Tundu Antipas Lissu on BBC HARDtalk - 21 January 2019

Tundu Antipas Lissu on BBC HARDtalk - 21 January 2019

..heri yako wewe limbukeni wa Kiswahili.

..lakini Jiwe hata Kiswahili kinampiga chenga.
Huyo Lisu "anayejua" Kiingereza leo kakutana na mwingereza mwenyewe (Stephen Sackur) sasa. Na Stephen mpaka anamshangaa Lisu na kumuona huyu ni mwanasheria gani anayetoa tuhuma bila ushahidi, ha ha ha. Kujua Kiingereza sio ngao wewe. Hiyo lugha hata mateja wa Kiingereza wanaimudu na wanaiongea vizuri kupita huyo kanjanja wako.
 
Ha ha ha, kazi kweli kweli.

Miaka michache kabla ya kufariki Baba wa Taifa, akiwa amebaini jinsi Watanzania walivyopoteza uwezo wa lugha ya Kiingereza kinyume na matarajio yake aliwaasa wahakikishe wanaimudu hiyo lugha kwani alivyoita yeye ndiyo "kiswahili cha dunia". Siasa zitatumaliza Watanzania; kutomudu Kiingereza siyo jambo la kutukuza hata kidogo.
 
Hebu nitolee ulimbukeni wako hapa.
 
Hahahahahah akili za usiku hizi.Yaani lisu anasaka marafiki Ulaya. Mkiambiwa anatumiwa na mbuz dume mnakuja na mapovu. Hao unaowaambia kuwa huku hamna democracy kwamba ndio watakuja kufanya nini?Waje wamtoe magufuli wakuweke wewe au?Hahahahahah kweli Africa is a SHITHOLE CONTINENT. Yaani bado tuna wasomi ambao wanaamini bila mzungu hawawez fanya lolote na mzungu ndiye wakuja kusolve mattz yake.Yaani kwa jicho la tatu tu hoja itakayokuja kumpoteza lisu kwenye siasa ni UKIBARAKA. Now huwez ona lkn wananchi ukishawajaza Hii elimu basi kisiasa umeisha na hii ziara na zile kelele anazidi kujipambanaua ye ni nani.

Nokia ya kitochi yuzingi jamii foramu
Hayo mawazo yako siyo ya dunia ya leo, et ukibaraka hahaha wewe kweli bado
 
Stephen Sucker aje Dar kupata upande wa pili wa shilingi; nani atakuwa tayari kwa mahojiano hayo? Kuna mahojiano ya Hardtalk nilitazama yakimhusisha mama mmoja msomi, mshauri wa Rais Edorgan wa Uturuki, nilimhurumia sana yule mama. Mama wa watu alikuwa anatamani kulia.
Watampa Mahiga au Kabudi.... Halafu watashangaa watakavyodhakilishwa.

Watu wanaketa ushabiki tu... Performance ya TL was the best ever...!!
 
Huyo Lisu "anayejua" Kiingereza leo kakutana na mwingereza mwenyewe (Stephen Sackur) sasa. Na Stephen mpaka anamshangaa Lisu na kumuona huyu ni mwanasheria gani anayetoa tuhuma bila ushahidi, ha ha ha. Kujua Kiingereza sio ngao wewe. Hiyo lugha hata mateja wa Kiingereza wanaimudu na wanaiongea vizuri kupita huyo kanjanja wako.

..OK.

..sasa mbona Jiwe hazungumzi Kiswahili fasaha?
 
lissu ana uwezo mkubwa sana wa kuchakata mambo. Mungu azid kumpa maatifa siku hadi siku
 
Hapa kuna watu wakisikia Lisu anawatajataja watafikiri anawasifia. Ni shida mkalimani mpk home!!
 
Maswali gani kayapangua? hahahaha la Ushoga? Ushahidi wa aliyetaka kumuua?
Kilaza ushahidi utatolewa mahakamani...unajua interview kama hizo ..Lissu anakuwa ameshaambiwa anachoulizwa...swala LA Kibiti watu 300 hawajulikani walipo mbona hamtaki kulizungumzia...
 
Back
Top Bottom