Tundu Lissu arejee nyumbani Mara moja

Tundu Lissu arejee nyumbani Mara moja

Ni muda Sasa wa Tundu Lissu kurejea nyumbani no matter what.

Hata Kama akirudi wakamuua Hana Cha kupoteza Tena

Chadema haina kiongozi kwa Sasa Mnyika Ni kiongozi goigoi mno na siasa za kimbogo ambazo zimepitwa na wakati kwa utawala wa Sasa wa Ccm.

Chadema kinatakiwa kurejea na kuwaambia wanachama wake Hali halisi na wanachama watapakae kote vijijini kuimalishwa kwa chama kuelekea uchaguzi 2025.

Lissu akiendelea kukaa Ulaya hiki chama kinakufa kwa ujinga wa kuwaruhusu majasusi waendeshe chama.

Lazima chadema ya Harakati za ukweli irejee haraka Sana na kuanza siasa Kali za nguvu ya umma kuelekea uchaguzi 2025.

Pesa zipo watu wenye mapenzi na chama tutachanga Kama chama kitasimama na kutetea maisahi ya wanachi.

Hakuna Cha kuogopa kesi za kiuni Lema pia arudi nyumbani mapambano yaendelee wajenge chama mpaka vijijini wagawe kadi pesa zipatikane operation zote zifanyike.

Katiba mpya muda wa kuidai Ni Sasa na Hawa jamaa hawatakaa walete katiba kwakucheana chekeana .

Nashauri Lissu na Lema warejee Hawa ndio wanaweza kuongoza mapambano ya kudai katiba wakaeleweka.

Chadema kipo kwenye the point of no return kulia Lia sio lazima Tena Ni kufanya vitendo.

Kwa mfano unaandaa makongamano ya katiba kila kata Nchi nzima watawakamataje? Hata wakiwakamata kwa mfano kata ina wanachama 1000 wamekuja kwenye mkutano watawafunga wapi .

Lazima tubadilike huu utawala wa ccm wa Sasa sio watu wa kuwakenulia meno.

Andaa makongamano Nchi nzima kwa muda mmoja na yamalizike kwa muda mmoja.

Haya Mambo ya kuwaachia Bawacha na Bavicha chama sikubaliani hata kidogo.

Wengine tupo tayari kuchangia chama frequently pesa za operation za kila siku za movement za kudai katiba.
Akirudi tu ,anaunganishwa na gaidi ndani!Kwan unafiri kwann hataki kurudi?
 
Siku aliyopokelewa Lowassa na kumkaidi Dr Slaa ndio siku ambayo Chadema kama chama kilifikia peak yake. Hakiwezi kuinuka tena. Chadema unayoizungumzia mleta mada ni ile ya Dr Slaa na haitoweza kurudi tena.
Mlipoteza wapambanaji wengi sana ile siku.
Nguvu za dola mnazotumia kutakakukisambaratisha ni za nini?

Sent from my SM-N9150 using JamiiForums mobile app
 
Ni muda Sasa wa Tundu Lissu kurejea nyumbani no matter what.

Hata Kama akirudi wakamuua Hana Cha kupoteza Tena

Chadema haina kiongozi kwa Sasa Mnyika Ni kiongozi goigoi mno na siasa za kimbogo ambazo zimepitwa na wakati kwa utawala wa Sasa wa Ccm.

Chadema kinatakiwa kurejea na kuwaambia wanachama wake Hali halisi na wanachama watapakae kote vijijini kuimalishwa kwa chama kuelekea uchaguzi 2025.

Lissu akiendelea kukaa Ulaya hiki chama kinakufa kwa ujinga wa kuwaruhusu majasusi waendeshe chama.

Lazima chadema ya Harakati za ukweli irejee haraka Sana na kuanza siasa Kali za nguvu ya umma kuelekea uchaguzi 2025.

Pesa zipo watu wenye mapenzi na chama tutachanga Kama chama kitasimama na kutetea maisahi ya wanachi.

Hakuna Cha kuogopa kesi za kiuni Lema pia arudi nyumbani mapambano yaendelee wajenge chama mpaka vijijini wagawe kadi pesa zipatikane operation zote zifanyike.

Katiba mpya muda wa kuidai Ni Sasa na Hawa jamaa hawatakaa walete katiba kwakucheana chekeana .

Nashauri Lissu na Lema warejee Hawa ndio wanaweza kuongoza mapambano ya kudai katiba wakaeleweka.

