Tundu Lissu arejee nyumbani Mara moja

Chezea kula bure,kulala bure na posho kwa jina la wakimbizi wa Siasa,watatoa kila visingozio ili tu wabaki huko,wakishachuma vya kutosha watarudi kwa mbwembwe kwa jina la kuikomboa Tanzania.
 
Kwa huu uzi wenu mnathibitisha Chadema ni Lissu, Mbowe, na Lema, hao wengine waliopo nchini kazi yao ni ipi?

Hizi hoja zenu hata sizielewi.
Kweli mkuu, hoja kama hizi zinapqndikiza fikra mgando ya kuaminj kuwa chama ni nguvu ya watu fulani tu na siyo wenye nguvu ya itikadi
 
Inawezekana unapoint.....ila hiyo "hata wakimuuua hana cha kupoteza" vaa viatu ungekuwa mtoto wa Lissu ndiyo unasoma huu Uzi
 
Ni muda Sasa wa Tundu Lissu kurejea nyumbani no matter what.

Hata Kama akirudi wakamuua Hana Cha kupoteza Tena

Chadema haina kiongozi kwa Sasa Mnyika Ni kiongozi goigoi mno na siasa za kimbogo ambazo zimepitwa na wakati kwa utawala wa Sasa wa Ccm.

Chadema kinatakiwa kurejea na kuwaambia wanachama wake Hali halisi na wanachama watapakae kote vijijini kuimalishwa kwa chama kuelekea uchaguzi 2025.

Lissu akiendelea kukaa Ulaya hiki chama kinakufa kwa ujinga wa kuwaruhusu majasusi waendeshe chama.

Lazima chadema ya Harakati za ukweli irejee haraka Sana na kuanza siasa Kali za nguvu ya umma kuelekea uchaguzi 2025.

Pesa zipo watu wenye mapenzi na chama tutachanga Kama chama kitasimama na kutetea maisahi ya wanachi.

Hakuna Cha kuogopa kesi za kiuni Lema pia arudi nyumbani mapambano yaendelee wajenge chama mpaka vijijini wagawe kadi pesa zipatikane operation zote zifanyike.

Katiba mpya muda wa kuidai Ni Sasa na Hawa jamaa hawatakaa walete katiba kwakucheana chekeana .

Nashauri Lissu na Lema warejee Hawa ndio wanaweza kuongoza mapambano ya kudai katiba wakaeleweka.

Chadema kipo kwenye the point of no return kulia Lia sio lazima Tena Ni kufanya vitendo.

Kwa mfano unaandaa makongamano ya katiba kila kata Nchi nzima watawakamataje? Hata wakiwakamata kwa mfano kata ina wanachama 1000 wamekuja kwenye mkutano watawafunga wapi .

Lazima tubadilike huu utawala wa ccm wa Sasa sio watu wa kuwakenulia meno.

Andaa makongamano Nchi nzima kwa muda mmoja na yamalizike kwa muda mmoja.

Haya Mambo ya kuwaachia Bawacha na Bavicha chama sikubaliani hata kidogo.

Wengine tupo tayari kuchangia chama frequently pesa za operation za kila siku za movement za kudai katiba.

Mnyika akae pembeni. Japo Heche wakamate mikoba sasa. Wazee wa nyembe za kunyolea muda wetu ndiyo huu wa kujimwaya mwaya:

CHADEMA: Bila kuwapa Makavu hakuna Katiba Mpya
 
Wewe jamaa nimekuwa nakufuatilia sana hivi karibuni,hakika Chadema wakifuata ushauri wako watafanya vizuri sana,kuna ushauri uliutoa hivi karibuni kuhusu Chadema kuto mtukana marehemu sijui kama walikuelewa,wasiungane na WANA-CCM wanaomtukana sasa hivi marehemu,marehemu ana wafuasi wengi sana ambao wanatamani sana mama Samia na timu msoga ashindwe wakiamini ndo waliohusika kumuua Magu,na hii kitu imejikita sana kwenye mioyo ya watu,Mama Samia kwa sehemu kubwa hakubaliki
Marehemu hawezi kuwa na wafuasi, kilichopo ni watu wanapigania matumbo yao ili tonge lisiwaponyoke. Kwenye politics za nchi hii mzee wa msoga ni nomaa!! Jiulize nini nimempata Bashiru na sasa Polepole?
 
