Tundu Lissu akiomba misaada Marekani

Nyie ndio mnaendelea kumponza na kumpoteza kamanda msaliti. Unadhani utamchangia na kumtunza pamoja na familia take mpaka lini? Kuna watu wangapi wanaoweza kumchangia na kumtunza kwa muda mrefu? Huo uchangiaji wenu siyo sustainable, mnampotosha aendelee kujiharibia bure.
Wewe uliyempiga Risasi na Ndungai aliyemwibia mshahara wake na pesa za matibabu ndiyo wabaya wake lakini tambua kuwa michango itakuwa mikubwa ni pesa itamsaidia mpaka anazeeka na kuwa kikongwe, Ndungai kaamua kukomoa kwa Akili zake kumbe pengine mungu kaamua kufungua njia zingine za kusaidiwa na wanadamu wasio na roho mbaya kama za watesi wa CCM.
 
System kama walijua watashambuliwa ilikuaje mkampiga Risasi? mnawaita mabeberu pindi wakihoji udikteta wenu lakini wakiwa wanawapa misaada huwa munawaita wafadhili huu unafiki wa kula 40% za Bajeti toka kwa wazungu mkishiba mnawaita mabeberu mtaacha lini?
Hata wazungu wenyewe wanajijua ni mabeberu, sijui kwanini kuna vilaza mnawatetea kuhusu hilo
 
Wanaume mnajificha nyuma ya keyboard na majina fake. Njaa haina ukamanda
Le mutuz hivi ni kwa nini unahangaika sana majina feki? Kwani jina Olijino au kukaa mbele ya keyboard ndiyo kuwa na hoja za kuzuia roho mbaya ya watesi wa CCM au ndiyo yatazuia wizi wa pesa za mshahara wa Tundu Lisu?
 
Watesi wa CCM wana roho mbaya sana wamepiga Risasi wao na wao wamepora pesa za matibabu wakazuia na kupiga marufuku kuvaa T-shirt zenye picha ya Tundu pia wakazuia kufanyiwa Dua maombi na sasa wameiba mshahara wake huku napo hawataki Aombe misaada...!! ..watesi wa CCM muogopeni Mungu hizo roho mbaya hazitawafikisha popote ipo siku mtajutia Udikteta wenu.
 
kama mungu HAKUMUACHA TUNDU LISSU AFE KWENYE LILE TUKIO.SISI NI NANI TUMKIMBIE LISSU KWENYE MATATIZO?
LISSU atachangiwa hata na malaika wa mungu.na WATOTO WADOGO.
Mimi mwenyewe LISSU Ana 10,000 yake kwangu.
nasubiri utaratibu tu wakuchangia.
mmefeli,mtafeli na mtazidi Kufeli.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Le mutuz hivi ni kwa nini unahangaika sana majina feki? Kwani jina Olijino au kukaa mbele ya keyboard ndiyo kuwa na hoja za kuzuia roho mbaya ya watesi wa CCM au ndiyo yatazuia wizi wa pesa za mshahara wa Tundu Lisu?
Lissu sasa katepeta. Njaa haina ukamanda
 
Image iliyopo sasa ni hii; mashabiki wa wanyonyaji, chama kinacho shabikia ushoga, chama kisicho taka ukusanyaji wa kodi, hayo ni machache kati ya mengi.

Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe una akili kidogo. Unathibitisha zile tafiti kwamba CCM kinapendwa na wajinga wasio na akili. Angali ulivyo mjinga hata hujui kuwa Bashite, yule mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam alivyotangaza kuwasaka mashoga Waziri Mahiga wa CCM aliiambia dunia kwamba serikali "haina matatizo na ushoga" na alichokifanya Bashite ni mawazo yake tu. Sasa nani anashabikia ushoga wewe mburula? Eti chama kisichotaka ukusanyaji kodi wewe kweli jinga. Hebu thibitisha hata kwa maneno mawili tu kwamba hcho chama unavhokisema hakitaki ukusanyaji kodi! Kweli CCM inanasa wajinga....
 
