Siasa Basi
JF-Expert Member
- Jul 10, 2016
- 1,493
- 4,288
Kwa sauti ya yule MUHAYA Masilingi. ...... sasaaaa. ..si urudi nyumbaaaniiii!Duh, aisee. Kwani da'Mange ameacha kumchangishia michango?
c:c Salary Slip
we fala acha kujitoa akili.unatutafutia ban sio ila unachotafuta utakipataMsikilize anatumia hali yake kutapeli - sikiliza mpangilio wake wa kitapeli wajinga ndio waliwao! Nilijua kuwa itaishia hivyo kutapeli.
Furaha yao wanataka waone akiteseka hadi afeKama serikali inaomba unashangaa nini kwa mtu aliyepigwa risasi bila huruma,wakamnyima malipo ya matibabu halafu wakamkatia mshahara wake halali!
Inasikitisha lakini ni ukweli, wala sioni kama kuna kilicho vuja kama wabaya wake wanavyoandika hapa. CDM au Familia itangaze jinsi ya kumchangia nasi kweli tuko tayari kuchangia kidogo kidogo kila mwezi. Mola azidi kumbariki.
Msikilize anatumia hali yake kutapeli - sikiliza mpangilio wake wa kitapeli wajinga ndio waliwao! Nilijua kuwa itaishia hivyo kutapeli.
baada ya risasi kushindwa kumwuua sasa dua zenu afe sio!Aibu sana hii na pia video baada ya kuvuja amejisikia vibaya sana kwa taarifa za mtu wa Karibu na hapa ndo ajue sio wote wanaompigia makofi manake wanampenda
Pole sana kwa njaa na huenda ukalala Nje kwa kufukuzwa kodi
Sent using Jamii Forums mobile app
una akili njemaLeteni na huku tz tuanze kuchangia hayo mapito tu hata hivyo mishahara ya wabunge wote si tunalipia sisi watanzania
Sent using Jamii Forums mobile app
Watoe namba watu tumchangia paka atakaposema basi mwenyeweDuh, aisee. Kwani da'Mange ameacha kumchangishia michango?
c:c Salary Slip
Keshawanyolea kiduku ili awatapeli vizuri.Watoe namba watu tumchangia paka atakaposema basi mwenyewe
Dogo Siku nyingine usiuhusishe Yanga na upuuzi Kama wa Yuda askari Lissu, Pumba.... FSiku wasanii wakiomba msaada wewe ndiyo wakwanza kutoa Yanga inaomba ichangiwe na yenyewe ni aibu?
Ninyi kuzuia mshahara wake ndiyo mnampiga chura mateke Lissu ataaaidiwa kwa hali na mali maana mlitaka afe
Hakuna mtu omba omba kama mwenyekiti wenu miaka 3 tuu deni zaidi ya 20tr wakati anaomba kura alisema nchi tajiri hataomba
MSAGA SUMU
USSR
LIKUD
Makubwa ni kwa wale wanaolipiwa kila kitu lakini bado hawashibi, wanakwapua matrilioni? Si heri mtu anayeomba kuliko mwizi.Makubwa haya huyu Lissu anawataka Wafadhili wasitupe misaada wakati huo huo na yeye anaomba Msaada? Hii ni tabia ya UBINAFSI. Pathetic!!!!!
Tatzo elimu and what goes around come around inabid ufikiri kabla ya kuongea ujinga wako haya n maisha n ss sote tunapita na lissu adi kuwa hai mpk leo n mpango wa mungu i can't imagine ww ungepigwa risas moja tu nahc nw ungekuwaa kuzmu matako yanawaka moto tu fikir kbla ya kucoment ujinga.....boguass ww
Tatzo elimu and what goes around come around inabid ufikiri kabla ya kuongea ujinga wako haya n maisha n ss sote tunapita na lissu adi kuwa hai mpk leo n mpango wa mungu i can't imagine ww ungepigwa risas moja tu nahc nw ungekuwaa kuzmu matako yanawaka moto tu fikir kbla ya kucoment ujinga.....boguass ww
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa Lissu shetani kashindwa na hiyo ndiyo sababu ya mateso haya mnayoyapitia, mashetani wakubwa. Mliyoyapanga gizani Mungu kayapangua na ndio sababu mnapayuka hovyo.Wapi wewe MU.hu.,ni yule msaliti hakubaliki mahali popote hata kwa shetani. Ile ni mbegu iliyo kwisha kuoza haiwezi kuota hata umwagilie kwa maji safi ya kwenye chupa spesheli. Ny.um.bu wewe
💪🏾💪🏾💪🏾💪🏾💪🏾💪🏾Na tutachanga kiroho safi na hatutochoka kuchangia, waliokwapua trillion 2 sio zao ni kodi zetu so hata Lisu tutamchangia bila kuchoka, tena yeye atakuwa anapata za halali kabisa.
Binafsi nimeumia na kujisikia vibaya sana kitendo cha serikali wanachomfanyia Tundu lissu cha kusitisha malipo na mshahara wake.
Mh. Tundu lissu ameingia katika wakati mgumu sana na inasikitisha akiomba sehemu ya kula , kulala na ada kwa ajiri ya watoto wake!
Mungu ibarika Tanzania, mungu mbariki Tundu Lissu
Haya maisha tu! Leo kwake kesho kwako.
Sent using Jamii Forums mobile app