Tundu Lissu afuta jasho kwa kutumia bendera ya Taifa uwanjani Ivory Cost; ni Mtanzania anayevuja jasho kwa uzalendo mkubwa

Kikwete alitawazwa wakati ule halafu akasema,"Watamzania kwa nini hamtaki kuzitumia hizi nembo za taifa: bendera ya taifa mbona hatuioni mtaani?"
Baada ya siku chache,nikamuona mlinzi anatumia hankerchief,bendera ya taifa anapenga makamasi.
Nikamwambia,"Sikiliza wewe, hakuna mtu hapa atapenga makamasi kwa kutumia bendera ya taifa!"
 
It Disrespectful. Ni kwamba ameikosea heshima Bendera ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Wakati wakiomba Katiba mpya, wasisahau kuweka sheria itakayokataza kutumia Bendera kufutia jasho.

Bendera iheshimiwe.
 
Tundu Lissu ni mmoja wa Watanzania waliofika Ivory Cost kwa gharama zao binafsi kuishangilia timu ya Taifa.

Hakuna kiongozi yeyote wa CCM aliyetumia fedha zake binafsi kwenda kuiunga mkono timu yetu

Akiwa uwanjani ameonekana akivuja jasho kali kwa presha na uchungu kwa timu yetu hadi kufikia kutumia bendera ya Taifa kupunguza jasho usoni.

Viongozi kama hawa ambao kila sekta wanasomeka kuiunga mkono nchi ni wachache kutokea. Tumpe maua yake
Huyo chiba kaleta gundu leo😎
 
Kumbe ndiyo maana tumefungwaaa!
Mmefungwa baada ya Ndumbaro kuingia kambini na kuhutubia masaa matatu wachezaji na kuwachosha na uccm wenu.
IMG-20240118-WA0004.jpg


Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
 
It Disrespectful. Ni kwamba ameikosea heshima Bendera ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Wakati wakiomba Katiba mpya, wasisahau kuweka sheria itakayokataza kutumia Bendera kufutia jasho.

Bendera iheshimiwe.
Taja kifungu utusaidie wengine.
 
Kwahy mmesema anafutia jasho kwa bendera ya nchi halafu mnaona ni uzalendo.? Kweli ukiwa chadema ni lazima uwe punguani
 
Back
Top Bottom