Kweli kuna watu nchi hii ni majuha, kwamba Lissu ametoa allegations bila ushahidi! Amemwambia anayemhoji kuwa ninayosema, sisemi mimi tu, kuhusu mauaji wamesema makanisa, misikiti, wanaharakati, international huma rights organs, waandishi wa habari, you name it!
Huyu jamaa anayesifika kwa maswali magumu, Lissu amemnyanyasa sana, yaani mpaka jamaa akarefusha shingo na kutoa mishipa yote akikamia Lissu ajibu kama anavyotaka yeye. Mwisho wa siku akatamka hii sentensi huku machozi yakimlenga kwa kukoshwa na jinsi Lissu alivyopangua hoja "Tundu Lissu, we will keep watching that story"
Tundu Lissu unatisha kama mzimu!
Soma baadhi ya comments kati ya comments kama 1000 kwenye hii yt video:
" I have been watching Steven Suckur's Hard Talk for many years. Only few intelligent African people have survived his heat. Paul Kagame was once there and he almost lost his nerves during the interview. As we all know him and expected it, Mr. Lissu was prepared,calm, and collected. He surely knows what he is talking about. Mr. Suckur understandably had to remain figurative with his questions through out the interview due to media partiality."
"Why are we out here acting like the show is not called HARDtalk!? This ain't tee ball, this is the Major Leagues, you better come correct. The interviewer is there to ask tough questions even if that means playing devil's advocate at times. And I like that he played devil's advocate without explaining himself. Lissu is brilliant as usual, man is a national treasure. I've always thought he is streets ahead of his contemporaries. Happy Belated Birthday to you Hon. Tundu Lissu, President of our Hearts."
"nice talk and real hard but unemotional although Steve's been too interruptive; thanks to Lissu the smart guy maneuvered around so intelligently..welcome home Mr Lissu"
"hahahahah nimeipenda hii interview kiasi kwamba nimeirudia mara mbili mbili kuisikiliza, haya yule aliyekuwa anamjibu insta amchukue baba yake aende naye huko ughaibuni naye akahojiwe"
"Throughout the video, the interviewer was intently contradicting Mr. Tundus' answers and he was not letting him finish his answers properly. Seems like the interviewer is on the ruling party's side or he's afraid he might get abducted or killed by “unknown people”. This is not how an interview should be conducted, you should let the interviewee express his views and answers more expressively and not cut him off."
"I wish you well MH Lissu..Steve is good in Hard talk we know him well for that..but MH Lissu is a lawyer he handled himself well..I guess the world now knows his truth...and 2020 I wish he wins presidency..."
Comment ya huyu jamaa inaweza kukufanya umwelewe Mungu kuwa anaweza kukuacha uingie matatizoni ili kukupiga teke kama chura:
"LISSU NI JEMBE! RISASI ZIMEKUWA NGAZI YAKE BILA KUPIGWA MIRISASI MINGI HIVYO ASINGEFIKA BBC NA DUNIA IKAMTAMBUA KWA KINA KAMA INAVYOMTAMBUA SASA!"
Pia katika kundi la mamba, kenge wamo, akina mwajuma na tabu hawakukosekana, wanasuta balaa:
"Kwani ukijenga airport kijijini si ndo maendeleo kwani nikosa au anatumia raisi pekeyake jmn huyu tundu mavi hanahakili anatoa namfano kama Mobutu seseko kwani huyu kama hawezi peleka maendeleo ht kwao huyu atapeleka kwa wajili wake ulaya , wa tz tunataka maendeleo hd vijijini zana yakujenga mjinitu sasa haipo wewe lisu umechemka kabsa, unampandisha raisi wetu bila kujua airport hd vjijini , kumbe wewe ulitaka dar pekeyake?????? Nahsi marinda huna"
Kitu hicho: