Tundu Lissu akiomba misaada Marekani

Tundu Lissu akiomba misaada Marekani

Hapo bado hajapokwa Ubunge na ni Juzi tu kalipwa almost 200M, navuta picha after 2020 akiwa sio mbuge na Mashabiki wote wamehamisha majeshi si atakufa njaa mana kwa sasa tu analipwa Ndio ivo tena anaanza kupitisha bakuli, TAL angekuwa na busara angerudi tu nyumbani aje apige kazi au nae anataka kuwa mchuuzi wa supermarket kama W.slaa
 
You belong to the group of stupid ones in that sense.
Mapambo yaliyopo ni yaleyale ya palepale alipofanya mkutano,na anawaambia watu walewale.
Hii ndiyo sababu sishangai ujinga wako.
Mkuu ungekua na akili kama ungekili kuwa hii video uliwahi iona.

The problem with the world is that the intelligent people are full of doubts, while the stupid ones are full ofconfidence.
 
Ama kweli majina huumba!
Wewe nawe ni mbulukenge wa watesi wa CCM? Walikuteua uwe mtetezi wa watesi mitandaoni? Mbona kama hajielewi? bado unakula unga? Usianze ufala wako tafadhali jikite kwenye hoja maana nyie watesi huwa hamkawii kuvuruga mada.
 
Respect lazima iwe ya pande zote, jinsi alivyo umizwa na kuwa treated vibaya na serekali yupo sahihi ku react namna ile. Utaratibu uwekwe nitamchangia.
Yeye ndio kaanzisha, kazaliwa kaikuta serikali, he had to respect it. How can u say profesorial rubbish, kwa kamati iliyoundwa ikaumiza kichwa ili wa tz wafaidike zaidi. So alipaswa aiheshimu serikali kwanza. Serikali ingemuheshimu like the rest oposition MP.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe nawe ni mbulukenge wa watesi wa CCM? Walikuteua uwe mtetezi wa watesi mitandaoni? Mbona kama hajielewi? bado unakula unga? Usianze ufala wako tafadhali jikite kwenye hoja maana nyie watesi huwa hamkawii kuvuruga mada.
Narudia tena AMA KWELI MAJINA HUUMBA!
 
Mwamba relax kias tuliza hasira

nimeumia sana baada ya kuona lisu anaomba msaada kwa watu sasa kwann anakuwa kibur na anajua anashida
hii ni video ambayo imevuja ambapo jamaa amenaswa akiomba msaada na hapo Mi muda mfupi baada ya wao kusitisha live streaming haya sasa

Aache kujitia kibur

Sent using Jamii Forums mobile app

Kamanda Lissu amewaumiza Makamanda wake vibaya sana kwa kuomba hadharani.
Sugu aliwahi kusema " Dawa ya Jeuri ni Kibuli" katika nyimbo aliyomshirikisha Stara Thomas inayoitwa " Hawataki "
 
Dawa pekee ya kumnyamazisha Lissu huko Duniani aliko ili aachane na kuituhumu serikali yake, dawa hiyo aliyenayo ni serikali yenyewe kujishughulisha na suala la Lissu ikiwa ni pamoja na ;

1.Serikali kutoa ushahidi usio na shaka wa mtu halisi aliyehusika kumshambulia Lissu

2. Serikali kuieleza Dunia walikokuwa walinzi waliokuwa zamu kulinda nyumba za serikali wakati Lissu anashambuliwa.

3. Serikali kuieleza Dunia zilikokwenda CCTV camera baada ya Lissu kushambuliwa.

Kwa nini serikali ndo inapaswa kuwa na majibu haya? Kwa sababu ndo pekee ina mamlaka ya kutoa majibu hayo na si mwingine!!! Hayo ndiyo maswali pekee ambayo Lissu amekuwa akiyauliza kila kwenye chombo cha habari cha kimataifa anachoalikwa!!
 
Hapo bado hajapokwa Ubunge na ni Juzi tu kalipwa almost 200M, navuta picha after 2020 akiwa sio mbuge na Mashabiki wote wamehamisha majeshi si atakufa njaa mana kwa sasa tu analipwa Ndio ivo tena anaanza kupitisha bakuli, TAL angekuwa na busara angerudi tu nyumbani aje apige kazi au nae anataka kuwa mchuuzi wa supermarket kama W.slaa
Hivi kichwani uko sawa?????? MTU anasubiri operation ya 23 wew unasema arudi em watz tujaribu kutumia busara na sio siasa kuna vitu vinaboa
 
Huyu jamaa ataelewa tu baadae ngoja tuone huko mbele akipoteza kila kitu kuanzia ubunge mpaka mashabiki na hapo atabaki mwenyewe na familia yake wakikodoleana macho na wasijue wa kumlaum, kitakachomsaidia ni kufungua ka ofisi ka uwakili kuganga njaa.... Ni jambo la muda tu.

Over

Sent using Jamii Forums mobile app
Una roho mbaya sana.Sasa naamini as a nation we are divided than ever!
 
Wewe ndiyo aina ya wanaume unapigiwa mkeo sebuleni kwako huku ukishuhudia unasema hewala mimi mnyonge sina cha kufanya!

