Tundu Lissu arejee nyumbani Mara moja

Tundu Lissu arejee nyumbani Mara moja

Slaa aliondoka baada ya kuingia Lowassa
Kwenda kwake ccm ni ile hulka ya tukose wote.
Nilikua na jamaa zangu huwaambii kitu kuhusu chadema lakini lilipotokea lile tukio wakawa wapo wapo tu.
Hao hawakua watu makini tunaweza kusema walikua wafuasi wa mtu badala ya chama.kwahiyo impact yao ni ndogo sana.
 
Watu wanaangalia itikadi ya chama ipoje mzee kwa maana mlikuwa mnaamini nini na sasa mnasimamia nini?
Kwani hiyu mleta mada anavyotaka Lissu aje kwani CDM haina watu wengine wa kufanya hayo ambayo yangefanywa na Lissu aliyepo Ulaya?
 
Lissu huyu huyu aliyetangaza maandandamano yasiyo na kikomo naajabu hata yeye hakujitokeza....!!
Tunahitaji chama kipya cha upinzani kutoka CCM!
Unadhani kuanzisha chama cha siasa ni kitu rahisi sana.Jaribu uone mziki wake.siku zote kuongea ni rahisi sana.
 
Watu wanaangalia itikadi ya chama ipoje mzee kwa maana mlikuwa mnaamini nini na sasa mnasimamia nini?
Kwani hiyu mleta mada anavyotaka Lissu aje kwani CDM haina watu wengine wa kufanya hayo ambayo yangefanywa na Lissu aliyepo Ulaya?
Hapo kwenye itikadi naungana na wewe.mimi siamini sana kwenye siasa za kufwata watu.Ukimfwata mtu siku akibadilisha mawazo unajikuta unachukua taasisi nzima bila sababu.Ila pia kila mtu akiwajibika pale alipo hakuna kitakachoshindikana.hao kina lissu wamefika hapo kwasababu kuna walichokifanya kwahiyo ata mwingine yoyote akiwa na dhamira anaweza kufika.
 
Ndio hivyo huwezi kutukana mtu ambaye hayupo

Hawezi kujitetea Tena

Ambaye ameshafuga kitabu chake hapa duniani

Ni kujitafutia laana tu katika siasa tunapambana na waliopo madarakani sio waliotoka au kufa.
Tafuta nafasi mtonye Mbowe huko gerezani ajuwe hili na atubu. Laana ya JPM itaendelea kumtafuna.
 
Warudi kuja kufanya nini wakati kama mkiambiwa muandamane hamuonekani?

Hizo aina ya siasa unazozitaka isipotumika akili ndio mtampa msajili nafasi ya bure kukifuta chama.

Haya mambo yanavyokwenda mnakuwa provoked makusudi, mkirudisha tu wanakifuta chama.

Hizi sarakasi zote za jaji kuamua shauri kwa kufuata maoni yake badala ya kuangalia sheria inasema nini ndio mipango yenyewe yakuwapandisha mori kama uliopandisha hapa, na ukirusha jiwe tu, Chadema itabaki historia.

Haya mambo ya serikali kwa Chadema ni kwenda nayo taratibu huku ikiangaliwa sheria inasema nini, uamuzi wowote wa kukurupuka toka kwa viongozi na wanachama wa Chadema utakwenda kutumiwa na msajili effectivelly.
Mkuu umeandika vitu vya maana sana ile sheria iliyoletwa na mwendazake na kubarikiwa na bunge ni mbaya mnooo Chadema wawe makini nayo unless otherwise chama kitabaki historia
 
Ni muda Sasa wa Tundu Lissu kurejea nyumbani no matter what.

Hata Kama akirudi wakamuua Hana Cha kupoteza Tena

Chadema haina kiongozi kwa Sasa Mnyika Ni kiongozi goigoi mno na siasa za kimbogo ambazo zimepitwa na wakati kwa utawala wa Sasa wa Ccm.

Chadema kinatakiwa kurejea na kuwaambia wanachama wake Hali halisi na wanachama watapakae kote vijijini kuimalishwa kwa chama kuelekea uchaguzi 2025.

Lissu akiendelea kukaa Ulaya hiki chama kinakufa kwa ujinga wa kuwaruhusu majasusi waendeshe chama.

