Real Patriotist
JF-Expert Member
- Feb 6, 2016
- 296
- 698
Wewe uko wapi huko usipoweza kuyaelewa haya unayouliza? Mbona yote hayayamekwisha kufanyika. Utamshtaki asiyeshtakiwa kisheria tena kwa wateule wake ndio waiamue kesi yake, are you serious? Sidhani kama mna nia njema dhidi ya hawa watu au labda hamuelewi nini kinaendelea. Mmeshindwa kujifunza kwenye hii kesi ya Mbowe.Hapana hata kama mamlaka inahusika...shida inakuwa wapi kushinikiza ndani na nje...?.. kwa hiyo akae kimya? kama mamlaka inahusika kwanini usikusanywe ushahidi na mamlaka hiyo iliyopiga mtu marisasi yote yale ikashitakiwa popote pale ndani au nje na kesi ikaunguruma...CDM kwa nini wasikodi special agents kutoka kwa ajili ya investigations na kukusanya ushahidi, CDM kwanini wasipige kelele jumuiya za kimataifa kuomba uchunguzi huru juu ya mtu kupigwa marisasi na wengine kupotea?
Nashauri CDM si wakati sahihi wa kuwaita Lisu na Lema nchini WATAISHA. Chama kitapoteza pakubwa sana na hata kuingia mikononi mwa madhalimu. Tupambane tumalize kesi ya mwamba kwanza.
kivipi tunaweza kuondoa uoga na unafiki ndani ya mioyo na mabichwa ya watz ???
SASA NI SAA NNE KAMILI.