Ila mange ataweza bila matusi? Maana hata kwa ki-inglish anatukanaga sio mchezo. Ok basi wamuandae mange wa kimambi maana tundu lissu ni wa ligi ya tff nje ni bure hafai.Ndugu zangu,
Maandalizi yoyote yanakuwa na mantiki pale unapopata matokeo mazuri. Hapa ndipo utakapogundua maana ya kocha wa yanga mkongomani Mwinyi Zahera alipoona mambo yatakuwa magumu kwenye kombe la mapinduzi akaja na propaganda ya kuwa ''atapeleka kikosi B'' kwa sisi watu wazima tuliupata ujumbe.
Turudi kwenye hoja, huenda maandalizi ya kuongea na media za kimataifa yalikuwa mazito na yamegharimu mamilioni ya dola. Inapotokea matokeo yanakuwa madogo sana kulinganisha na uwekezaji tusipeleke ''timu A''.
Ndugu zangu, kule CNN akienda Lissu atakutana na Richard Austin Quest , huku mambo yatakuwa mabaya zaidi kuliko yalivyokuwa kwa Stephen Sackur. Kwani Richard atapata wasaa wakuangalia mahojiano baina ya Steve na Tundu na hapo kazi itakuwa imekwisha, hata akiuliza maswali yale yale hali itakuwa mbaya zaidi.
Hapa ndipo mantiki ya kuitimia timu B, ambapo hapa ndipo Mange Kimambi 'anafit'. kwanini Mange? angalau ana cha kuzungumzia kuhusu maandamano yake yaliyoshindwa ya 26 Aprili, 2018.
Pili, kama kweli Lissu bado anaumwa si busara, Chadema watumie sababu hii kukwepa kiti moto pale CNN kwani kushindwa kwake ni kuanguka kwa chama na aibu zaidi kwa kukosa misingi ya kujenga hoja kimataifa.
Nimalizie tu kwa kusema, 'mzima nguo ikidondoka chutama', sisi wenyewe ni mashaidi wafuasi wengi wa Bavicha hawasherehekei clips za BBC sasa mkiongeza mziki wa CNN ya Richard Quest hali itakuwa mbaya zaidi.
Mahojiano ya CNN aende Mange na sio Lissu kuepuka aibu zaidi.
Kumbe huelewi? Ungeuliza tangu mwanzo.Madini yasafirishwe kwa gharama kidogo kutoka Chato, gharama ya nani?
Nani huwa anagharimika kusafirisha madini?
Yanatoka wapi yanaenda wapi?
Madini ya nani?
Mkuu nasikia BBC wamemtumia NGOSHA JIWE invitation akahojiwe kwenye HARRtalk,
Nani wa kuleta ushahidi ?Kama hana ushahidi basi na aache kutuhumu watu kiholela.
Kamanda kama kuna mpango wa kwenda CNN achaneni nao kuepuka aibu zaidi.
Ni kweli ndio maana nikasema nionavyo mimi!!!!!Mkuu;
Kuona ni haki yako lakini haina maana kuwa unachokiona ni kweli!
Binadamu tumeumbwa na macho yenye nguvu tofauti katika kuona pamoja na kwamba hayo yote ni macho yanayoona!
Inaonekana Lisu kawavuruga kweli kweli poleni sanaNdugu zangu,
Maandalizi yoyote yanakuwa na mantiki pale unapopata matokeo mazuri. Hapa ndipo utakapogundua maana ya kocha wa yanga mkongomani Mwinyi Zahera alipoona mambo yatakuwa magumu kwenye kombe la mapinduzi akaja na propaganda ya kuwa ''atapeleka kikosi B'' kwa sisi watu wazima tuliupata ujumbe.
Turudi kwenye hoja, huenda maandalizi ya kuongea na media za kimataifa yalikuwa mazito na yamegharimu mamilioni ya dola. Inapotokea matokeo yanakuwa madogo sana kulinganisha na uwekezaji tusipeleke ''timu A''.
Ndugu zangu, kule CNN akienda Lissu atakutana na Richard Austin Quest , huku mambo yatakuwa mabaya zaidi kuliko yalivyokuwa kwa Stephen Sackur. Kwani Richard atapata wasaa wakuangalia mahojiano baina ya Steve na Tundu na hapo kazi itakuwa imekwisha, hata akiuliza maswali yale yale hali itakuwa mbaya zaidi.
Hapa ndipo mantiki ya kuitimia timu B, ambapo hapa ndipo Mange Kimambi 'anafit'. kwanini Mange? angalau ana cha kuzungumzia kuhusu maandamano yake yaliyoshindwa ya 26 Aprili, 2018.
Pili, kama kweli Lissu bado anaumwa si busara, Chadema watumie sababu hii kukwepa kiti moto pale CNN kwani kushindwa kwake ni kuanguka kwa chama na aibu zaidi kwa kukosa misingi ya kujenga hoja kimataifa.
Nimalizie tu kwa kusema, 'mzima nguo ikidondoka chutama', sisi wenyewe ni mashaidi wafuasi wengi wa Bavicha hawasherehekei clips za BBC sasa mkiongeza mziki wa CNN ya Richard Quest hali itakuwa mbaya zaidi.
Mahojiano ya CNN aende Mange na sio Lissu kuepuka aibu zaidi.
Duu çcm wanaangaika kuanzia JF mpaka FB lakni nilichogundua kura zikipigwa Leo jiwe atahachwa mbali sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Nani wa kuleta ushahidi ?
Tangu TL aongee hii Thread ya ngapi unaporomosha.Mkuu;
Kuona ni haki yako lakini haina maana kuwa unachokiona ni kweli!
Binadamu tumeumbwa na macho yenye nguvu tofauti katika kuona pamoja na kwamba hayo yote ni macho yanayoona!
Lissu ni Genius. Ukimuuliza direct question, anaanza kujibu usikofikiria.Acha ungese kingereza chenyewe hujuii utaelewa nini? CCM wote hakuna anayejua kingereza zaidi ya mzee mkapa na pengine kikwete kidogo, Tundu Lisu kaongea vizuri ingawa mtangazaji alikuwa na maswali ya mtego ndiyo maana watetezi wa CCM hamjapata usingizi mmekalia kupanga mada za kifala fala, kama ingekuwa haiwaumi msingehangaika kutengeneza story zenu za kijinga jinga.