Wewe ni coward, ni aibu kwa Taifa kuwa na wanaume lainilaini kama wewe katika nchi
Hiki ulichoandika hapa hakitaondoa ukweli kwamba Lisu anaombaomba! Watu wenyewe anaosema kuwapigania ni nyie mmejificha huku nyuma ya keybord na majina feki.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapo bado hajapokwa Ubunge na ni Juzi tu kalipwa almost 200M, navuta picha after 2020 akiwa sio mbuge na Mashabiki wote wamehamisha majeshi si atakufa njaa mana kwa sasa tu analipwa Ndio ivo tena anaanza kupitisha bakuli, TAL angekuwa na busara angerudi tu nyumbani aje apige kazi au nae anataka kuwa mchuuzi wa supermarket kama W.slaa
Kuomba msaada siyo dhambi na kutokuwa mbunge siyo kipimo cha kuwa na njaa kwani baada ya ubunge kuna Maisha na watu hujiongeza kulingana na mazingira ya kipindi hicho, kumbuka kaamua kuomba msaada baada ya Ndungai kuiba mshahara wake na pia waligoma kulipia matibabu yake pengine hizo milion 200 kajilipia matibabu na gharama zingine, hakuna ubaya wala Aibu kuomba msaada kutokana na watesi wa CCM kutengeneza mazingira ya kumkomoa.
 
Huyu jamaa ataelewa tu baadae ngoja tuone huko mbele akipoteza kila kitu kuanzia ubunge mpaka mashabiki na hapo atabaki mwenyewe na familia yake wakikodoleana macho na wasijue wa kumlaum, kitakachomsaidia ni kufungua ka ofisi ka uwakili kuganga njaa.... Ni jambo la muda tu.

Over

Sent using Jamii Forums mobile app
But the one thing they love more than a hero is to see a hero fail, fall, die trying. In spite of everything you've done for them, eventually they will hate you. Why bother? Willem Dafoe/Green Goblin/Norman Osborn spider man 2002 Movie.Mkuu,Atawajua watanzania tu mwishowe maana kashikiwa akili naona,Atawajua when he fails and falls!
 
Makubwa ni kwa wale wanaolipiwa kila kitu lakini bado hawashibi, wanakwapua matrilioni? Si heri mtu anayeomba kuliko mwizi.
Wanashangaa nini kuomba asaidiwe hadharani wakati wanataka kuzuia haki zake? Hawahawa si walikuea wanasema analipwa na mabeberu mara Accasia sasa kiko wapi? Mbona wao ndio wanaumbuka?
Lissu ndio wa watu wa chini kwani hata matibabu ni wananchi wqmemlipia na sasa wananchi watamtunza na familia yake kama wanavyo weza kuwatunza mumiani pale kando ya bahari lakini mwisho wanaambulia kunyonywa damu.
Hii ni fedheha kubwa Kwa serikali inayosema Lissu anatumiwa? Jee anatumiwa bure kumbe?
Ndio maana Leo tunaona Punda anaombewa apone haraka na sio waziri wa mambo ya ndani wa zamani.
Yaani Kwa sasa Tanzania thamani ya Punda iko juu kuliko kuwa mwanaccm, Nyerere huko uliko, Mwinyi na JK mwaona chama chenu mlipokiacha na kilipo?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lissu hawezi kuteseka hata siku moja, ni suala la yeye kuamua tu kuweka namba akaunt ya bank kisha binadamu wenye kujali misingi ya utu tuanze kumchangia

Lissu akiweka account namba yake ya bank baada ya mwezi account yake lazima isomeke kuanzia bilioni moja na kuendelea

Kama tumeweza kumchangia mabilioni ya pesa za matibabu ili kuokoa uhai wake tunashindwaje kumchangia pesa za kuendesha maisha baada ya watuhumiwa wa shambulio dhidi yake kupora haki yake ya ubunge aliopewa na wananchi wa jimboni kwake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hiki ulichoandika hapa hakitaondoa ukweli kwamba Lisu anaombaomba! Watu wenyewe anaosema kuwapigania ni nyie mmejificha huku nyuma ya keybord na majina feki.

Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe na roho yako mbaya ndiyo umefanya Aombe msaada na Tundu Lisu kuomba msaada kisa wewe na Ndungai kuiba mshahara wake kimataifa imekaa vizuri sana kwani mnazika kujulikana Duniani kuwa nyinyi ni wezi wenye roho mbaya sana.
 
Hiki ulichoandika hapa hakitaondoa ukweli kwamba Lisu anaombaomba! Watu wenyewe anaosema kuwapigania ni nyie mmejificha huku nyuma ya keybord na majina feki.

Sent using Jamii Forums mobile app

Yes kuomba ni heshima kuliko kupigia magoti madhalimu wanaotaka kukuua kwa risasi!

Watu kama nyinyi Malcolm X alikuwa akiwaita HOUSE NEGROES, uko tayari kuendelea kuwa Mtumwa kwenye nyumba ya bwana mkubwa kisa tu anakulisha vizuri, hata akikushika kalio unajichekeshachekesha tu!
 
Back
Top Bottom