Interest
JF-Expert Member
- Apr 11, 2015
- 3,434
- 7,096
Ni mimi peke yangu sijaelewa watu wanashangilia nini kuhusu mahojiano ya Lissu? Watuhumiwa wajikite katika kujibu/kuaddress tuhuma nzito zilizotolewa.Mhojiwa ametoa tuhuma na “heavy circumstantial evidence” ila mazombi yamechagua kusikiliza& kushangilia maswali na si kutoa majibu
Camera za CCtV zilienda wapi? Walinzi walienda wapi? Kwanini Polisi haijatoa majibu ya Uchunguzi? Kwanini matukio ya mauaji yameongezeka? Kwanini hajatibiwa na serikali?
Watu wanashangilia kama wamewehuka, au kama kulikuwa na mechi ya ligi kati ya mtangazaji na mgeni wake. Hawajikiti katika maudhui ya mazungumzo. Ni ushabiki tu.
mr mkiki
Mmh.. Copy & Paste.
Najua umenielewa.