Uchaguzi 2020 Tundu Lissu atabiriwa ushindi katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2020

Vanguard Africa Foundation inasomwa dunia nzima kwa lugha ya kigeni.

Hivyo ni sahihi maana kuna ukame wa habari ktk Kiingereza na hawa Vanguard wanaziba ombwe na kusaidia kufahamisha ulimwengu kinachoendelea sasa kutaka kumuondoa Magufuli kupitia sanduku la kura. Labda wale wa mtaa wa Lumumba nao waanzishe platform kwa Kiingereza kukataa matumaini yanayoaminiwa sasa na dunia kuwa kimbunga kitang'oa utawala huu wa CCM .
Wana lumumba ukiwaambia habari za kizungu unaonekana wewe ni mchochezi
 
Ningeandika unachokiamini na kupenda wewe ungetamani ulambe viatu kabisa. Sasa kwanini ujibizane na taahira?!?
Kazi ya kuramba viatu ni yenu mataga
FB_IMG_1595186692594.jpg
 
Kila kona ya nchi na dunia kwa ujumla wanasema Tundu Lisu ndiye mwenye nafasi ya ushindi ktk uchaguzi wa mwaka huu.

Na ndiyo maana hata jana 8/8/2020 alipokuwa akichukua fomu pale jijini Dodoma amefuatiliwa ktk social media na zaidi ya watu bilioni moja (1+ bil )
View attachment 1532191
2020 hawezi labda ajipange 2025
 
2020 hawezi labda ajipange 2025
Unapaswa kuyajua yafuatayo:-
  1. Tuliopotelewa na ndugu zetu kwa utekaji tuko wengi.
  2. Tuliopata hasara ktk mazao yetu, mfano korosho, tuko wengi.
  3. Tuliopotelewa na ndugu zetu wakakutwa kwenye viroba tuko wengi.
  4. Tuliosomesha watoto halafu hawajapata ajira tuko wengi.
  5. Tulioumizwa na ubaguzi, matusi na dharau tuko wengi
  6. Tuliofilisika kwa sera ya "matajiri wataishi kama mashetani tuko wengi.
 
Kumbuka palipo na matokeo hasi, Kuna matokeo chanya, usiangalie mapungufu tu, ishu ya mauaji, kutekwa pamoja na kupigwa risasi kweli zinaumiza na zinamgusa mtu mmoja mmoja na ni ishu za kijamii, suala la malipo ya mifumo ya serikali linakuwa la mlolongo lakini watalipwa, Maadam upinzani uwe chachu ya kuleta maadili ya walioshika dola.
 
Back
Top Bottom