Watawafunga viongozi tu. Ama wanaua mmoja kwa risasi mbele ya wengine halafu inakuwa somo kwa wengine
Hakuna Cha kufuna viongozi wakikamatwa Ni kuandamana na kukaa kituoni mpaka waachiwe bila mashariti.

Wakigoma kituo kinapigwa Moto Kama ishara ya kuchoka uonevu.
 
Ni muda Sasa wa Tundu Lissu kurejea nyumbani no matter what.

Hata Kama akirudi wakamuua Hana Cha kupoteza Tena

Chadema haina kiongozi kwa Sasa Mnyika Ni kiongozi goigoi mno na siasa za kimbogo ambazo zimepitwa na wakati kwa utawala wa Sasa wa Ccm.

Chadema kinatakiwa kurejea na kuwaambia wanachama wake Hali halisi na wanachama watapakae kote vijijini kuimalishwa kwa chama kuelekea uchaguzi 2025.

Lissu akiendelea kukaa Ulaya hiki chama kinakufa kwa ujinga wa kuwaruhusu majasusi waendeshe chama.

Lazima chadema ya Harakati za ukweli irejee haraka Sana na kuanza siasa Kali za nguvu ya umma kuelekea uchaguzi 2025.

Pesa zipo watu wenye mapenzi na chama tutachanga Kama chama kitasimama na kutetea maisahi ya wanachi.

Hakuna Cha kuogopa kesi za kiuni Lema pia arudi nyumbani mapambano yaendelee wajenge chama mpaka vijijini wagawe kadi pesa zipatikane operation zote zifanyike.

Katiba mpya muda wa kuidai Ni Sasa na Hawa jamaa hawatakaa walete katiba kwakucheana chekeana .

Nashauri Lissu na Lema warejee Hawa ndio wanaweza kuongoza mapambano ya kudai katiba wakaeleweka.

Chadema kipo kwenye the point of no return kulia Lia sio lazima Tena Ni kufanya vitendo.

Kwa mfano unaandaa makongamano ya katiba kila kata Nchi nzima watawakamataje? Hata wakiwakamata kwa mfano kata ina wanachama 1000 wamekuja kwenye mkutano watawafunga wapi .

Lazima tubadilike huu utawala wa ccm wa Sasa sio watu wa kuwakenulia meno.

Andaa makongamano Nchi nzima kwa muda mmoja na yamalizike kwa muda mmoja.

Haya Mambo ya kuwaachia Bawacha na Bavicha chama sikubaliani hata kidogo.

Wengine tupo tayari kuchangia chama frequently pesa za operation za kila siku za movement za kudai katiba.
Ni muda Sasa wa Tundu Lissu kurejea nyumbani no matter what.

Hata Kama akirudi wakamuua Hana Cha kupoteza Tena

Chadema haina kiongozi kwa Sasa Mnyika Ni kiongozi goigoi mno na siasa za kimbogo ambazo zimepitwa na wakati kwa utawala wa Sasa wa Ccm.

Chadema kinatakiwa kurejea na kuwaambia wanachama wake Hali halisi na wanachama watapakae kote vijijini kuimalishwa kwa chama kuelekea uchaguzi 2025.

Lissu akiendelea kukaa Ulaya hiki chama kinakufa kwa ujinga wa kuwaruhusu majasusi waendeshe chama.

Lazima chadema ya Harakati za ukweli irejee haraka Sana na kuanza siasa Kali za nguvu ya umma kuelekea uchaguzi 2025.

Pesa zipo watu wenye mapenzi na chama tutachanga Kama chama kitasimama na kutetea maisahi ya wanachi.

Hakuna Cha kuogopa kesi za kiuni Lema pia arudi nyumbani mapambano yaendelee wajenge chama mpaka vijijini wagawe kadi pesa zipatikane operation zote zifanyike.

Katiba mpya muda wa kuidai Ni Sasa na Hawa jamaa hawatakaa walete katiba kwakucheana chekeana .

Nashauri Lissu na Lema warejee Hawa ndio wanaweza kuongoza mapambano ya kudai katiba wakaeleweka.

Chadema kipo kwenye the point of no return kulia Lia sio lazima Tena Ni kufanya vitendo.

