Tundu Antipas Lissu on BBC HARDtalk - 21 January 2019

Tundu Antipas Lissu on BBC HARDtalk - 21 January 2019

Acha ushamba wewe wazungu wanajua kama magufuli kaiba trilion 1,5 mwenyewe kienyeji? Wazungu wanajua magufuli amejenga chato Airport bila idhini ya Bunge? Wazungu wanajua kuwa magufuli alikuwa akichukua pesa za walipa kodi kuwanunua wabunge na madiwani wa upinzani kurudia chaguzi kwa gharama kubwa? 2020 ccm haina chake mambo yatabadilika watanzania wameichoka CCM,
Haya tuseme wazungu wanajua kwa hiyo? Watafanya nini? Watamfunga huyo magufuli? Lisu anaulizwa maswali ana kwepakwepa tuu mara anamuingiza makonda ndani anaambiwa lete ushahidi anadai naweza kupiga simu..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tanzania one of the fasterist growing Nations economically and demographically governed by one of continent most controversial leaders President JPM otherwise known as the Bull Dozzer today is the domestic most opponent TL he was until the gunman pumped at least 20 bullets iinto his body in 2017 he managed to survive and he rejoineined the fight against the rule that he describes as petty dictator but may be Tanzanians like strongman rule.

Hiyo ni intro ya hard talk kabla ya kukaango cha TL kwenye live Tv. Imekaje wadau
 
Tanzania one of the fastest growing Nations economically and demographically governed by one of continent most controversial leaders President JPM otherwise known as the Bull Dozzer today is the domestic most opponent TL he was until the gunman pumped at least 20 bullets iinto his body in 2017 he managed to survive and he rejoineined the fight against the rule that he describes as petty dictator but may be Tanzanians like strongman rule.

Hiyo ni intro ya hard talk kabla ya kukaango cha TL kwenye live Tv. Imekaje wadau
 
Ukweli ukifuatilia ile interview yenyewe utagundua jamaa wamefanya research ya kutosha sana. Na nionavyo mimi BBC wameshindwa kumkaanga sana JIWe sababu baadhi ya takwimu walizo quote ambazo Lissu alisema zimepikwa na serikali kwasababu wamepitisha sheria Stephen alisha kua nazo na kumtjibitishia zimetolewa watu wanaoheshika kwa maana siyo twaweza.

Ndiyo maana binafsi nasema wa kutoa mshindi wa kweli kwenye ile interview ni mtu neutral kabisa. Asiwe ccm ama chadema maana wenzetu labda waliiona interview tofauti. Nimepitia comment moja watu wanajiita wana IQ kubwa kushinda wenzao wakati kwanza hawajatupatia matokeo ya IQ test kudhibitisha, nao wameingia katika behewa la kusifu tu bila kufuatilia kwa makini na kuona pale hakupatikana Mshindi.

Hakupatikana mshindi sababu Lissu alijaribu kutumia fursa ile kama daraja la kuipaka matope serikali lakini Stephen hakumpatia hiyo nafasi. Na alimkumbusha kuwa atambue kuwa yeye ni mwanasheria hivyo kutuhumu bila ushahidi anatakiwa ajue ni mbaya.

Kwa ccm sijui walishinda nini labda tu ushindi wa ccm na serikali yake upo pale Stephen alipompatia facts Lissu kuhusu Magufuli kutimiza ahadi zake alizoahidi. Lissu hakuwa na jibu zaidi ya kuleta siasa za maji taka.

All in all nipo upande wa Lissu maana hata kama ingekua mimi siwezi kusema kitu kizuri kwa wstu ambao nawatuhumu kutaka kuutoa uhai wangu. Mazingira ya tukio hayapo rafiki na serikali. Kwa hicho na ubinadamu nampatia ushindi kidogo sana Lissu
 
Naskia amevurunda
IMG-20190122-WA0007.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom