Mbona kuna sheria inasema ukipigwa wimbo wa taifa hakuna kutembea hadi uishe na hakuna kuweka madoido,kama kuongeza ubeti,,hii ni sheria ya universal right
..wimbo wa taifa una beti mbili.
..sasa cdm waliimba beti mbili kama zilivyo.
..baada ya hapo waliimba wimbo TOFAUTI kukiombea chama chao na viongozi wao.
..mimi naamini hakuna kosa. pia nashauri tusipoteze muda kujadili suala hili, kuna mengi muhimu zaidi ya kujadili.