Tundu Antipas Lissu on BBC HARDtalk - 21 January 2019

Tundu Antipas Lissu on BBC HARDtalk - 21 January 2019

There is no proof, even the presenter said you are a prominent figure anyone can be after you!


..true.

..but who removed the security guards who were assigned to Area D on the day of the attack?

..I believe that is a key question in identifying who was behind TL attack.

..The government must come up with a good explanation, otherwise ppl will continue suspecting that the attack was planned by an insider in our government.
 
Unatetea nini wewe wakati lissu kavuliwa nguo. Angefanya vizuri vipi wakati kaonekana pale muongo na mpayukaji. Pia kajulishwa dunia inajua utendaji mzuri wa magufuli. Bila shaka hilo lilimvuruga hadi akuulizwa kama je hapendi magufuli kupunguza rushwa? Mtoa posts adifikiri watu wote hawakijui kipindi cha hardtalk.
Leo ni siku ya kujifariji tu kwa makamanda, ha ha ha. Wanajua fika Lisu kachemka ile mbaya.
 
Lissu kaongea hadi povu daaadeki alafu steve anaaema hizo allegations ni inflamatory, huyu steve bila shaka jamaa kanunuliwa.
 
Lissu amejitahidi sana. Sio kama ENL aliyeishia kulialia kuwa anaonewa, na wala haikuwa HardTalk. Kuna mwingine pale angebanwa vile, angerusha konde ukijumlisha lugha inagonga ugoko. Lissu somehow managed to expertly dodge some tricky questions na kudeliver kile alichopanga kusema. Pia alikuwa kajiandaa na some figures.
 
..true.

..but who removed the security guards who were assigned to Area D on the day of the attack?

..I believe that is a key question in identifying who was behind TL attack.

..The government must come up with a good explanation, otherwise ppl will continue suspecting that the attack was planned by an insider in our government.
Can be anyone, mwenye akili atafikiria hivyo.
 
Unatetea nini wewe wakati lissu kavuliwa nguo. Angefanya vizuri vipi wakati kaonekana pale muongo na mpayukaji. Pia kajulishwa dunia inajua utendaji mzuri wa magufuli. Bila shaka hilo lilimvuruga hadi akuulizwa kama je hapendi magufuli kupunguza rushwa? Mtoa posts adifikiri watu wote hawakijui kipindi cha hardtalk.
Ile ya kubrashia viatu au?
 
Magu akihojiwa pale ndani ya dakika ya kwanza tu tutaona akitoa simu ampigie konda atume vijana wasiojulikana,,, bahati mbaya vijana wake hawawezi kuvuka mipaka ya Tanzania

Siku zote had talk kwa mwandishi mwenye akili timamu na ambae hasumbuliwi na njaa, lazima aigize kuwa upande tofauti na wewe ili kufanya kipindi kiheshimike.
 
..true.

..but who removed the security guards who were assigned to Area D on the day of the attack?

..I believe that is a key question in identifying who was behind TL attack.

..The government must come up with a good explanation, otherwise ppl will continue suspecting that the attack was planned by an insider in our government.
Anabahati hakuulizwa tuhuma za kumficha dreva wake.
 
#Mtangazaji: Mh. Lissu ni kweli ulipigwa Risasi 38? Mbona fatuma karume hivi karibuni alisema ulipigwa risasi 18, Mbowe alisema 22, Godbless Lema alisema 32 na mkeo Alicia alisema 17? Tumwamini nani?

#Lissu: Rais Magufuli ni wa ajabu sana kutokea katika historia ya Tanzania amezuia mikutano ya hadhara, na WATESI wetu ni CCM , tunataka Rais kama wa Rwanda huyu wetu dikteta sijapata kuona

#Mtangazajii: sijakuelewa kabisa Mh. Lissu, unamaanisha nini

#Lisu: Makamanda wako tayari kunipitisha niwe mgombea urais wa chadema 2020

Sijui tatizo lilikuwa ni Lugha iliyotumiwa na ndugu Mtangazaji kuwa ngumu sana au risasi ziliathiri pia ubongo ??


Sent using Jamii Forums mobile app

Tundu Lissu was only talking Baseless Allegations and Inflammatory Information are you there ? So Tundu was out of facts and actualities at all the conversation time, and subsequently he fall agony.......... therefore ameshindwa kabisaaa watu wasijitoe akili hapa.
 
