Tundu Lissu akiomba misaada Marekani

Tundu Lissu akiomba misaada Marekani

Hivi kichwani uko sawa?????? MTU anasubiri operation ya 23 wew unasema arudi em watz tujaribu kutumia busara na sio siasa kuna vitu vinaboa
Hio operation anaisubiri huku Akitembea kwenye media kulilia, Sasa angalia kumbe hata hela ya kula inampa tabu
 
Hapo bado hajapokwa Ubunge na ni Juzi tu kalipwa almost 200M, navuta picha after 2020 akiwa sio mbuge na Mashabiki wote wamehamisha majeshi si atakufa njaa mana kwa sasa tu analipwa Ndio ivo tena anaanza kupitisha bakuli, TAL angekuwa na busara angerudi tu nyumbani aje apige kazi au nae anataka kuwa mchuuzi wa supermarket kama W.slaa
Lissu ni ndoto kuteseka kwa sababu ya kupoteza ubunge labda apende mwenyewe tu, sisi Watanzania wenye kujali utu wa binadamu tuko tayari kumchangia pesa zaidi ya marupurupu yake ya ubunge

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi sijaona tabu kwa huyu jamaa kuomba msaada.

By the way kuna Sababu, kabla ya kupokwa mshahara hajawahi omba hela, so he is in need of.

Mi nadhan mtu ukiamua kufanya Jambo hamna sababu ya kurudi nyuma.... binafsi namuona Kama shujaaa it's plan B. Mpaka lengo litimie.

Nadhan akikosa hela kabisa atarecord had video na audio akiwa chumbani mwake Hadi lengo litimie.....



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yes kuomba ni heshima kuliko kupigia magoti madhalimu wanaotaka kukuua kwa risasi!

Watu kama nyinyi Malcolm X alikuwa akiwaita HOUSE NEGROES, uko tayari kuendelea kuwa Mtumwa kwenye nyumba ya bwana mkubwa kisa tu anakulisha vizuri, hata akikushika kalio unajichekeshachekesha tu!
Mkuu, usiwe na hasira hii ndio dunia ina kanuni zake za kuishi!

Mwambie Lisu aache jeuri hataweza kuwapigania watanzania akaweza, mwambie arudi kuwawekea mazingira mazuri watoto wake basi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Una roho mbaya sana.Sasa naamini as a nation we are divided than ever!
Watesi wa CCM ni wajinga sana wanazani Tundu Lisu kuomba msaada ni Aibu kumbe hawajui kuwa aibu wanapata wao CCM watesi wakubwa, kila mtu Duniani anajua kama siyo roho mbaya ya watesi wa CCM Tundu Lisu asingepata Taabu sana, na kuomba msaada Live ni kitu kizuri ili Ndungai ajuie kuiba mshahara wa Tundu Lisu ni dhambi kubwa.
 
Mimi sijaona tabu kwa huyu jamaa kuomba msaada.

By the way kuna Sababu, kabla ya kupokwa mshahara hajawahi omba hela, so he is in need of.

Mi nadhan mtu ukiamua kufanya Jambo hamna sababu ya kurudi nyuma.... binafsi namuona Kama shujaaa it's plan B. Mpaka lengo litimie.

Nadhan akikosa hela kabisa atarecord had video na audio akiwa chumbani mwake Hadi lengo litimie.....



Sent using Jamii Forums mobile app
Wanaopata aibu ni watesi wa CCM walimpiga Risasi na kuzuia pesa za matibabu na sasa wameiba mshahara wake.
 
Huyu jamaa ataelewa tu baadae ngoja tuone huko mbele akipoteza kila kitu kuanzia ubunge mpaka mashabiki na hapo atabaki mwenyewe na familia yake wakikodoleana macho na wasijue wa kumlaum, kitakachomsaidia ni kufungua ka ofisi ka uwakili kuganga njaa.... Ni jambo la muda tu.

Over

Sent using Jamii Forums mobile app

Neno la kweli maana yuko mtupu kabisa
Ni aibu sana kwa watu wake wa karibu kurusha hii clip
Asante uliyerusha na Mungu akubariki sana
Tundu laana bado inakushukia kama mvua ya mawe
Squatter


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yeye ndio kaanzisha, kazaliwa kaikuta serikali, he had to respect it. How can u say profesorial rubbish, kwa kamati iliyoundwa ikaumiza kichwa ili wa tz wafaidike zaidi. So alipaswa aiheshimu serikali kwanza. Serikali ingemuheshimu like the rest oposition MP.

Sent using Jamii Forums mobile app
Haijustify thamani ya uhai wa mtu,kama ni kulinufaisha taifa Lissu lisu aliyaona makosa hayo yaliyo undiwa tume miaka 20 kabla, akaitwa mjinga alofichama kwenye taaluma.
 
Dhambi zote anapata Ndungai na wale viongozi wa Amri toka juu wanaopanga na kutekeleza mipango ya kumkomoa Tundu Lisu, aibu kubwa wanapata visababishi wa Tundu Lisu kuomba msaada.
 
