TAJIRI MKUU WA MATAJIRI
JF-Expert Member
- Dec 1, 2010
- 11,701
- 23,711
“Mwenyekiti wetu, Freeman A. Mbowe akadai katiba mpya, akafunguliwa kesi ya ugaidi, akakaa gereza la Ukonga miezi 8, pale nilipowekwa mimi sasa.
Tukapambana na kesi ya uongo ya ugaidi. Wakamkuta na kesi ya kujibu. Siku ya kutakiwa kujitetea hatukumuona tena Mahakamani, bali akatokea Ikulu.
Hata jana nimesikia yupo huko Rufiji kwenye uzinduzi wa bwawa la Mwl, Nyerere, anahudhuria uzinduzi wa bwawa ka maji wakati mwenyekiti wake nipo kizimbani kwenye kesi ya uhaini. Mwenzetu yupo na mama.”
Tundu A.M Lissu, Mahakama Kuu, 24.08.2026
