Tundu Lissu akiomba misaada Marekani

Tundu Lissu akiomba misaada Marekani

Huyu jamaa ataelewa tu baadae ngoja tuone huko mbele akipoteza kila kitu kuanzia ubunge mpaka mashabiki na hapo atabaki mwenyewe na familia yake wakikodoleana macho na wasijue wa kumlaum, kitakachomsaidia ni kufungua ka ofisi ka uwakili kuganga njaa.... Ni jambo la muda tu.

Over

Sent using Jamii Forums mobile app

Ww Ni wale waoga wa maisha, mbona sisi sio wabunge na tunaishi maisha bora tu. Hali hiyo huwa inawatisha watu wanaotegemea ajira za wanaume wenzao kama ww.
 
Watesi wa CCM mmeiba mshahara wa Tundu Lisu na kugawana na Ndungai pia pesa zake za matibabu zilitoka Ndungai na watesi wenzake wamegawana kimya kimya, sasa mnaendelea kumkomoa mkidhani atapata Taabu sana ili mpate kufarijika lakini mjue kwamba Mungu yupo na awaona vizuri ushetani wenu utawarudia nyie wenyewe kwani roho mbaya haijengi
 
Ubaya ni pale anapotumia utapeli ili watu wachange - kutumia maneno kama "you can imagine hivi watashangiliaje wakisikia watoto wamefukuzwa shule!" na mengine-ni utapeli.
Utapeli unao wewe unayetengeneza neno utapeli ili uzuie Tundu Lisu kuchangiwa, kwani kama Ndungai kaiba na kupora mshahara wake atatoa wapi pesa? Acha kuja na vigezo vyako vya kiwendawazimu.
 
Mbona sisi wenyewe ni mafundi wa kutembeza bakuli huko kwa wazungu?! Tunatembeza bakuli hadi tunapewa 40% ya bajeti yetu. Kwahiyo tukifanya sisi sawa, ila akifanya mwingine kosa.
 
Kwani kuna ajabu gani?Ndugai tulimtibu kwa michango yetu ambazo ni kodi zetu.Tanzania inaomba misaada nje na mpaka sasa bajeti inategemea wafadhili kwa asilimia zaidi ya 45!!

Na hii wala sio kumchafua,watu walianza kumchangia toka akiwa Nairobi.Na yeye amekiri hivyo.Sina itikadi moja na Lissu,lakini nilimchangia kuanzia usafiri wa kutoka Dodoma kwenda Nairobi na mpaka matibabu.Nitaendelea kumchangia.

Kwangu,utu kwanza na itikadi baadae.Siasa na itikadi vitapita,JPM atamaliza muda wake na ataondoka,lakini utu na thamani ya uhai wa mtu vinadumu milele.Naona hapo juu watu wanamtukania mpaka mkewe,sasa mlitaka asichangiwe wakati hajapewa pesa ya matibabu?Jamani jamani hizi siasa za awamu hii,ni chuki tupuu
Reason for the decision. Kwa nini uchange?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ww Ni wale waoga wa maisha, mbona sisi sio wabunge na tunaishi maisha bora tu. Hali hiyo huwa inawatisha watu wanaotegemea ajira za wanaume wenzao kama ww.
Watesi wa CCM wengi ni wavuta Bangi hawajui kuwa kuna Maisha baada ya ubunge wao wanajua wakimkomoa mtu kwenye ubunge wamefunga milango yote ya Maisha.
 
Utapeli unao wewe unayetengeneza neno utapeli ili uzuie Tundu Lisu kuchangiwa, kwani kama Ndungai kaiba na kupora mshahara wake atatoa wapi pesa? Acha kuja na vigezo vyako vya kiwendawazimu.
Hajui maana ya utapeli huyo. Lumumba huwa hata kiswahili ni shida. Mtu anayeomba kusaidiwa kwa shida ambayo ni ya kweli hawezi kuwa tapeli, labda kama anatengeneza kitu ambacho hakipo ili kuwarubuni watu wamchangie.
 
Mbona sisi wenyewe ni mafundi wa kutembeza bakuli huko kwa wazungu?! Tunatembeza bakuli hadi tunapewa 40% ya bajeti yetu. Kwahiyo tukifanya sisi sawa, ila akifanya mwingine kosa.
Kila Rais aliyetembelea Tanzania ameombwa misaada na magufuli mpaka wengine wanaogopa kuja ebu fikiria aliomba msaada Nchi ya kiafrika Morocco wamjengee uwanja Dodoma kasahau kuwa pesa wanayotumia kukandamiza demokrasia ingeweza kujenga viwanja kila mkoa nchini Tanzania kote na chenji kubaki
 
Wakati Lissu amekuwa ombaomba sisi CcCM tunahakikisha kuwa tunakunyonya wewe apo, tushibe hadi tupasuke!
-%20kipanya.jpeg
 
Njaa mbaya sana, huyu ni Tundu Yule nimjuaye ndo kawa mpole hivyo wakati akiomba?
Lissu yuko tayari kuishi kwenye umasikini ila siyo kulamba nyayo za mtawala

Lissu ni shujaa haishi kwa kumpigia magoti mtawala

Huyu ndio Lissu nimjuaye mimi

Lissu atoe tu akaunt namba ya bank tumpe pesa za kujikimu

Pesa tutamchangia zaidi ya mshahara wa ubunge

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Heshima yako mkuu, nimesikitishwa na baadhi ya comments Kiukweli ubinadamu umetutoka watanzania Hii chuki mpaka lini?

Tutaendelea kumchangia ni binadamu mwenzetu na zaidi sana kutoa ni moyo kwa hiyo wale wanaobeza wajitafakari duniani tunapita tu.
Kwani kuna ajabu gani?Ndugai tulimtibu kwa michango yetu ambazo ni kodi zetu.Tanzania inaomba misaada nje na mpaka sasa bajeti inategemea wafadhili kwa asilimia zaidi ya 45!!

Na hii wala sio kumchafua,watu walianza kumchangia toka akiwa Nairobi.Na yeye amekiri hivyo.Sina itikadi moja na Lissu,lakini nilimchangia kuanzia usafiri wa kutoka Dodoma kwenda Nairobi na mpaka matibabu.Nitaendelea kumchangia.

Kwangu,utu kwanza na itikadi baadae.Siasa na itikadi vitapita,JPM atamaliza muda wake na ataondoka,lakini utu na thamani ya uhai wa mtu vinadumu milele.Naona hapo juu watu wanamtukania mpaka mkewe,sasa mlitaka asichangiwe wakati hajapewa pesa ya matibabu?Jamani jamani hizi siasa za awamu hii,ni chuki tupuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbona sio issue kubwa maana kuna fedha za tuliombwa za rambirambi zikapigwa sasa huyu anataka yeye kama yeye kusukuma gurudumu lake na kawa mkweli kwa upande wake haina tatizo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lissu yuko tayari kuishi kwenye umasikini ila siyo kulamba nyayo za mtawala

Lissu ni shujaa haishi kwa kumpigia magoti mtawala

Huyu ndio Lissu nimjuaye mimi

Lissu atoe tu akaunt namba ya bank tumpe pesa za kujikimu

Pesa tutamchangia zaidi ya mshahara wa ubunge

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani Lissu ni Masikini? unamshinda kwa hela? Huyo ukibaraka uko damuni, hata ungempa Mbuga ya Serengeti yote bado atakwenda kutanua domo lake huko wanakolea Mashoga
 
Back
Top Bottom