Dawa pekee ya kumnyamazisha Lissu huko Duniani aliko ili aachane na kuituhumu serikali yake, dawa hiyo aliyenayo ni serikali yenyewe kujishughulisha na suala la Lissu ikiwa ni pamoja na ;

1.Serikali kutoa ushahidi usio na shaka wa mtu halisi aliyehusika kumshambulia Lissu

2. Serikali kuieleza Dunia walikokuwa walinzi waliokuwa zamu kulinda nyumba za serikali wakati Lissu anashambuliwa.

3. Serikali kuieleza Dunia zilikokwenda CCTV camera baada ya Lissu kushambuliwa.

Kwa nini serikali ndo inapaswa kuwa na majibu haya? Kwa sababu ndo pekee ina mamlaka ya kutoa majibu hayo na si mwingine!!! Hayo ndiyo maswali pekee ambayo Lissu amekuwa akiyauliza kila kwenye chombo cha habari cha kimataifa anachoalikwa!!

Nani mwenye muda na mwehu anaye tafuna painkillers kama chakula
Wewe
Wadhungu wamesha mtupilia mbali
Masikini mkewe kaolewa na gaidi la kumnyonga


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndugu wa kweli ni serikali yake anayoituhumu pande zote za dunia,haiwezekani ikulipe na malipo yake uzunguke kuitukana na hao alionao anaodhani wanamshangilia watamsaliti kama huyo aliyechukua video na baadae hatopata hata mia mwisho wa siku Amani ya nafsi ataipatia nyumbani kwake.

Sent using Jamii Forums mobile app
 


Mwambie Lisu aache jeuri hataweza kuwapigania watanzania akaweza, mwambie arudi kuwawekea mazingira mazuri watoto wake basi.

Sent using Jamii Forums mobile app
Lisu hawajui watanzania ukisema tuitishe maandamano wanasema ndiooo!!!!!..Wakianza maandamano wakiona polisi wanakuja wanakimbia wanakuachia maandamano yako wanakuacha mwongozaji maandamano unadundwa virungu na polisi halafu kijiweni wakikaa wanasimuliana wanacheka kuwa walikuwa kwenye maandamano polisi walivyotokea wakasepa wakaacha kiongozi anadundwa.Halafu wanaanza kusifia polisi aiseee jamaa polisi wale wanajua kupiga halafu vijana wadogo wadogo wamemdunda Yule kiongozi hadi anatembea akichechemea akijinyea.Halafu hao wanaendelea na shughuli zao hawajali huyo mwongozaji maandamano yuko rumande ,ICU au wapi wanaendelea kujadili mechi za Simba na yanga zilizochezwa au zinazokuja.
 
Kwani si amesema akiwa Rais ataruhusu ushoga! Huko Si wanaruhusu..! Kwanini asitaute bwana huko ampumulie kisogoni apate hela.?
 
Huyu jamaa ataelewa tu baadae ngoja tuone huko mbele akipoteza kila kitu kuanzia ubunge mpaka mashabiki na hapo atabaki mwenyewe na familia yake wakikodoleana macho na wasijue wa kumlaum, kitakachomsaidia ni kufungua ka ofisi ka uwakili kuganga njaa.... Ni jambo la muda tu.

Over

Sent using Jamii Forums mobile app
Hatohangaika wala kuteseka Kama akili zako ndogo zinavyokutuma, binafsi utaratibu wa kumchangia ukianza, nitakuwa ninamchangia Lissu sh 500,000 kila mwezi maisha yangu yote, Mungu siyo Magufuli, na wala Mungu siyo mwana CCM, Mungu ni wa wote wenye mwili.
Mlitaka kumuua mkashindwa sasa mnatapatapa, wapumbavu nyie.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nani mwenye muda na mwehu anaye tafuna painkillers kama chakula
Wewe
Wadhungu wamesha mtupilia mbali
Masikini mkewe kaolewa na gaidi la kumnyonga


Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe mwenyewe mwehu na hajielewi unawezaje kujua mda na mwenye mda? Acha wenye Akili walitafakari hili wewe endelea kuvuta Bangi kwanza maana hata hujui kuwa Ndungai kaiba mshahara wa Tundu Lisu kwa nia ya kumkomoa
 
Tundu Lissu ameanza kuwa mnafiki Katika hotuba zake. Mambo Mengi kazungumza kisiasa zaidi akifikiri watz ni wajinga. Ivi Chadema wanamsaidiaje akisitishiwa mshahara. Ilhali Wana Ruzuku kubwa ya serikali. Na ofisi Yao ipo kama ofisi ya mtendaji wa kijiji. Au Ruzuku ni Mali ya mwenyekiti

Sent using Jamii Forums mobile app
Baba Ruzuku haitoki mpaka mwenyekiti atoke! Bila sahihi ya mwekiti chama hakina hela
 
Huyu jamaa ataelewa tu baadae ngoja tuone huko mbele akipoteza kila kitu kuanzia ubunge mpaka mashabiki na hapo atabaki mwenyewe na familia yake wakikodoleana macho na wasijue wa kumlaum, kitakachomsaidia ni kufungua ka ofisi ka uwakili kuganga njaa.... Ni jambo la muda tu.

Over

Sent using Jamii Forums mobile app
Mlishindwa kumuua kwa risasi, hamtaweza kumuua kwa njaa!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom