Hahahahahahahaaa!Huyuhuyu intaplinywaaaa!?Hahaha wakwetu alisema huko kaenda na kazunguka sanaaa, na alikuwa ana mwaga yai zaidi ya queen.
Hahaha huyu huyu.Hahahahahahahaaa!Huyuhuyu intaplinywaaaa!?
🖕🖕Hahahahaaaaaah, huna point...... hiyo ndio Familia yako ya Mashoga.
Lissu amenikumbusha Rais marehemu wa Zambia Fredrick Chiruba alikua anatema mayai balaa kila anapokua Mwenyekiti wa SADC au AU ilikua faraja sana kumuangalia akitema ngeli tamu...wenyewe walikua wanatamka Chilubha..
......Nimemsikiliza vizuri sana Lissu. Ukimsikiliza mwendesha kipindi jinsi anavyomuhoji Lissu kama sio mtaalamu unaweza kufiri ana muhoji kwa namna ya kuitetea serikali lakini ukweli ni kuwa anahoji yale anayoona ndiyo madhaifu ya serikali na anataka Lissu afafanue. Sasa ni zamu ya Magufuli kwenda Hard Talk naye akahojiwe. Nina imani atatiririka vizuri kwa usomi wake wa ngazi ya Phd ya maganda ya Korosho
Mkuu unaelewa lakini Maana ya Neno Mpambe??Katika hili, Lissu na wapambe wako hamko pamoja kabisa.
Wewe ni mbumbumbu kilaza kingereza hujui kabsa peleka ujinga wako huko Tundu Lisu hajatetea ushoga bali alipoulizwa swali la ushoga aliambiwa aseme yes au no lakini yy akasema mambo ya watu wawili asingependa kuyaongelea hajatetea wala kukubali chochote acheni kupotosha kwanza huko CCM anayejua kingereza ni Mkapa na kikwete kidogo wengine wote ni vilaza watupu acheni kutengeneza ushoga kama kigezo kwani ushoga na wizi wa trilion 1.5 vina uhusiano gani? Ushoga na kujenga chato Airport porini kijijini kienyeji pasipo idhini ya Bunge vina uhusiano gani, kuna 10% ununuzi wa ndege ujenzi wa reli na miladi yote mikubwa vina uhusiano gani na ushoga? Watanzania kipaumbele chao ni demokrasia na maendeleo huo ushoga hawana time nao acheni ushamba,Leo inaweza ikawa na siku ngumu sana kwa mashabiki, wapenzi na wanachama wa CHADEMA ambao hawajui deals/mikataba na makubaliano ambayo viongozi wao huwa wanaifanya kwa siri ili kuungwa mkono na baadhi ya makundi yanayounga mkono ushoga na usagaji ili wajipatie fedha kwa manufaa yao wenyewe kwa kutumia jina la chama chao.
Kwa muda mrefu wamejificha nyuma ya Fatuma Karume, wakimtumia kufanya kazi ya kutetea mapenzi ya jinsia moja kwa kusema hayo ni mambo binafsi ya chumbani (bedroom affairs) hivyo sheria zetu zimepitwa na wakati na tunatakiwa tuziondoe maana zinaingilia uhuru binafsi wa watu.
Maneno hayo hayo ya Fatuma Karume, leo kwa mara ya kwanza baada ya viongozi wa CHADEMA kuyatetea chini ya kapeti leo Tundu Lissu alijikuta hana jinsi ikabidi authibitishie ulimwengu kuwa wao kama CHADEMA pindi wakaposhika madaraka wataondoa sheria zinazozuia ushoga na usagaji, na kuruhusu ndoa za jinsia moja kwa msingi huo.
Tundu Lissu alikuwa katika mtanziko, maana mtangazaji wa kipindi cha Hard Talk (BBC), Bwana Steve alimuuliza wewe kama kiongozi wa upinzani, unauambia vipi ulimwengu kuwa je mkishika madaraka mtabadili katiba na kuondosha hizo sheria kandamizi na kuruhusu mapenzi ya jinsia moja? Kwa kuwa Lissu anajua jambo hilo ni mwiko na aibu kwa watanzania alijaribu kuruka ruka ili asielezee msimamo wake na wa chama chake , lakini mtangazaji alipombana ili aeleze kinagaubaga Tundu Lissu hakuwa na jinsi zaidi ya kusema wao wataondoa sheria hizo maana zinakandamiza uhuru wa chumbani wa watu.
Lissu aliwekewa chaguo kati ya Watanzania na wafadhiri wao ambao ni wanaharakati wanaotetea ushoga, usagaji na mapenzi ya jinsia moja kwa ujumla. Dunia yote leo imethibitishiwa rasmi kuwa sasa CHADEMA wataruhusu ushoga Tanzania. Kwamba Lissu aende jimboni kwake awaambie wana-IKUNGI kuwa ni halali vijana wao wa kiume kuolewa, na pia aende kule TARIME (Kanda Maalum) awaambie kuwa sasa wakurya inatakiwa wawe mashoga, jambo hili.
Imeandikwa na Deo Meck
Kweli ni Hard Talk. Nimemvulia kofia Tundu Lissu kwa Ung'eng'e safi. Vijana wa Tanzania jifunzeni kiingereza. Mengine yaliyoongelewa sina comment.
Kuna tofauti baina ya kuiaibishia Tanzania na kuiaibisha Serikali ya Tanzania!
Kuhusu maombi kama unamwombea adui yako hiyo njaa kwa Mungu ujue pia kwamba Mungu ana kanuni moja inayosema wafanyieni watu mnayotaka kufanyiwa na pia kuna kanuni nyingine ya kipimo upimacho utapimiwa na kuzidishiwa, so angalia, labda “more njaa” kwako!Adui yako muombee njaa!
hapana, siyo wa kwanza , ila ni wa kwanza for outstanding performance during the interview!kama kichwa cha habari kinavyojieleza tundu lissu ndo mtanzania wa kwanza kushiriki mazungumzo ya bbc hard talk
hongera sana bana lissu
Sent using Jamii Forums mobile app
_Ya Lissu yanazidi kumfifisha mwenyekiti was CCMJamani mbkna hatusikii tena habari za mwenyekiti was cdm mh. Mbowe neo kusema watu wamemchoka kias hiki! au kashatoka lupango?
Sent using Jamii Forums mobile app