Earthmover
JF-Expert Member
- Sep 28, 2012
- 25,995
- 25,338
......
......ndo Kunakucha
......ndo Kunakucha
Acha tukubaliane kuto kukubaliana ili kila mmja aendelee na shughuli zake!
Sent using Jamii Forums mobile app
sio lazima mtu uwe amewahi kuangalia HARDtalk...
by Western media standards there is nothing particularly unique about HARDtalk, granted it has its own stylistic identity and journalist's personality. But most of the world class press is exactly that way in conducting interviews especially with politicians: deeply probing questions, playing devil's advocate, follow up question, interrupting, fast paced, provocative, and more than anything, researched questions!
ni kweli hizi sio interview za kina Marina Hassan na Sam Mahela, kila akimaliza kuuliza swali anasema "karibu mheshimiwa..." Karibu? Unacheza wewe! Yani vi interview vya kibongo viko nyoro nyoro nyoroooo!
Tundu Lissu ambae kwa miaka 40 ya harakati zake amekuwa akihojiwa na the Sam Mahela types kwa kweli amejitahidi sana sana sana, japo kulikuwa na mapungufu kadhaa.
Kipindi kili last 22 minutes, karibia nusu ya muda huo ni mwandishi anajenga maswali na kuku interrupt, inakuachia just about 15 minutes. You have 15 minutes kuieleza dunia madhambi ya Tanzania na harakati zako za upinzani maishani au za CHADEMA toka vyama vingi virudishwe au za miaka mitatu hii ya Magufuli. Hutakiwi ku waste time kwa kurudia rudia jina la mwandishi "Mister Sackur... Steve... Stephen...Mister Sackur..." kabla ya kuanza kujibu swali. Which was a total and head spinning surprise to me kwa sababu Tundu Lissu ni mbunge ambae huwa hawesti time hata siku moja kumshukuru Mungu, mkewe na watoto kabla ya presentation bungeni. Lakini kimsingi alijibu maswali substantively enough.
Hakuna upinzani Tanzania ni Vikundi vya wahuni na Wasaka Tonge, wamejaa hila na unafiki, Kama Mwananchi wa Nchii hii (Tanzania) siko tayari kupoteza asili yangu na fahari yangu kwa Mzungu. Tundu alipumuliwa na Wazungu Makamanda wa M4C meno nje nje "that rubbish and idiotic "
Sent using Jamii Forums mobile app
Tundu Lissu ni binadamu ana MOYO na nyama pia yaliyomkuta ni mazito lakini hatuwahi kumwona akitoa hata chozi kwa yaliyomkuta bali ni tabasamu lake tu.
Serikali yetu haijawahi kuonyesha ya kuwa ipo pamoja na Lissu na Familia yake....imeonesha Mara zote kuwa upande wa watesi wa Lissu.
Unapomsema vibaya Lissu eti si mzalendo Mara anaikashfu nchi na viongozi jaribu kuvaa uhusika wa Lissu na yaliyomkuta je Mimi na wewe tungekuwa na hali gani?? Familia yake ilikuwa kwenye hali gani?? Je uzalendo ni nini?? Mwenzetu apigwe risasi 16 mwilini mwake serikali isiseme chochote wala kumsaidia kwa lolote halafu yeye aipongeze??
Wanaomwona Lissu ni msaliti ni wanufaika wa serikali ya awamu hii lakini Lissu ni mhanga....
Kuna watu wamezunguka dunia kwenda kutafuta watoto hata hatukuhoji kama wanavibari vya kwenda huko....wala hatukuhoji kama madaktari wetu wameshindwa ila kwa Lissu wanauliza vibari.....
Msitufanye wajinga Lissu aongee yaliyomsibu kwa kuwa mamlaka zinazohusika hazijawahi kutueleza yaliyomkuta!
Sent using Jamii Forums mobile app
Kumbe na hizi zimo.JF
Naona hamupendi watu tu comment tena.. ndio nini kufuta post yangu pg namba moja sijui mbili..
Basi nyie mliofuta nitawaachia muandike nyie..
Wengine ndio mumeanza kutuchoka kisa.. hao wanaoninukuu kwani wananihusu nini???
Miaka kumi na bora nami niungane na waliopumzika na kuwa wasomaji tu..
.....
Ndiyo maana kala trilion 1.5 kienyeji hawajamuuliza?Ni bora kuliko ulikofikia ulikuwa unaelekea siko.... Rais JPM ni Mtu mkubwa sana wewe na Lissu wako hata robo ya uwezo wa rais hamfiki. Rais JPM anawatu kama Lissu kama Milioni hivi, ambao ni Wabunge, Mahakimu, MaDC, Mameneja wa vitengo mbalimbali.... Sasa acha kabisa hapo hatutataja Mawaziri, Wakurugenzi, Makatibu Wakuu, Makamishna, Majenerali, Wakuu wa Mikoa ambao kiitifaki wako juu maradufu ya Lissu wako.
Ni bora kuliko ulikofikia ulikuwa unaelekea siko.... Rais JPM ni Mtu mkubwa sana wewe na Lissu wako hata robo ya uwezo wa rais hamfiki. Rais JPM anawatu kama Lissu kama Milioni hivi, ambao ni Wabunge, Mahakimu, MaDC, Mameneja wa vitengo mbalimbali.... Sasa acha kabisa hapo hatutataja Mawaziri, Wakurugenzi, Makatibu Wakuu, Makamishna, Majenerali, Wakuu wa Mikoa ambao kiitifaki wako juu maradufu ya Lissu wako.
Kwa MAZWAZWA TU kama wewe! Mtu anakwapua pesa nyingi kiasi hicho halafu ZWAZWA linadai imeshachuja!
MAZWAZWA kama wewe ni hasara kubwa sana kwa Taifa.
....Watetezi wa CCM kwa 100% ni majuha mbumbumbu na vilaza wa kutupwa kibaya zaidi wengi wamekariri ujinga wa Bashite, le mutuz,badala ya kujiongeza watumie Akili zao binafsi ni aibu kubwa
Watetezi wa CCM kwa 100% ni majuha mbumbumbu na vilaza wa kutupwa kibaya zaidi wengi wamekariri ujinga wa Bashite, le mutuz,badala ya kujiongeza watumie Akili zao binafsi ni aibu kubwa