Chadema kipo kwenye the point of no return kulia Lia sio lazima Tena Ni kufanya vitendo.

Kwa mfano unaandaa makongamano ya katiba kila kata Nchi nzima watawakamataje? Hata wakiwakamata kwa mfano kata ina wanachama 1000 wamekuja kwenye mkutano watawafunga wapi .

Lazima tubadilike huu utawala wa ccm wa Sasa sio watu wa kuwakenulia meno.

Andaa makongamano Nchi nzima kwa muda mmoja na yamalizike kwa muda mmoja.

Haya Mambo ya kuwaachia Bawacha na Bavicha chama sikubaliani hata kidogo.

Wengine tupo tayari kuchangia chama frequently pesa za operation za kila siku za movement za kudai katiba.
Hiyo point ,kuwa hata kama wakimuua ,hana cha kupoteza.?Una maana gani,mleta hoja?Pia hivi vyama vya kutegemea watu wawili au watatu.Sijui kama vitainuka.Mbowe yupo jela chama mahututi tayari.Mbowe hakiezeeka je?
 
Wewe jamaa nimekuwa nakufuatilia sana hivi karibuni,hakika Chadema wakifuata ushauri wako watafanya vizuri sana,kuna ushauri uliutoa hivi karibuni kuhusu Chadema kuto mtukana marehemu sijui kama walikuelewa,wasiungane na WANA-CCM wanaomtukana sasa hivi marehemu,marehemu ana wafuasi wengi sana ambao wanatamani sana mama Samia na timu msoga ashindwe wakiamini ndo waliohusika kumuua Magu,na hii kitu imejikita sana kwenye mioyo ya watu,Mama Samia kwa sehemu kubwa hakubaliki
Sema hivi wewe ndio haumkubali.
 
uko sahihi

CDM walipiga u turn wanambeba lowasa

walipiga uturn kumuunga mkono JPM

inakuwa kama wanampambanisha CCM na JPM

Mtaani kulivyo, JPM bado anapendwa achilieni mbali story za social media

siasa is all about tactics na sio personal feelings
 
Wewe jamaa nimekuwa nakufuatilia sana hivi karibuni,hakika Chadema wakifuata ushauri wako watafanya vizuri sana,kuna ushauri uliutoa hivi karibuni kuhusu Chadema kuto mtukana marehemu sijui kama walikuelewa,wasiungane na WANA-CCM wanaomtukana sasa hivi marehemu,marehemu ana wafuasi wengi sana ambao wanatamani sana mama Samia na timu msoga ashindwe wakiamini ndo waliohusika kumuua Magu,na hii kitu imejikita sana kwenye mioyo ya watu,Mama Samia kwa sehemu kubwa hakubaliki
Mapya haya, wafu nao siku hizi wana wafuasi? Ama kweli uchizi unakukaribia au tayari kabisa.
 
Warudi kuja kufanya nini wakati kama mkiambiwa muandamane hamuonekani?

Hizo aina ya siasa unazozitaka isipotumika akili ndio mtampa msajili nafasi ya bure kukifuta chama.

Hizi sarakasi zote za jaji kuamua shauri kwa kufuata "maoni yake" badala ya kuangalia sheria inasema nini ndio mipango yenyewe yakuwapandisha mori kama uliopandisha hapa, na ukirusha jiwe tu, Chadema itabaki historia.

Haya mambo ya serikali kwa Chadema ni kwenda nayo taratibu huku ikiangaliwa sheria inasema nini, uamuzi wowote wa kukurupuka toka kwa viongozi na wanachama wa Chadema utakwenda kutumiwa na msajili effectivelly.
Yani wewe ukiacha matusi wakati mwingine unakuwa na point nzuri sana. Hapo umeongea kama great thinker kabisa. Nakupa hi five.
Huyo mleta mada anaishi kwenye nchi ya kusadikika, akiamini kwamba kufanya fujo kunaweza kuwa na tija kwa chadema, ni upuuzi mtupu; kama ulivyosema chama kitafutwa asubuhi na mapema, na mkiitisha maandamano hatuji.
Chadema inahitaji kuji-rebrand, kiuongozi na kisera ili irejee kwenye chadema ile ya dr slaa iliyokuwa inatilia mkazo mahitaji current ya wananchi na kutafuta njia muafaka za kuyasemea ili wananchi waone kuwa chama kinawasemea.
Huu mtindo wa porojo, fujo, na matusi ulioasisiwa na tundu lisu ni mufilisi, hauwezi kukisaidia chama.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom