Tundu Antipas Lissu on BBC HARDtalk - 21 January 2019

Tundu Antipas Lissu on BBC HARDtalk - 21 January 2019

Tunazungumzia Lisu hapa na kiherehere chake.

Mgonjwa,
Acha ukichaa wako usiopona!
Hivi Mhe. Mbunge Tundu Lissu kuhojiwa na chombo cha Habari BBC ughaibuni ni kiherehere? Kwanini hamjawaulizi BBC kama ndo wao wenye kiherehere maana ndo waliomwalika Lissu kwenda kuhojiwa? Mwambie Magufuli naye aende mbele ya Camera za BBC HARDTalk kama atahimili maswali ya Mr.Stephen Sackur...!!La Magufuli anaogopa camera za HARDTalk ampeleke msemaji wake Bw. Abbas daktari fake kama hajatoka nduki...!!!
 
Breaking News: Kwa wale walio karibu na Luninga zao, kipindi cha Hardtalk cha BBC, kinarudiwa tena kwa mara nyingine tena kuanzia saa 6.30 mchana huu. Stay tuned
 
Wewe ni mbumbumbu kilaza kingereza hujui kabsa peleka ujinga wako huko Tundu Lisu hajatetea ushoga bali alipoulizwa swali la ushoga aliambiwa aseme yes au no lakini yy akasema mambo ya watu wawili asingependa kuyaongelea hajatetea wala kukubali chochote acheni kupotosha kwanza huko CCM anayejua kingereza ni Mkapa na kikwete kidogo wengine wote ni vilaza watupu acheni kutengeneza ushoga kama kigezo kwani ushoga na wizi wa trilion 1.5 vina uhusiano gani? Ushoga na kujenga chato Airport porini kijijini kienyeji pasipo idhini ya Bunge vina uhusiano gani, kuna 10% ununuzi wa ndege ujenzi wa reli na miladi yote mikubwa vina uhusiano gani na ushoga? Watanzania kipaumbele chao ni demokrasia na maendeleo huo ushoga hawana time nao acheni ushamba,


Hahahahaaaaahh😀😀😀..... hatuhitaji hiyo demokrasia ya Ushoga wewe usipotoshe, sisi tunataka hizo Barabara, Madaraja, Flyovers, Mahospitali, Shule, Stiglers Gorge, Treni ya Mwendo kasi SGR, Njia nane za kwenda Kibaha, nk ambazo ndio JPM anafanya.... JPM kidume kweli kweli, hayo mambo zenu za kijinga toeni hapa Shoga Mkubwa wewe.
 
Hakuna mahali nimemfananisha na Lissu ila nimeona itapendeza na yeye akipata nafasi ya kuhojiwa ili afafanue na kujibu mapigo

Sent using Jamii Forums mobile app

Kwanza Rais sio saizi yako wewe hadi kufikia hatua uanze kupendekeza ahojiwe na afafanue mipago... what the hell are you and what is so special that need our President to respond back ? Lissu atajibiwa na akina Kheri wa UVCCM ndio saizi yake sio Rais hata siku moja.
 
Baada ya kipindi cha mahojiano HARDtalk cha BBC kurusha hewani nimegundua Watanzania wengi hawaelewi kabisa maudhui ya kipindi kile
Pengine wengi wao ndio mara ya kwanza kukitazama kwa undani au hawajawahi kukitazama kabisa

HARDtalk sio sawa na Marine Hassan kumuhoji Jaffo au Tanzania Daima kumuhoji Mdee, Wala sio sawa na Ayoub Rioba kumuhoji Mkurugenzi wa uwekezaji

HARDtalk ni hardtalk kweli, hakuna leading questions pale, siku zote wanao hojiwa mahojiano huwa against wao na sio vinginevyo
Ikitokea kesho Magufuli ndio anahojiwa hutaamini kwanini jamaa alikua anambana vile Tundu lissu wakati kumbe anajua kila kitu.....that's Hard talk

Tundu Lissu amefanya vizuri sana kupita maelezo pamoja na maswali yale magumu lakini bado ameweza kuyajibu na kufikisha ujumbe aliokusudia kwa dunia

Sent using Jamii Forums mobile app

Baada ya kipindi cha mahojiano HARDtalk cha BBC kurusha hewani nimegundua Watanzania wengi hawaelewi kabisa maudhui ya kipindi kile
Pengine wengi wao ndio mara ya kwanza kukitazama kwa undani au hawajawahi kukitazama kabisa.