Lissu sasa katepeta. Njaa haina ukamanda
Si bora yeye anawaomba wazalendo wamsidie, jambo ambalo sio tatizo ni la kawaida maana inajulikana anajiuguza. Sasa wewe unayejipendekeza kwa akina Bashite na wajinga wengine ndo upate kula, Lisu na wewe nani katepeta we mburula?
 
Sisi tunawapiga marufuku tu makamanda na hakuna mahali pa kupumua.
Wewe una akili kidogo. Unathibitisha zile tafiti kwamba CCM kinapendwa na wajinga wasio na akili. Angali ulivyo mjinga hata hujui kuwa Bashite, yule mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam alivyotangaza kuwasaka mashoga Waziri Mahiga wa CCM aliiambia dunia kwamba serikali "haina matatizo na ushoga" na alichokifanya Bashite ni mawazo yake tu. Sasa nani anashabikia ushoga wewe mburula? Eti chama kisichotaka ukusanyaji kodi wewe kweli jinga. Hebu thibitisha hata kwa maneno mawili tu kwamba hcho chama unavhokisema hakitaki ukusanyaji kodi! Kweli CCM inanasa wajinga....

Sent from my HUAWEI Y520-U22 using JamiiForums mobile app
 
I offer Tsh 1,000,000 fo TAL Please guide me how to give my contribution!!

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Lissu akiwa mpole utamuona kaenda kwa ndugai na magufuli kusalimu amri, lakini kwa sababu yeye anaishi kwa kile anachokiamini bila kujali maslahi gani binafsi anayakosa

Sent using Jamii Forums mobile app
Una wish angeenda kuwaomba CCM kama Ulivyo wataja ama maBEBERU WA ULAYA ila Bahati mbaya kwenu haiko hivyo ..., kawaomba waTANZANIA WAZALENDO sio viBEBERU vya KODI ZA WANYONGE wala MABEBERU wa DUNIA,
Mmehangaika sana kuanzia mabalozi,mawaziri,wabunge ,wakurugenzi wakuu wa mikoa /wilaya/idara,mpaka watendaji ngazi za mitaa na familia, bado WOTE MMEGARAGAZWA.
AMA KWELI MWISHO WA UBAYA AIBU.Hii ni aibu yenu.
 
Mwamba relax kias tuliza hasira

nimeumia sana baada ya kuona lisu anaomba msaada kwa watu sasa kwann anakuwa kibur na anajua anashida
hii ni video ambayo imevuja ambapo jamaa amenaswa akiomba msaada na hapo Mi muda mfupi baada ya wao kusitisha live streaming haya sasa

Aache kujitia kibur

Sent using Jamii Forums mobile app

Muache kiburi.mbona mnamsema Mkuu wa nchi kuwa anaomba?bora yeye anaomba kwa ajili ya Taifa si kwa familia.mkumbuke unavoongea kubakisha yakesho.hiyo ni aibu.mngekuwa na fedha mngemlipia kuliko kujitangaza
 
Una wish angeenda kuwaomba CCM kama Ulivyo wataja ama maBEBERU WA ULAYA ila Bahati mbaya kwenu haiko hivyo ..., kawaomba waTANZANIA WAZALENDO sio viBEBERU vya KODI ZA WANYONGE wala MABEBERU wa DUNIA,
Mmehangaika sana kuanzia mabalozi,mawaziri,wabunge ,wakurugenzi wakuu wa mikoa /wilaya/idara,mpaka watendaji ngazi za mitaa na familia, bado WOTE MMEGARAGAZWA.
AMA KWELI MWISHO WA UBAYA AIBU.Hii ni aibu yenu.
Wewe ni mgonjwa wa akili hivi unafikiria wabunge wote mishahara wanapata wapi na posho kama sio pesa za watanzania wote walipa kodi?ulitaka nchi iwe na kiwa nda cha fedha?
 
Hapana mkuu,humu watu sio wajinga ndio maana tunajua kusoma na kuandika.Ila nina imani humu watu wapumbafu wapo,tena wengi tu.

Mara nyingi humu huwa hatujifichi maana ID fake tayari zimeshayuficha.Wengi humu na nadhani hata wewe ukiwemo huwa tunaongea ukweli halisi sababu hatujuani
Akina nani watamcheka Tundu akikosa ada za wanae

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom