Tundu Lissu arejee nyumbani Mara moja

Tundu Lissu arejee nyumbani Mara moja

Warudi kuja kufanya nini wakati kama mkiambiwa muandamane hamuonekani?

Hizo aina ya siasa unazozitaka isipotumika akili ndio mtampa msajili nafasi ya bure kukifuta chama.

Haya mambo yanavyokwenda mnakuwa provoked makusudi, mkirudisha tu wanakifuta chama.

Hizi sarakasi zote za jaji kuamua shauri kwa kufuata maoni yake badala ya kuangalia sheria inasema nini ndio mipango yenyewe yakuwapandisha mori kama uliopandisha hapa, na ukirusha jiwe tu, Chadema itabaki historia.

Haya mambo ya serikali kwa Chadema ni kwenda nayo taratibu huku ikiangaliwa sheria inasema nini, uamuzi wowote wa kukurupuka toka kwa viongozi na wanachama wa Chadema utakwenda kutumiwa na msajili effectivelly.
Ni vizuri wakifute ndio tukinukishe kabisa

Wadanganye wajichanganye
 
Tutahakikisha kila biashara inayomilikiwa na mwana ccm inapigwa Moto na tunapoteza wote.
 
Lissu huyu huyu aliyetangaza maandandamano yasiyo na kikomo naajabu hata yeye hakujitokeza....!!
Tunahitaji chama kipya cha upinzani kutoka CCM!
 
Sasa slaa alikuwa tayari anaondoka so ulitakaje ?
Slaa aliondoka baada ya kuingia Lowassa
Kwenda kwake ccm ni ile hulka ya tukose wote.
Nilikua na jamaa zangu huwaambii kitu kuhusu chadema lakini lilipotokea lile tukio wakawa wapo wapo tu.
 
Tutahakikisha kila biashara inayomilikiwa na mwana ccm inapigwa Moto na tunapoteza wote.
Muhimu kabla ya kuwasemea wengine uwe makini, usijejikuta siku ikifika upo peke yako.

Kunywa maji mengi utulie chini ya mti, wacha mawakili waendelee kumpigania Mbowe kama haki ipo ipo tu, na mwishowe kukata rufaa kutatumika ikibidi.
 
Slaa aliondoka baada ya kuingia Lowassa
Kwenda kwake ccm ni ile hulka ya tukose wote.
Nilikua na jamaa zangu huwaambii kitu kuhusu chadema lakini lilipotokea lile tukio wakawa wapo wapo tu.

Sent from my SM-J730GM using JamiiForums mobile app

But still lowasa alifanya kitu kikubwa kuliko slaaa angebakia
 
Ndio nikakumbuka yale maandamano Lissu aliyataka baada ya uchaguzi mkuu uliopita, alijitokeza? au ni mihemko tu ya kushindwa kesi ndogo kwenye kesi ya Mbowe, hizi provocation za jamhuri zikiwakuta wenye mihemko kama hawa, Chadema itafutwa very soon.

Very soon
 
Hawezi kurejea kirejareja hivyo kama serikali haitathibitisha usalama wake, yeye pia ni bidadamu kwa aliyopitia sidhani ni sahihi kukata tiketi leo na kutua airport kesho hapana, anaweza kurejea kisha wakamuua ama kumpoteza sababu waliotaka kumuua wapo pamoja nasi. Cha msingi kwa sasa ni sisi kuanza kudai katiba mpya leo hii. Njia pekee iliyobakia ndiyo hii tu - we don't have any other options.
 
Tuendelee kuwawezesha financially Lema na Lissu waliopo huko ughaibuni. Huko watapata nafasi ya kutembelea wazungu (wanademokrasia) kuishtaki serikali na kusubiri huruma yao. Tundu Lissu na Lema wataongoza chama kupitia social networks. Shime watanzania tuwaunge mkono makamanda wa ughaibuni.

Sent from my Android using JamiiForums mobile app
 
Tutahakikisha kila biashara inayomilikiwa na mwana ccm inapigwa Moto na tunapoteza wote.
Yaani haya maamuzi ya hii kesi ndogo ndiyo yamekutoa ufahamu namna hii? What if huyo mwanaCCM anayemiliki hiyo biashara ni Baba yako, Mama yako, kaka, dada, shemeji, mchungaji/sheikh wako, mwalimu wako? Ebu acha jazba za kijinga...CCM nao wakilipiza kisasi unategemea nini kitatokea? Kunywa maji mengi, shusha jazba, ni mapito tu haya ya kisiasa yataisha!! Mandela alipigwa kifungo cha maisha lakini alitoka na akawa Pres..
 
Natamani sana kuwaona Lissu na Lema wanarejea nchini lakini ninahofia wote wawili wanaweza kubambikiwa kesi za uhaini au hata kuuwawa na haya madhalimu.
 