HARDtalk ni hardtalk kweli, hakuna leading questions pale, siku zote wanao hojiwa mahojiano huwa against wao na sio vinginevyo.
Ikitokea kesho Magufuli ndio anahojiwa hutaamini kwanini jamaa alikua anambana vile Tundu lissu wakati kumbe anajua kila kitu.....that's Hard talk.


Nakupa hongera kwa kuwaingiza darasani walio wengi.Labda huyo aliyesema Stephen Sackur ni mwanachama wao anaweza kujifunza kitu hapa.
 
Ulisikiliza wewe bwege? Lissu ameongea slang utafikiri kazaliwa UK mpaka dakika ya mwisho na wakashikana mikono na Presenter Stephen Sackur!!Sasa unaposema kidogo atoke nduki una maana gani kama so umbeya?.
We ndo bwege,popoma. ambaye ulikuwa unasikiliza ngeli badala ya hoja.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwanza Rais sio saizi yako wewe hadi kufikia hatua uanze kupendekeza ahojiwe na afafanue mipago... what the hell are you and what is so special that need our President to respond back ? Lissu atajibiwa na akina Kheri wa UVCCM ndio saizi yake sio Rais hata siku moja.
Acha tukubaliane kuto kukubaliana ili kila mmja aendelee na shughuli zake!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Baada ya kipindi cha mahojiano HARDtalk cha BBC kurusha hewani nimegundua Watanzania wengi hawaelewi kabisa maudhui ya kipindi kile
Pengine wengi wao ndio mara ya kwanza kukitazama kwa undani au hawajawahi kukitazama kabisa

HARDtalk sio sawa na Marine Hassan kumuhoji Jaffo au Tanzania Daima kumuhoji Mdee, Wala sio sawa na Ayoub Rioba kumuhoji Mkurugenzi wa uwekezaji

sio lazima mtu uwe amewahi kuangalia HARDtalk...

by Western media standards there is nothing particularly unique about HARDtalk, granted it has its own stylistic identity and journalist's personality. But most of the world class press is exactly that way in conducting interviews especially with politicians: deeply probing questions, playing devil's advocate, follow up question, interrupting, fast paced, provocative, and more than anything, researched questions!

ni kweli hizi sio interview za kina Marina Hassan na Sam Mahela, kila akimaliza kuuliza swali anasema "karibu mheshimiwa..." Karibu? Unacheza wewe! Yani vi interview vya kibongo viko nyoro nyoro nyoroooo!

Tundu Lissu ambae kwa miaka 40 ya harakati zake amekuwa akihojiwa na the Sam Mahela types kwa kweli amejitahidi sana japo kulikuwa na mapungufu kadhaa.

Kipindi kili last 22 minutes, karibia nusu ya muda huo ni mwandishi anajenga maswali na kuku interrupt, inakuachia just about 15 minutes. You have 15 minutes kuieleza dunia madhambi ya Tanzania na harakati zako za upinzani maishani au za CHADEMA toka vyama vingi virudishwe au za miaka mitatu hii ya Magufuli. Hutakiwi ku waste time kwa kurudia rudia jina la mwandishi "Mister Sackur... Steve... Stephen...Mister Sackur..." kabla ya kuanza kujibu swali. Which was a head spinning surprise to me kwa sababu Tundu Lissu ni mbunge ambae huwa hawesti time hata siku moja kumshukuru Mungu, mkewe na watoto kabla ya presentation bungeni. Lakini kimsingi alijibu maswali substantively enough.
 
Back
Top Bottom