Mkuu tafuta online video ingine yoyote ya HARDtalk uiangalie then utaelewa namaanisha nini
Akikaa kikaangoni magufuli hapo utashangaa hataulizwa std gage wa ndenge wala rushwa wala mapato, atabanwa yale yote anayotuhumiwa tuu
Unatetea nini wewe wakati lissu kavuliwa nguo. Angefanya vizuri vipi wakati kaonekana pale muongo na mpayukaji. Pia kajulishwa dunia inajua utendaji mzuri wa magufuli. Bila shaka hilo lilimvuruga hadi akuulizwa kama je hapendi magufuli kupunguza rushwa? Mtoa posts adifikiri watu wote hawakijui kipindi cha hardtalk.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mtoa mada na wale wa kufanana
Rudini shule mkasome tena
HARD TALK sio TBC Talk
Read between the lines ndipo
Akili zenu za kuungaunga mnadhani Lissu kaaibishwa
What the guy was looking for nikupata as much information as possible
Someni magazeti ya wazungu kesho ndio mtajua 'What is Hard Talk'
Kelele zenu za kimbuzimbuzi mziache kha!


Tundu Lissu was only talking Baseless Allegations and Inflammatory Information are you there ? So Tundu was out of facts and actualities at all the conversation time, and subsequently he fall agony.......... therefore ameshindwa kabisaaa msijitoe akili hapa.
 
TUNDU LISSU AUNGA MKONO USHOGA.

Leo 13:15pm,21/01/2019.

Tundu Lissu akiulizwa maswali kadhaa yanayohusu siasa za Tanzania na Rais Magufuli. Mengi ya majibu ambayo ameyasema sio mapya bali ni yale yale tu ya kusema uongo mfano Kariakoo iko Wilaya ya Bagamoyo na anakomaa kweli kweli macho makavu kama vile kweli Kariakoo ipo Wilaya ya Bagamoyo.

Swali ambalo lilikuwa ni jipya lakini pia hajawahi kuliongelea sana ilikuwa ni pale alipoulizwa kama akiwa Rais wa Tanzania ataweza kufuta sheria inayozuia ushoga nchini ambayo adhabu yake ni miaka 30.

Tundu Lissu alijaribu kuliepuka swali hilo lakini baada ya kubanwa sana na mtangazaji atoe jibu la ndio au hapana hatimaye Lissu alisema kama akiwa Rais wa Tanzania ataifuta sheria hiyo kwa sababu inakiuka haki za binadamu ambazo zinatambuliwa na Katiba ya Tanzania.

Tundu Lissu amedai Katiba ya Tanzania inatambua uhuru wa wananchi na haki ya faragha. Katika Ibara ya 16 inasema. ‘’Kila mtu anastahili kuheshimiwa na kupata hifadhi kwa nafsi yake, maisha yake binafsi na familia yake na unyumba wake, na pia heshima na hifadhi ya maskani yake na mawasiliano yake ya binafsi.

Tundu Lissu amedai kwa sababu Katiba inatambua haki ya faragha kwa sababu hiyo atafuta sheria inayopinga uhuru wa faragha na hivyo atapenda kuuona Ushoga ukitamalaki katika ardhi ya Tanzania.

Hakuna Mtanzania anayependa ushoga hata wazungu wenyewe wamegawanyika katika suala la ushoga huo ndio ukweli Lakini hata mpumbavu akinyamaza kimya huesabiwa ana busara (Mithali),iweje Tundu Lissu ashabikie ushoga!? ,Kwa hakika tukiendekeza ushoga basi hatutakuwa na kizazi kijacho (Next Generation),Tutapotea kama ilivyopotea Sodoma na Gomola, na Wazungu watawageuza waafrika wote mashoga ili ukosekane uzao ujao na Wazungu waje tena kututawala.

-Mtangazaji Stephen wa BBC hardtalk aamua kutaja mwenyewe mazuri afanyayo Rais Magufuli wa Tanzania.

Ukimsikiliza Tundu Lissu katika mahojiano na BBC hard talk, Mtangazi wa kipindi iko Stephen anashangazwa na jinsi Tundu Lissu anavyowatetea multinationals kama Barrick na mabeberu wengine, kwani Wazungu wanaamini kwa sasa Tanzania inakwenda vizuri na itapiga hatua kubwa kiuchumi baada ya kumpata Kiongozi wa kweli na Mzalendo anayependa nchi yake, Rais Magufuli ndiye rais pekee katika Afrika ambaye ameweza kukabiliana na makampuni majizi ya kimataifa,ikiwa wengineo wengineo wanawalamba miguu ya wazungu kama afanyavyo sasa Tundu Lissu.

Mtangazaji Stephen anaoneshwa kushangazwa na namna Tundu Lissu anavyokosoa serikali kwa lugha za ajabu ajabu na kwa hakika Uzalendo ukiwa haupo moyoni mwake, na sidhani kama anamaanisha anayoongea ama ni uchu wa madaraka,Kwa hakika wazungu wanastaajabu sana akili za Waafrika kama ya Tundu Lissu kuisema vibaya nchi yake, ni sawa na kuikana nchi yake na kusema yeye ni mzungu.