Ni muda Sasa wa Tundu Lissu kurejea nyumbani no matter what.

Hata Kama akirudi wakamuua Hana Cha kupoteza Tena

Chadema haina kiongozi kwa Sasa Mnyika Ni kiongozi goigoi mno na siasa za kimbogo ambazo zimepitwa na wakati kwa utawala wa Sasa wa Ccm.

Chadema kinatakiwa kurejea na kuwaambia wanachama wake Hali halisi na wanachama watapakae kote vijijini kuimalishwa kwa chama kuelekea uchaguzi 2025.

Lissu akiendelea kukaa Ulaya hiki chama kinakufa kwa ujinga wa kuwaruhusu majasusi waendeshe chama.

Lazima chadema ya Harakati za ukweli irejee haraka Sana na kuanza siasa Kali za nguvu ya umma kuelekea uchaguzi 2025.

Pesa zipo watu wenye mapenzi na chama tutachanga Kama chama kitasimama na kutetea maisahi ya wanachi.

Hakuna Cha kuogopa kesi za kiuni Lema pia arudi nyumbani mapambano yaendelee wajenge chama mpaka vijijini wagawe kadi pesa zipatikane operation zote zifanyike.

Katiba mpya muda wa kuidai Ni Sasa na Hawa jamaa hawatakaa walete katiba kwakucheana chekeana .

Nashauri Lissu na Lema warejee Hawa ndio wanaweza kuongoza mapambano ya kudai katiba wakaeleweka.

Chadema kipo kwenye the point of no return kulia Lia sio lazima Tena Ni kufanya vitendo.

Kwa mfano unaandaa makongamano ya katiba kila kata Nchi nzima watawakamataje? Hata wakiwakamata kwa mfano kata ina wanachama 1000 wamekuja kwenye mkutano watawafunga wapi .

Lazima tubadilike huu utawala wa ccm wa Sasa sio watu wa kuwakenulia meno.

Andaa makongamano Nchi nzima kwa muda mmoja na yamalizike kwa muda mmoja.

Haya Mambo ya kuwaachia Bawacha na Bavicha chama sikubaliani hata kidogo.

Wengine tupo tayari kuchangia chama frequently pesa za operation za kila siku za movement za kudai katiba.
mh!! Lissu akirudi basi mama atakuwa ameruka mkojo, na kukanyaga mavi. Heri angebakia na mbowe waendeshane taratibu kuliko mwamba TUNDU ANTIPHAS LISSU, aliyeshindikana. Mwamba wa upinzani Africa.
 
Hawezi kurejea kirejareja hivyo kama serikali haitathibitisha usalama wake, yeye pia ni bidadamu kwa aliyopitia sidhani ni sahihi kukata tiketi leo na kutua airport kesho hapana, anaweza kurejea kisha wakamuua ama kumpoteza sababu waliotaka kumuua wapo pamoja nasi. Cha msingi kwa sasa ni sisi kuanza kudai katiba mpya leo hii. Njia pekee iliyobakia ndiyo hii tu - we don't have any other options.
Mkuu,mbona Lisu alirejea kwenye kampeni za urais na akazunguka karibu nchi nzima?
 
Siasa za Africa zimezidi kuangalia watu, badala ya kuangalia hoja.

Unamshurutisha mkimbizi arudi, ahatarishe maisha yake,wewe umefanya nini?

Lissu na Lema ni watu. Wakifa utafanya nini?

.
 
Siku aliyopokelewa Lowassa na kumkaidi Dr Slaa ndio siku ambayo Chadema kama chama kilifikia peak yake. Hakiwezi kuinuka tena. Chadema unayoizungumzia mleta mada ni ile ya Dr Slaa na haitoweza kurudi tena.
Mlipoteza wapambanaji wengi sana ile siku.
Chadema ipi hiyo iliyofikia peak wakati wa slaa wakati tumeona uchaguzi wa juzi ccm wakiweka mpira kwapani.Kinachokosekana hii nchi sio aina ya watu smart wa upinzani bali bado kama nchi hatujafika kwenye kiwango chakufanya siasa ngumu.

Hata huyo slaa alipata mafanikio sio kwasababu yeye ni zaidi ya wengine bali nikwasababu siasa za serikali iliyokuwepo kipindi hicho angalau zilikua fair.

Siasa ni itikadi hao wanaoondoka hawakufwata itikadi bali fursa kwa mgongo wa siasa na hiyo ipo lakini pia inatoa fursa kwa wengine kuingia.Kungekua na uwanja sawa wakufsnya siasa tungepata majibu vizuri ni cdm gani unayoizungumzia imefika peak.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom