Tundu Lissu asema ameamua kwenda uhamishoni Ubelgiji kwa sababu ana hati ya ukaazi ya nchi hiyo

Hivi hakuna sheria inayokataza mgombea nafasi ya urais kuwa mkazi wa nchi zaidi ya Tanzania?

Lisu alikuwa kaweka mguu mmoja ndani mguu mwingine nje.

Bad look!
Moja ya sababu iliyomnyima kura yangu

Yani Mtu anaelekea kua na uraia wa UBELGIJI Alafu nimpe uraisi wa nchi yang ten Tz, haileti picha nzuri kwangu

Uzuri ni kwamba hata gombea tena nafasi ya uraisi
 
Aliyekuwa mgombea urais wa Chadema mh Tundu Lisu amewasili salama salimini nchini Ubelgiji.

Tundu Lisu amesema ameamua kwenda kuishi Ubelgiji na siyo sehemu nyingine kwa sababu ameshakaa nchini humo kwa miaka mitatu na kwamba ana hati ya ukaazi ya nchi hiyo.

Source BBC Dira ya Dunia

Maendeleo hayana vyama!
Rubbish, is this news umeona ulete hapa
 
Huyu alitaka ukimbizi ubalozi wa Ujerumani kwa sababu kule fedha yake ni nyingi akakwama lakini wakamshauri arudi kule alipokuwapo yaani Ubelgiji. Ukiangalia kwa nini hakujisalimisha ubalozi wa Ubelgiji? Unajua Ujerumani wanamfadhili Zito miaka mingi sasa Lisu roho imemtoka anataka fedha kama anazopata zito
 
Kafanya kazi kubwa ya kupolomosha umaarufu wa yesu umerudi sifuri hadi anaondoka oooooh tumenunua ndege,tunajenga sgr,tunajenga flyova,bwawa sijui la nini vimedodaaaaa.
 
Wanazidi kuipa sababu JMTZ kukataa Uraia pacha, cha ajabu diaspora wanamshangilia Tundu kwa ujinga wake lkn wanazidi kujiaharibia huku Bongo, Uraia Pacha wasahahu, na ndiyo mnauhitaji wala msitake kujifanya hamuhitaji, ...
 
Huyu alitaka ukimbizi ubalozi wa Ujerumani kwa sababu kule fedha yake ni nyingi akakwama lakini wakamshauri arudi kule alipokuwapo yaani Ubelgiji. Ukiangalia kwa nini hakujisalimisha ubalozi wa Ubelgiji? Unajua Ujerumani wanamfadhili Zito miaka mingi sasa Lisu roho imemtoka anataka fedha kama anazopata zito
Hii inteligensia yako ni zaidi ya Sea-I-A ya "Mar-re-car-ney."
 
Hivi hakuna sheria inayokataza mgombea nafasi ya urais kuwa mkazi wa nchi zaidi ya Tanzania?

Lisu alikuwa kaweka mguu mmoja ndani mguu mwingine nje.

Bad look!
Mzee kumbe wewe upo chato eee..

Kwani sisi uhamiaji wanapotoa hati za ukazi- residence permit/work permit ina athiri vipi uraia wako?
 
Hata wewe ukitaka, unaweza kwenda. Niliishi Brussels kwa miaka 2 ya masomo. Na nilikuwa na kibali cha ukaazi. Masomo yalipoisha, nikarudi Tanzania. Hakuna la ajabu.

Akina Mandela, Thabo Mbeki, Sam Nujoma, Eduardo Mondlane na wengine wameishi Tanzania. Nyerere aliwapa pasipoti ya Tanzania kusafiria. Hali iliporuhusu, wakarudi kwao wakiwa mashujaa.
Usilinganishe hao watu na uchafu mwingine kama huyo nduguyo.
 
Wabelgiji wanampenda sana Lisu jamani, mpaka wamempa makazi ya huko!. Nitafurahi sana kuona wabelgiji wanampa ubunge au uraisi huko Ubelgiji. Hilo litaonyesha uso wa dunia kuwa wabelgiji wanampenda na kumjali sana Tundu Lisu.
 
Kama unataka connection ya kwenda kuishi Canada na Australia sema, achana na kumuonea wivu Lissu kwa kwenda zake kuishi mamtoni!
Siku akirudi kugombea nafasi yoyote inabidi apimwe marinda kabla ya kuruhusiwa kufanya hivyo.
Beberu si watu poa saana.
Wameharibu maisha ya watoto wa willy smith, na akina jay z
 
Huyu alitaka ukimbizi ubalozi wa Ujerumani kwa sababu kule fedha yake ni nyingi akakwama lakini wakamshauri arudi kule alipokuwapo yaani Ubelgiji. Ukiangalia kwa nini hakujisalimisha ubalozi wa Ubelgiji? Unajua Ujerumani wanamfadhili Zito miaka mingi sasa Lisu roho imemtoka anataka fedha kama anazopata zito
Hii inteligensia yako ni zaidi ya Sea-I-A ya "Mar-re-car-ney."
Nawaelewa sana😁😁😁😁
 
Wanazidi kuipa sababu JMTZ kukataa Uraia pacha, cha ajabu diaspora wanamshangilia Tundu kwa ujinga wake lkn wanazidi kujiaharibia huku Bongo, Uraia Pacha wasahahu, na ndiyo mnauhitaji wala msitake kujifanya hamuhitaji, ...
Serikali ya Tanzania inakataa uraia pacha kwa Watanzania halisi waliozaliwa na kukulia Tanzania ambao kila siku wanatuma mamilioni ya pesa nyumbani, kufungua miradi na kusaidia ndugu, jamaa na marafiki lakini wanawakubalia raia wa Caribbean kukaa Tanzania bila ya Visa. Huu ni ujinga wa hali ya juu unaofanywa na serikali ya CCM.
 
Aliyekuwa mgombea urais wa Chadema mh Tundu Lissu amewasili salama salimini nchini Ubelgiji.

Tundu Lissu amesema ameamua kwenda kuishi Ubelgiji na siyo sehemu nyingine kwa sababu ameshakaa nchini humo kwa miaka mitatu na kwamba ana hati ya ukaazi ya nchi hiyo.

Chanzo: BBC Dira ya Dunia

Maendeleo hayana vyama!
Hayana chama wakati wengine wanawindwa.
 
Siku akirudi kugombea nafasi yoyote inabidi apimwe marinda kabla ya kuruhusiwa kufanya hivyo.
Beberu si watu poa saana.
Wameharibu maisha ya watoto wa willy smith, na akina jay z
Ukishakuwa mpambe wa CCM lazima uwe na Akili Kinyesi Kubwa Jinga Zumbukuku
 
Back
Top Bottom