Mtangazaji Stephen anaonesha wazungu wanajua nia njema ya Rais Magufuli ya kuikwamua Tanzania toka kwenye lundo la umasikini, Wanajua namna Rais Magufuli anavyoibadilisha Tanzania na ambavyo kundi la wabunge wa upinzani hasa Chadema na CUF wanavyokunwa na jitihada zake hadi wanahamia CCM kwa maana CCM sasa imepata kiongozi mkweli na Mzalendo kwa lugha ya kwao wanasema "A True and Genuine Leader "na pia Wazungu wanajua ya kwamba atapita kwa kishindo katika uchaguzi wa 2020 kutokana na uwajibikaji anaouonesha.

Tundu Lissu anakosa hoja ya kuongea BBC anadai eti wabunge wote waliohama Upinzani na kuhamia CCM wananunuliwa.Mtangazaji Stephen anamwambia kumbuka wewe ni Mwanasheria Mwandamizi,kwanini unatoa kashfa (allegations) zisizo na ushahidi (evidence)?Tundu Lissu anabaki bila hoja.Angalau kwa kipindi hiki maarufu cha BBC,Dunia sasa inafahamu aina ya upinzani tulionao hapa Tanzania,na kwa hakika si upinzani wa kujenga bali kubomoa.

-Stephen wa BBC HARDtalk ataja mageuzi makubwa afanyayo Rais Magufuli.

Baada ya kuona Lissu hana analolikubali katika nchi yake mzungu wa watu akaamua kutaja mwenyewe mageuzi makubwa yanayoendelea Tanzania.

Akataja mapambano dhidi ya rushwa, akataja kuongezeka kwa mapato akataja kutekelezwa kwa miradi mbalimbali ya kijamii na miundombinu.Ni wazi wakati wote huu mzungu anashusha nondo Lissu alikuwa anashangaa tu, kwa hakika mkosa Uzalendo kageuka kituko ughaibuni.

-Nondo za Stephen wa BBC HARDtalk zamfanya Tundu Lissu ajibu nje ya Maswali.

Katika medani za kimataifa,Vipindi vinavyorushwa na Vyombo vya habari maswali yanaandaliwa na timu kwenye vikao vya ndani,Mtangazaji wa kuja kukuhoji anapewa nondo kila kona katika mitazamo tofauti,Sasa mgeni katika kipindi unapaswa ujiandae na ufanye research kupata ukweli na uhalisia wa mango mbalimbali, kikubwa ni maandalizi.

Maswali mengi Tundu alikuwa anajibu tofauti na alichoulizwa mpaka mtangazaji akawa anamkumbusha swali.Muda wa dhahabu ni pale Mtangazaji Stephen alipomuuliza Tundu Lissu kuhusu mazuri anayotenda Rais Magufuli, Tundu Lissu akawa anakwepa mpaka swali na bila hiyana Mtangazaji akaamua kumuorodheshea mambo ambayo Serikali ya CCM, ya awamu ya 5 imefanya.

Ahsante wanataaluma kutoka BBC hasa Stephen ambaye amemshinda Tundu Lissu kwenye interview Ile,kiukweli Tundu Lissu ametuaibisha sana kwa majibu yake ya nje ya kweli, off point....! hata Mtangazaji Stephens kushangaa sana kama mwanasheria anayetegemewa na upinzani kujibu nje ya swali,kujibu off point namna ile sijui aliwezaje kugraduate kwenye taaluma ya sheria na sisi Watanzania wengine sijui wanatufikiriaje uko duniani. Binafsi ningeomba arudishwe nchini mapema iwezekanavyo asiendelee kutuaibisha uko duniani.

Nikiishia hapa, Mimi ni,
Msemakweli Chakubanga,
Dar es Salaam.
 
Kaunga mkono lakini kuna watu hawakuelewa kama kasema ndiyo. Kwa hilo kweli kakamatika! Alitaka kukimbilia la wanafunzi kukatishwa masomo kwa mimba, lakini hoja ilikufa Sacker aliposema anamfahamu Magufuli ni conservative, hardliner. Wewe Lissu sema YES au NO kwa ushoga kama utapewa uongozi. Kajiuma weeeee! Mwishowe kaukubali. Sijui lengo ni nini? Kuwafurahisha magharibi au kweli anaupenda ushoga.
 
Hali ni mbaya sio mitandaoni tu hata mitaani na vijiweni habari ni hardtalk, watu nguo zimevuliwa hadharani aise hawajui hata wanachotetea kila mwanaccm na tafsiri yake. Imekua taabu kama kuna uwezekano tuletewe ya kiswahili au tuwaombe wale kina Luphuphu na Dj Mark wahusike katika hili maana watu wazima wanaumbuka na lugha za watu.
 
Back
Top Bottom