Uchaguzi 2020 Tundu Lissu atabiriwa ushindi katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2020

kwa sasa hivi nyie tafuteni watu wa kuwasindikiza mfanye zoezi la kuchukua form mpya maaana mlitia aibu ule msafara
 
Wazungu wana akili sana. Wakitaka kupata actual statistics huwa wanaangalia michango ya majukwaa ambayo watu wanatumia fake id’s kwa usalama wao kama humu na Twitter na pia kupitia watu mbaimbali.

Sasa Magu anadhani anapendwa kwa kusifiwa na wanafiki Ila huku ndo anatakiwa apime kama anapendwa au hapendwi

Mkuu, usijiangaishe kufungua threads kila sku za Lissu, ukweli ni kwamba hata kupata 1% ya kura ni mbinde! tuliwaonya sana kuhusu mwenendo wa chama chenu mkawa mnasema lissu anatupa sjui homa!

ona sasa ameenda dodoma amebaki anapungia miti hakuna mtu ana ham nae, kule jimbon kwa mbowe ndo kabisaa alikoswa mawe! Mungu akipenda tunaweza kupata KUB mwingine mstarabu zaidi, nyie endeleeni kujipa moyo uku mtandaoni ALUTA CONTINUA!!
 
Kwel ujinga na ushamba ni mzigo mzto
mkuu, usijiangaishe kufungua threads kila sku za lissu, ukweli ni kwamba hata kupata 1% ya kura ni mbinde! tuliwaonya sana kuhusu mwenendo wa chama chenu mkawa mnasema lissu anatupa sjui homa!

Kwani Magufuli Dodoma wakati anaenda kuchukua fomu alipungia nini??
 
Haitawahi kitokea miaka mitano inayofuata ni yamzee magu kukamilisha na kuziba viraka vyake huyo lissu rabda 2025
 
Kila kona ya nchi na dunia kwa ujumla wanasema Tundu Lisu ndiye mwenye nafasi ya ushindi ktk uchaguzi wa mwaka huu.

Na ndiyo maana hata jana 8/8/2020 alipokuwa akichukua fomu pale jijini Dodoma amefuatiliwa ktk social media na zaidi ya watu bilioni moja (1+ bil )
View attachment 1532191
Unaonaje ukaenda Darasani kujifunza Lugha ya MaLIKIA, kwani post yako haiendani na kicho andikiwa
 
Haaaa so kwa kupanic hivi...... cought by surprise .... mliokuwa mnamdanganya mze baba kazi mnayo
 
Kila kona ya nchi na dunia kwa ujumla wanasema Tundu Lisu ndiye mwenye nafasi ya ushindi ktk uchaguzi wa mwaka huu.

Na ndiyo maana hata jana 8/8/2020 alipokuwa akichukua fomu pale jijini Dodoma amefuatiliwa ktk social media na zaidi ya watu bilioni moja (1+ bil )
View attachment 1532191
Mnatafuta kiki kwa pikipiki

Ccm tutazima redio mbao zote
 
Ila Katibu mkuu ccm amesema watatumia vyombo vya dola kujihakikishia ushindi!!! Kauli hii si ya kupuuzia. Kweli Lissu atashinda lakini anaweza kutangazwa mwingine!!!
Patachimbika! Maana Lisu hana simile
 
Kwenye chaguzi nyingi za miaka ya huko nyuma chama chetu (CCM) kimekuwa kikitangazwa kushinda hata katika maeneo na nafasi ambazo wapinzani wameshinda.

Figisu hii tumekuwa tukiifanikisha zaidi hususani pale tofauti ya kura inapokuwa ndogo.

Tatizo kubwa limekuwa ni watu kutokujitokeza kwa wingi kupiga kura kwa kuamini tu kuwa eti "ni kupoteza muda, CCM watashinda tu".

Naishauri kambi ya upinzani kwamba on top of kuuza sera zenu kwenye kampeni, on equal or even higher measure mjikite pia kuhamasisha KWA NGUVU ZOTE ((nasisitiza, sifoki) watu kujitokeza kupiga kura.
NI MUHIMU SANA (msisitizo siwafokei!)

Pia, hakikisheni mnapata muafaka wa NEC mapema kabisa kuhusu utaratibu wa kuhesabu kura na kutangaza matokeo - kwamba vyote hivi ni lazima kifanyike kwenye vituo vya kupigia kura. Mnajua NEC haiko huru kivile, so inabidi muwe very aggressive kwenye hili jambo.

Zitto john Myika CHADEMA ACT Wazalendo
 
Kwani Magufuli Dodoma wakati anaenda kuchukua fomu alipungia nini??

mkuu siko kwenye mashindao apa ila macho yanaona na maskio yanaskia, huu ubishi wenu unaokuaga na uongo mnauweza wenyewe! na nlishawaambia if things goes on plan 6 more people will join ccm before october nyie endeleeni na vgelegele vyenu, safari hii mtajipungia wenyewe
 
Back
Top Bottom