Kwa mfano unaandaa makongamano ya katiba kila kata Nchi nzima watawakamataje? Hata wakiwakamata kwa mfano kata ina wanachama 1000 wamekuja kwenye mkutano watawafunga wapi .

Lazima tubadilike huu utawala wa ccm wa Sasa sio watu wa kuwakenulia meno.

Andaa makongamano Nchi nzima kwa muda mmoja na yamalizike kwa muda mmoja.

Haya Mambo ya kuwaachia Bawacha na Bavicha chama sikubaliani hata kidogo.

Wengine tupo tayari kuchangia chama frequently pesa za operation za kila siku za movement za kudai katiba.
Nakubaliana na hoja zako kwa 100% japo swala la kurudi linabaki katika maamuzi yake Binafsi.
 
Siku aliyopokelewa Lowassa na kumkaidi Dr Slaa ndio siku ambayo Chadema kama chama kilifikia peak yake. Hakiwezi kuinuka tena. Chadema unayoizungumzia mleta mada ni ile ya Dr Slaa na haitoweza kurudi tena.
Mlipoteza wapambanaji wengi sana ile siku.
Unazungumzia Dr Mihogo huyu huyu aliyehongwa ubalozi?
 
Ww unaweza kuyafanya hayo?
Hapo unaongea uko home umetulia na wife anapika nyama
Mkuu kuna watu wanafurahisha sanaa. Hili swali ameshaulizwa kule Maria Space na akawajibu vizuri tuu madhila aliyopitia kwenye maisha yake kuna watu hata theluthi yake tuu hawayawezi ila wanajifanya ni washauri wake. Mpaka aliwapa mifano ya jinsi walivyogoma kumuunga mkono wakati matokeo ya uchaguzi yalipotoka...
 
Tutahakikisha kila biashara inayomilikiwa na mwana ccm inapigwa Moto na tunapoteza wote.
Mmeshindwa kumwondoa Mlevi wa Konyagi mtaweza ya Watanzania? Nyie bakini kulialia tu humu JF. Tanzania ina wenyewe, na wenyewe ni Watanzania, sio Chaga gangsters!
 
Wewe jamaa nimekuwa nakufuatilia sana hivi karibuni,hakika Chadema wakifuata ushauri wako watafanya vizuri sana,kuna ushauri uliutoa hivi karibuni kuhusu Chadema kuto mtukana marehemu sijui kama walikuelewa,wasiungane na WANA-CCM wanaomtukana sasa hivi marehemu,marehemu ana wafuasi wengi sana ambao wanatamani sana mama Samia na timu msoga ashindwe wakiamini ndo waliohusika kumuua Magu,na hii kitu imejikita sana kwenye mioyo ya watu,Mama Samia kwa sehemu kubwa hakubaliki
Kuna kundi kubwa sana la marehemu halijui hatma yao,Sasa Chadema badala ya kujizolea hili kundi wao wako busy kumtukana marefu. Hawa jamaa wana mattz sana.
 
Ndio hivyo huwezi kutukana mtu ambaye hayupo

Hawezi kujitetea Tena

Ambaye ameshafuga kitabu chake hapa duniani

Ni kujitafutia laana tu katika siasa tunapambana na waliopo madarakani sio waliotoka au kufa.

..Lissu au Lema wakirudi watakamatiwa uwanja wa ndege.
 
kwani dr slaa yuko wapi huoni kama angetuuza kwa bei chee
Mtu anayemzungumza Dr. Slaa kama hero kwenye siasa za upinzani wa Tanzania huwa simuelewi kabisa mantiki yake. Huo ushupavu wake ni upi? Hana hicho ambacho wanaccm wachache waliokuwa wamejificha ndani ya upinzani hasa Chadema wanachokuwa wanamsifia. Alipokubali tu kushiriki na CCM ya Magufuli na kukubali kazi aliyopewa ilitosha kabisa kumuondoa kwenye sifa hizo. Maana tayari ni msaliti na hilo alilithibitisha. Siasa za upinzani Tanzania sio lelemama hata kidogo zinahitaji kujipambanua na kujisimamia misimamo yako. Mpaka sasa wanasiasa wa upinzani wanaoshikilia misimamo yao ni wachache sana wengi wameshaonesha madhaifu yao hadharani na wengine wamesaliti kabisa harakati.
 
Back
Top Bottom