Lazima chadema ya Harakati za ukweli irejee haraka Sana na kuanza siasa Kali za nguvu ya umma kuelekea uchaguzi 2025.

Pesa zipo watu wenye mapenzi na chama tutachanga Kama chama kitasimama na kutetea maisahi ya wanachi.

Hakuna Cha kuogopa kesi za kiuni Lema pia arudi nyumbani mapambano yaendelee wajenge chama mpaka vijijini wagawe kadi pesa zipatikane operation zote zifanyike.

Katiba mpya muda wa kuidai Ni Sasa na Hawa jamaa hawatakaa walete katiba kwakucheana chekeana .

Nashauri Lissu na Lema warejee Hawa ndio wanaweza kuongoza mapambano ya kudai katiba wakaeleweka.

Chadema kipo kwenye the point of no return kulia Lia sio lazima Tena Ni kufanya vitendo.

Kwa mfano unaandaa makongamano ya katiba kila kata Nchi nzima watawakamataje? Hata wakiwakamata kwa mfano kata ina wanachama 1000 wamekuja kwenye mkutano watawafunga wapi .

Lazima tubadilike huu utawala wa ccm wa Sasa sio watu wa kuwakenulia meno.

Andaa makongamano Nchi nzima kwa muda mmoja na yamalizike kwa muda mmoja.

Haya Mambo ya kuwaachia Bawacha na Bavicha chama sikubaliani hata kidogo.

Wengine tupo tayari kuchangia chama frequently pesa za operation za kila siku za movement za kudai katiba.

Chadema walisema kitakufa miaka 20 sasa!
 
Hakuna mtu ataruhusu huo ujinga,mtashughulikiwa kabla ya kufanyika hayo makongamano.

Kusema kwenye mitandao ni rahisi Sana
 
Are you sirizazi hata wakimuua hana cha kupoteza ? Yaani ajisakrifaisi maisha kwa ajili ya makima🐒
 
Siku aliyopokelewa Lowassa na kumkaidi Dr Slaa ndio siku ambayo Chadema kama chama kilifikia peak yake. Hakiwezi kuinuka tena. Chadema unayoizungumzia mleta mada ni ile ya Dr Slaa na haitoweza kurudi tena.
Mlipoteza wapambanaji wengi sana ile siku.
kwani dr slaa yuko wapi huoni kama angetuuza kwa bei chee
 
Ni jambo jema kuishi kwenu kuliko maisha ya ukimbizini japo wapo wanayoyapenda pia..

Tunamkaribisha sana TL Tanzania, japo lazima akubali nchi ina mamlaka zake ambazo zinahitaji utiifu kwa maana ya kutii mamlaka na sio kulazimisha mamlaka na watu wote wakutii wewe na unachoongea ndio iwe sheria ya nchi..

Jambo lingine la msingi afungue kesi kudai haki yake dhidi ya shambulio la risasi alilofanyiwa, afungue kesi kulazimisha uchunguzi ufanyike na asiishie hapa tu amwambie na Robert Amsterdam naye afungue mashitaka huko ughaibuni kuomba uchunguzi huru haki ipatikane na watanzania wajue nani ni nani na nini ni nini...Hili hata CDM wanaweza kumsadia kulipush sioni ugumu issue ya justice for LISSU, kule twitani GOVT ipewe pressure kupitia akina shangazi....
 
Napata shida sana kwenye issue ya shambulio la TL nini kinashindikna kuifungulia kesi Serikali nje na ndani kudai uchunguzi huru, kumfungulia kesi Sirro peke yake na Tiss director wa wakati ule juu ya wao kushindwa kufanya uchunguzi na kutoa matokeo juu ya lile shambulio hili lifanyike mahakama za ndani na nje...
 
Ni muda Sasa wa Tundu Lissu kurejea nyumbani no matter what.

Hata Kama akirudi wakamuua Hana Cha kupoteza Tena

Chadema haina kiongozi kwa Sasa Mnyika Ni kiongozi goigoi mno na siasa za kimbogo ambazo zimepitwa na wakati kwa utawala wa Sasa wa Ccm.

Chadema kinatakiwa kurejea na kuwaambia wanachama wake Hali halisi na wanachama watapakae kote vijijini kuimalishwa kwa chama kuelekea uchaguzi 2025.

