Tundu Lissu akiomba misaada Marekani

Haiwezi kuwa video ya siri wakati yupo kwenye umma,upungufu wa akili huu ndiyo unasababisha nchi yetu inapigwa sana na wajanja.
Hapo ndiyo mkutanoni,na anaomba asaidiwe kitu ambacho KIJANI imeshafanya sana kwa magabacholi,na kila kwenye harakati za ukombozi,kuomba ndiyo njia ya kwenda mbele.
 
Lissu ni tapeli kama ilivyokuwa kina Mzee Rwebangira & Co enzi hizo. Siku zake za kuumbuka huyu Muhuni zinahesabika.
 
Aisee,, aibu naona mimi!

Ndio maana wenzake wanamwambia arudi tu ajifanye hakuna lililotokea, amwachie Mungu, yeye aendelee na mishe zake. Naamini hata hao wabaya wake hawatakuwa na la kumfanya,.

Wewe hawa wabongo hawa ambao Mbowe yupo ndani mwezi wa tatu huu wapo kimya tu unafikiri utawapigania utaweza? Arudi aendelee kulea familia yake huku akimwabudu na kumtukuza Mungu kwa yote yaliyomkuta, sasa akiendelea kujifanya yeye ni jeuri sana haya ndio yanamkuta sasa. Hapo bado hajapokonywa kabisa jimbo 2020!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Haiwezi kuwa video ya siri wakati yupo kwenye umma,upungufu wa akili huu ndiyo unasababisha nchi yetu inapigwa sana na wajanja.
Hapo ndiyo mkutanoni,na anaomba asaidiwe kitu ambacho CCM imeshafanya sana kwa magabacholi,na kila kwenye harakati za ukombozi,kuomba ndiyo njia ya kwenda mbele.
Hii video umewahi iona?Huoni kuna mtu alirecord kwa siri na sio wahusika wenyewe?

The problem with the world is that the intelligent people are full of doubts, while the stupid ones are full ofconfidence.
 
Hiyo kawaida hiyo, hata wewe hadi kufika hapa ulipo kuna mtu alikusaidia katika ponti fulani ya maisha yako.

Kwa hiyo Lissu kuomba msaada ni halali yake maana Kadhulumiwa mengi, Kadhulumiwa Afya yake na sasa kadhulumiwa mshahara wake ili afe njaa!
Tapeli hilo. Mnapigwa mchana kweupee kama misu.kule ya Kifipa.
 
Aisee,, aibu naona mimi!

Ndio maana wenzake wanamwambia arudi tu ajifanye hakuna lililotokea, amwachie Mungu, yeye aendelee na mishe zake. Naamini hata hao wabaya wake hawatakuwa na la kumfanya,.

Wewe hawa wabongo hawa ambao Mbowe yupo ndani mwezi wa tatu huu wapo kimya tu unafikiri utawapigania utaweza? Arudi aendelee kulea familia yake huku akimwabudu na kumtukuza Mungu kwa yote yaliyomkuta, sasa akiendelea kujifanya yeye ni jeuri sana haya ndio yanamkuta sasa. Hapo bado hajapokonywa kabisa jimbo 2020!

Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna Aibu yeyote kwani hakundwa huko kwa kupenda bali wewe ndiyo ulimpiga Risasi na sasa wewe na Ndungai mmepora mshahara wake unataka ale mawe? Lazima aombe msaada live ili watanzania wajue kuwa nyinyi watesi wa CCM hamna huruma mmepiga Risasi na bado hakumlipia matibabu na bado mlizuia maombi juu yake na sasa mmeiba mshahara wake na tena hamtaki Aombe msaada nyie watesi wa CCM mbona mna roho mbaya hivyo?
 
Huyu jamaa ataelewa tu baadae ngoja tuone huko mbele akipoteza kila kitu kuanzia ubunge mpaka mashabiki na hapo atabaki mwenyewe na familia yake wakikodoleana macho na wasijue wa kumlaum, kitakachomsaidia ni kufungua ka ofisi ka uwakili kuganga njaa.... Ni jambo la muda tu.

Over

Sent using Jamii Forums mobile app
Suppose he was a brother, father, Uncle and someone close to heart.
Would you comment the same BS you commenting now.!?!?
#Empathy
 
Watesi wa CCM wana roho mbaya sana wameiba mshahara wa Tundu Lisu walizuia asiombewe na kupiga marufuku T-shirt zake kuvaliwa na wananchi mitaani wakagoma kugharamia matibabu yake, sasa hawataki achangiwe michango, Watesi wa CCM wamejawa na ushetani wa kutisha.
 
Aisee,, aibu naona mimi!

Ndio maana wenzake wanamwambia arudi tu ajifanye hakuna lililotokea, amwachie Mungu, yeye aendelee na mishe zake. Naamini hata hao wabaya wake hawatakuwa na la kumfanya,.

Wewe hawa wabongo hawa ambao Mbowe yupo ndani mwezi wa tatu huu wapo kimya tu unafikiri utawapigania utaweza? Arudi aendelee kulea familia yake huku akimwabudu na kumtukuza Mungu kwa yote yaliyomkuta, sasa akiendelea kujifanya yeye ni jeuri sana haya ndio yanamkuta sasa. Hapo bado hajapokonywa kabisa jimbo 2020!

Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe ndiyo aina ya wanaume unapigiwa mkeo sebuleni kwako huku ukishuhudia unasema hewala mimi mnyonge sina cha kufanya!

Wewe ni coward, ni aibu kwa Taifa kuwa na wanaume lainilaini kama wewe katika nchi
 
Hii video umewahi iona?Huoni kuna mtu alirecord kwa siri na sio wahusika wenyewe?

The problem with the world is that the intelligent people are full of doubts, while the stupid ones are full ofconfidence.
You belong to the group of stupid ones in that sense.
Mapambo yaliyopo ni yaleyale ya palepale alipofanya mkutano,na anawaambia watu walewale.
Hii ndiyo sababu sishangai ujinga wako.
 
Back
Top Bottom