namna ya kuondoa kesi na sionekane kubwa serikali alimbambikia ksi "atapewa" kesi ya kujibu kisha muda mfupi baada ya kuanza utetezi ndipo Dpp ataleta ile "taarifa". (Rejea kesi ya FEM) Hii itawapa faraja wahafidhina kubwa pamoja na serikali kutoendelea na kesi bali alikutwa na kesi.
Hakuna kitu kama hicho, tunza hii reply.
 
Lissu anajitia janja janja ila akinusurika hapa goma linaanza upya, tunadaka brenda rupia ambaye kakaangwa na Lissu mwenyewe kuwa ndiye aliyealika kikao cha kupanga uhaini na shahidi pw17 alimshuhudia katika mandalizi ya kikao hicho cha kupanga uhaini.
Upande wa mashtaka ukimbana brenda rupia tuambie ni nani alikuwa ndo mwenye kikao, automatically atamtaja tundu lissu na hapo sasa ngoma ndo inarindima vizuri dadadeki!!
Machoko muwe mnajielimisha maana hata neno particulars of the offence hamjui halafu mnajifanya mnajua kesi, shenzi kabisa.
 
Hata yeye Lissu kauliza Leo mahakamani . Nitajibu dhidi ya ushahidi Gani?.
Mbona kajibiwa na upande wa mashtaka ajiandae kujibu maelezo " ni kweli tutafanya uasi na uchaguzi wa october 2025 tutakinukisha kweli kweli "
So kumbuka kwa uchochezi huo mo29 palinuka kweli kweli, so anayo kesi ya kujibu
 
Lissu anajitia janja janja ila akinusurika hapa goma linaanza upya, tunadaka brenda rupia ambaye kakaangwa na Lissu mwenyewe kuwa ndiye aliyealika kikao cha kupanga uhaini na shahidi pw17 alimshuhudia katika mandalizi ya kikao hicho cha kupanga uhaini.
Upande wa mashtaka ukimbana brenda rupia tuambie ni nani alikuwa ndo mwenye kikao, automatically atamtaja tundu lissu na hapo sasa ngoma ndo inarindima vizuri dadadeki!!
Mnajitahidi sana kupambana na upepo. Hongereni wa 29/10/2025
 
Lissu anajitia janja janja ila akinusurika hapa goma linaanza upya, tunadaka brenda rupia ambaye kakaangwa na Lissu mwenyewe kuwa ndiye aliyealika kikao cha kupanga uhaini na shahidi pw17 alimshuhudia katika mandalizi ya kikao hicho cha kupanga uhaini.
Upande wa mashtaka ukimbana brenda rupia tuambie ni nani alikuwa ndo mwenye kikao, automatically atamtaja tundu lissu na hapo sasa ngoma ndo inarindima vizuri dadadeki!!
Siyo kila mjadala lazima uchangie, jifunze kwa kupitia michango ya wenzako.
Huu mchango wako umekudharirisha kwa kuonekana ni mweupe kwenye upande wa sheria.
 
Baada ya kukubaliana namna ya kuondoa kesi na sionekane kubwa serikali alimbambikia ksi "atapewa" kesi ya kujibu kisha muda mfupi baada ya kuanza utetezi ndipo Dpp ataleta ile "taarifa". (Rejea kesi ya FEM) Hii itawapa faraja wahafidhina kubwa pamoja na serikali kutoendelea na kesi bali alikutwa na kesi.
Naona wabashiri mnazidi kuwa wengi
 
Baada ya kukubaliana namna ya kuondoa kesi na sionekane kubwa serikali alimbambikia ksi "atapewa" kesi ya kujibu kisha muda mfupi baada ya kuanza utetezi ndipo Dpp ataleta ile "taarifa". (Rejea kesi ya FEM) Hii itawapa faraja wahafidhina kubwa pamoja na serikali kutoendelea na kesi bali alikutwa na kesi.
Mimi raha yangu ni kuona anahukumiwa kunyongwa hadi kufa.
 
Lissu anajitia janja janja ila akinusurika hapa goma linaanza upya, tunadaka brenda rupia ambaye kakaangwa na Lissu mwenyewe kuwa ndiye aliyealika kikao cha kupanga uhaini na shahidi pw17 alimshuhudia katika mandalizi ya kikao hicho cha kupanga uhaini.
Upande wa mashtaka ukimbana brenda rupia tuambie ni nani alikuwa ndo mwenye kikao, automatically atamtaja tundu lissu na hapo sasa ngoma ndo inarindima vizuri dadadeki!!
Ulivyoandika umenikumbusha wale wa, ukileta wawili na wao wakaleta wawili unalipwa milioni 15.
 
Lissu sio anatia janja, ni moja ya wanasheria top nchi hii? Remind me imechukua mashahidi wangapi kujaribu ku implicate kesi yake, how much amewagaraza mpaka sasa?

Oh tunakamata brenda rupia? Only kauli ya mjinga na mpumbav pale anaposhindwa ku deal na mtu size yake
Ugaidi wa Mtu Mmoja, mashahidi 30!
 
Back
Top Bottom