Tundu Lissu akiomba misaada Marekani

Baada ya TUNDU LISU kupigwa risasi bila Shaka damu yake ilimwagika sana, alipigwa, tena alipigwa risasi nyingi mno, hakika aliusikilizia mwili wake vyuma vya moto vikiingia mwilini. Hakika vile vyuma viliuchana mwili wake mithili ya NYAMA bucha. Aliyemimina RISASI alizimimina Kweli Kweli, alimimina kwa lengo la kuua, kwa lengo la kutoa roho, kwa lengo la kuiangamiza NAFSI iliyohai, alivaa sura, sura ya kutenganisha nafsi, mwili, na Roho.
Lakini LISU alipona, yupo hai, anavuta pumzi, pumzi ya Baba wa mbinguni, Mungu aliye hai, yawezekana alikosa, tena Kosa kubwa, yawezekana ni msaliti, muongo, mwizi, mhalifu asiyesameheka, yawezekana, hafai kabisa. Lakini cha ajabu asiyefaa amepona kwa jinsi ya ajabu, kwa namna tusiyoijua, maana kanuni ya uhai ni fumbo.
Nakumbuka wakati nikiwa mdogo miaka ya sabini pale kurasini shimo la udongo, wakati eneo lile lilijaa mikorosho mingi sana, haukuwa mji kama Leo. Enzi za Mzee bongo Lolo. Nakumbuka watu walipiga mwizi, walikuwa mamia ya watu, na yule mwizi alipigika hasa, mwili wote ulijaa damu, walimwacha waliamini amekufanya, walimwacha, kila mtu alirudi nyumbani kwake, baada sisi wadogo tulishuhudia Yule mwizi akiinuka, damu ilikuwa imejaa hata USO haukuonekana, alianguka tena chini, msamalia mmoja alimsaidia kusimama, akitia huruma SANA sijui kama alipona.
Inawezekana LISU ni alama tusiyoijua, ni ujumbe tusioujua, maana sisi tu wanadamu. Kwani wangapi tunawaombea mabaya? Wangapi tunatamani wafe, kwa sababu tunahisi ni vikwazo kwenye maisha yetu? Ila hatuna bunduki? LISU survived, NI mzima, mwache aombe, aombe, mwache roho na nafsi yake vihangaike, tumwache, hakuna anayejua mwisho wake, kuna watu walimuombea vibaya LOWASA Leo hawapo, kuna watu wanamuombia raisi mabaya sisi wanadamu tuna roho ngumu SANA. Mwacheni LISU ahangaike, mwacheni. Kupona kwake ni nafuu kwa familia yake, hapo NDIPO tumaini lake lilipo. Pia tuache USHABIKI.
 
Hii post hukutakiwa upost, unazani unazalilisha lisu ila ukweli unaizalilisha serikali, how come mbunge wa wananchi aliyejeruhiwa wakati wa kikao cha bunge, halafu hamtaki kulipa gharama za matibabu ambazo ndizo stahiki zake.
Au ndio hasira zenu kwa vile amegoma kufa sio? Ila mjue mtalipa tu kama sio hapa mjue jehanamu inawasubiri.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umeona ehh
Huyu Tundu Lissu fuse iko damaged kwa kweli
Alitegemea misaada ya wadhungu
Sasa wame mpiga chini baada ya kugundua jitu ni tapeli kweli kweli
Na bado LAANA YA AFRICA NA TANZANIA ITAMMALIZA YEYE NA KIZAZI CHAKE MPAKA CHA NNE
TENA HADHARANI ILI WATU WAPATE FUNDISHO KUWA NCHI YETU TANZANIA SIO MCHEZO MCHEZO
SPECTACULAR FAILURE HUYU TUNDU LISSU


Sent using Jamii Forums mobile app
Hio laana ni fake ndugu mlitaka afe sasa jiulize nani laana inamtafuna....na atachangiwa tuu mpende msipende mtake msitake
 
Msikilize anatumia hali yake kutapeli - sikiliza mpangilio wake wa kitapeli wajinga ndio waliwao! Nilijua kuwa itaishia hivyo kutapeli.
Kutapeli kivip.kwani kuna kipi kipya hapo kwasababu toka mwanzo Lissu alikua akichangiwa na amekua akishukuru waliokua wakimchangia kwaiyo kama hujui bora ukaka kimya.Ata hivyo kama serikali inayokusanya kodi inaomba msaada na kufadhiliwa sembuse mtu binafsi.
 
Wenye kuona mbali tulijua tu,mwisho wa hizi kelele ni kutangaza njaa
Lissu ni tapeli,anaetumia tukio la kupigwa risasi kujipatia mamilioni ya dola toka kwa wazungu,huku bavicha wanapigwa jua kalii
Sawa tuu na bado hata kama Nina jero tu nitato 250 nakubaki na 250 kumchangia so na yeye anamashabiki wake tuliza ball
 
Mwamba relax kias tuliza hasira

nimeumia sana baada ya kuona lisu anaomba msaada kwa watu sasa kwann anakuwa kibur na anajua anashida
hii ni video ambayo imevuja ambapo jamaa amenaswa akiomba msaada na hapo Mi muda mfupi baada ya wao kusitisha live streaming haya sasa



Aache kujitia kibur

Sent using Jamii Forums mobile app
Mwenye kiburi yeye ana nini ?!. Zile ni kodi za wananchi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
It's okay Lissu kuomba wamsaidie, matibabu yake ni cost full.
Na baada ya spika kumpoka haki zake anahitaji msaada aweze ku survive(yeye na família yake).
Binafsi nitamchangia Lissu, by the way ana deserve kuchangiwa after all the drama he has been through.
 
Tz haijawai kutembeza bakuli kuomba hela za wazungu?.Swala lakumchangia lissu sio siri.Wenye akili ndogo ndo mnaona ni jambo kubwa kuomba msaada uku mnasahau hata sisi kama nchi mambo mengine ni kwa hisani ya kodi za watu wa marekani.
Wenye kuona mbali tulijua tu,mwisho wa hizi kelele ni kutangaza njaa
Lissu ni tapeli,anaetumia tukio la kupigwa risasi kujipatia mamilioni ya dola toka kwa wazungu,huku bavicha wanapigwa jua kalii
 
Kwani kuna ubaya gani kuomba msaada??
Mamilioni ya fedha yamechangwa na watu mbalimbali dunia nzima mpaka hivi sasa kwenye matibabu ya Tundu Lissu..
Na hata sasa watu wengi tu wanaulizia utaratibu wa kumchangia..
Na kuchanga lazima atachangiwa tu hata mfanyaje..
Sababu wenye huruma nae wanajua umuhimu wa mchango kwa hili JABALI..
Na nzuri zaidi, wachangaji wanajua kweli hizi fedha zinakwenda kumhudumia yeye.Sio zile pesa Watanzania walichanga kwa wa ajili ya rambirambi za waliopata tetemeko Bukoba,Mkiti wenu akazipiga..yani jamaa ni muuwaji kabisa..rambirambi kapiga..1.5Tril kapiga..risasi wapinzani anawapiga..yani yee ni mpigaji wa aina zote.
 
Back
Top Bottom