Lissu akiendelea kukaa Ulaya hiki chama kinakufa kwa ujinga wa kuwaruhusu majasusi waendeshe chama.

Lazima chadema ya Harakati za ukweli irejee haraka Sana na kuanza siasa Kali za nguvu ya umma kuelekea uchaguzi 2025.

Pesa zipo watu wenye mapenzi na chama tutachanga Kama chama kitasimama na kutetea maisahi ya wanachi.

Hakuna Cha kuogopa kesi za kiuni Lema pia arudi nyumbani mapambano yaendelee wajenge chama mpaka vijijini wagawe kadi pesa zipatikane operation zote zifanyike.

Katiba mpya muda wa kuidai Ni Sasa na Hawa jamaa hawatakaa walete katiba kwakucheana chekeana .

Nashauri Lissu na Lema warejee Hawa ndio wanaweza kuongoza mapambano ya kudai katiba wakaeleweka.

Chadema kipo kwenye the point of no return kulia Lia sio lazima Tena Ni kufanya vitendo.

Kwa mfano unaandaa makongamano ya katiba kila kata Nchi nzima watawakamataje? Hata wakiwakamata kwa mfano kata ina wanachama 1000 wamekuja kwenye mkutano watawafunga wapi .

Lazima tubadilike huu utawala wa ccm wa Sasa sio watu wa kuwakenulia meno.

Andaa makongamano Nchi nzima kwa muda mmoja na yamalizike kwa muda mmoja.

Haya Mambo ya kuwaachia Bawacha na Bavicha chama sikubaliani hata kidogo.

Wengine tupo tayari kuchangia chama frequently pesa za operation za kila siku za movement za kudai katiba.
waliompiga risasi ni kina nani?

wazee wa PGO.

umetumwa ili aje mummalizie?

pole sana
 
Ni jambo jema kuishi kwenu kuliko maisha ya ukimbizini japo wapo wanayoyapenda pia..

Tunamkaribisha sana TL Tanzania, japo lazima akubali nchi ina mamlaka zake ambazo zinahitaji utiifu kwa maana ya kutii mamlaka na sio kulazimisha mamlaka na watu wote wakutii wewe na unachoongea ndio iwe sheria ya nchi..

Jambo lingine la msingi afungue kesi kudai haki yake dhidi ya shambulio la risasi alilofanyiwa, afungue kesi kulazimisha uchunguzi ufanyike na asiishie hapa tu amwambie na Robert Amsterdam naye afungue mashitaka huko ughaibuni kuomba uchunguzi huru haki ipatikane na watanzania wajue nani ni nani na nini ni nini...Hili hata CDM wanaweza kumsadia kulipush sioni ugumu issue ya justice for LISSU, kule twitani GOVT ipewe pressure kupitia akina shangazi....
mumetumwa?
 
Napata shida sana kwenye issue ya shambulio la TL nini kinashindikna kuifungulia kesi Serikali nje na ndani kudai uchunguzi huru, kumfungulia kesi Sirro peke yake na Tiss director wa wakati ule juu ya wao kushindwa kufanya uchunguzi na kutoa matokeo juu ya lile shambulio hili lifanyike mahakama za ndani na nje...
mamlaka inahusika.. unategemea nini?
 
mamlaka inahusika.. unategemea nini?

Hapana hata kama mamlaka inahusika...shida inakuwa wapi kushinikiza ndani na nje...?.. kwa hiyo akae kimya? kama mamlaka inahusika kwanini usikusanywe ushahidi na mamlaka hiyo iliyopiga mtu marisasi yote yale ikashitakiwa popote pale ndani au nje na kesi ikaunguruma...CDM kwa nini wasikodi special agents kutoka kwa ajili ya investigations na kukusanya ushahidi, CDM kwanini wasipige kelele jumuiya za kimataifa kuomba uchunguzi huru juu ya mtu kupigwa marisasi na wengine kupotea?
 
Napata shida sana kwenye issue ya shambulio la TL nini kinashindikna kuifungulia kesi Serikali nje na ndani kudai uchunguzi huru, kumfungulia kesi Sirro peke yake na Tiss director wa wakati ule juu ya wao kushindwa kufanya uchunguzi na kutoa matokeo juu ya lile shambulio hili lifanyike mahakama za ndani na nje...
Fungua wewe
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom