Steve ameshamaliza kazi inflamatory allegations!! Kwishney!!unatetemeka assassinator ha ha mabashite ya ccm munaumwa kipanda uso majambazi wauaji wakubwa wanyonya damu wanywa damu mutakomaa magufuli sijui hata hapo comorro ataweza kwenda hofu hofu
Steve ameshamaliza kazi inflamatory allegations!! Kwishney!!unatetemeka assassinator ha ha mabashite ya ccm munaumwa kipanda uso majambazi wauaji wakubwa wanyonya damu wanywa damu mutakomaa magufuli sijui hata hapo comorro ataweza kwenda hofu hofu
Wamevurugwa kweli kweli!Nchi hii kwa miaka mingi tulizoea wizi na rushwa au tusemavyo, ufisadi. Nchi iliendeshwa kizembe sana lakini walio wengi wenye uwezo wa kugusa keyboard, tulifaidika na hatukulalamika maana tuliruhusiwa kuiba, na ufisadi. Enzi hizi za magufuli! Acha wee! Mtu ameshindwa kukumbatia mshahara wa laki 8 hadi mwisho wa mwezi, na anajiita afisa! Uadui umeongezeka eti watu wanatafuta mrithi wa mtu aliye hai.
Mwezi mmoja uliopita ushabiki mitandaoni ulikuwa kwa Membe. Ikawa Membe weeee hadi akawekewa akili asizokuwa nazo! Imekufa hiyo! sasa kaibuliwa Lissu ambaye hajawahi hata kuzungumzia uchumi, yeye kila siku utawala wa sheria. Maumivu yote anapewa yeye sasa kwa kuamini anaweza kurithi urais. Naona yote haya ni Bure tu maana sasa naye anapewa hata fikra asizokuwa nazo. Eti mazungumzo yake kule BBC yametia fora. Naona tunatamani na kusema iko siku rais mwingine ataturuhusu kuiba lakini, kwa miaka hii tulie tu!
HahahahaTatizo la makamanda wanajua interview imekuwa successful kulingana na idadi ya mishipa usoni iliyorecordiwa .hakiyanani wasipochange aina ya siasa kuna hatari ya kuwekwa vimada kwa huu ushoga unaotrend l
Mna akili wewe na nani?Sasa wewe ulikuwa hujui kama mimi nilibadili ID wewe ndio saizi yangu Msenge wewe... akili yako iko miguuni unataka kujifanya unajua sana, kwa taarifa yako wasiojua kiingeleza ndio mara nyingi wamekuwa wakituburuza kuanzia Sekondari, UDSM hadi elimu Masters.wazungu wenyewe wanatuambia kuwa sisi hatujui lugha lakini tunaakili sana.
mutasema yote maana hamuamini magufuli hakuna hata chombo kimoja cha kimataifa kimewahi kumualika maana wanajuwa ni upepo mtupu maana hawezi hata kuzungumza cha maana kwa kiswahili itakuwa kiingerezaLissu ni mmoja wa wana sheria mwenye lugha hafifu. Kama kaelewa kwa nini wasomi tusielewe. Mtikila (RIP) alikuwa ni mmoja wa wana siasa wenye english safi saana! Ungempenda! Lakini hii eeeh! eeeh! eeeh! ya Lissu, hoi!
Steve kamaliza mchezo! Inflamatory allegations!!mutasema yote maana hamuamini magufuli hakuna hata chombo kimoja cha kimataifa kimewahi kumualika maana wanajuwa ni upepo mtupu maana hawezi hata kuzungumza cha maana kwa kiswahili itakuwa kiingereza
Na ikifika siku ya kupiga Kura wote wanaipigia Kura ccm maana wako Kama mbayuwayuNchi hii kwa miaka mingi tulizoea wizi na rushwa au tusemavyo, ufisadi. Nchi iliendeshwa kizembe sana lakini walio wengi wenye uwezo wa kugusa keyboard, tulifaidika na hatukulalamika maana tuliruhusiwa kuiba, na ufisadi. Enzi hizi za magufuli! Acha wee! Mtu ameshindwa kukumbatia mshahara wa laki 8 hadi mwisho wa mwezi, na anajiita afisa! Uadui umeongezeka eti watu wanatafuta mrithi wa mtu aliye hai.
Mwezi mmoja uliopita ushabiki mitandaoni ulikuwa kwa Membe. Ikawa Membe weeee hadi akawekewa akili asizokuwa nazo! Imekufa hiyo! sasa kaibuliwa Lissu ambaye hajawahi hata kuzungumzia uchumi, yeye kila siku utawala wa sheria. Maumivu yote anapewa yeye sasa kwa kuamini anaweza kurithi urais. Naona yote haya ni Bure tu maana sasa naye anapewa hata fikra asizokuwa nazo. Eti mazungumzo yake kule BBC yametia fora. Naona tunatamani na kusema iko siku rais mwingine ataturuhusu kuiba lakini, kwa miaka hii tulie tu!
Kinachowaokoa CCM always wako flexible. Haina shaka kuwa kwa interview ya jana TL alikula za uso .Tatizo la makamanda ni kushindwa kwenda na wakati. Kama TL angekuwa anaresearch vyema ,akaacha mhemko aka act professionally anaweza akawa mzuri ila akili za makamanda mnazijua wenyewe mkiambiwa ni matusi kwenda mbele. Kiukweli leo alfajiri jamaa katoka kapa nafuu angeenda gym ubelgij labda angapunguza mzigo anaowatwisha walipa kodi ambazo hakucontribute hukoMabashite wa maccm hawana amani hiyo trailor bado film yenyewe sterling ndio kaamuka anayunyiza kimoja baada ya kingine by the way Lissu was highly respected by steve it was a friendly interview kama unamjuwa steven Lissu is gifted
Mkuu tatizo la hawa makamanda uchwara ni uelewa mdogo mbaya zaidi hawajui kuwa uelewa wao ni mdogo. Mtangazaji wa BBC Steve amemaliza kazi.... inflamatory allegations!! Lakini kwa kuwa hawajitambui hawataelewa maana yake kwa upana...!Kinachowaokoa CCM always wako flexible. Haina shaka kuwa kwa interview ya jana TL alikula za uso .Tatizo la makamanda ni kushindwa kwenda na wakati. Kama TL angekuwa anaresearch vyema ,akaacha mhemko aka act professionally anaweza akawa mzuri ila akili za makamanda mnazijua wenyewe mkiambiwa ni matusi kwenda mbele. Kiukweli leo alfajiri jamaa katoka kapa nafuu angeenda gym ubelgij labda angapunguza mzigo anaowatwisha walipa kodi ambazo hakucontribute huko
Siyo siri ndio maana Steve ametaja mswaada sheria kandamizi ya vyama vya siasa na kubanwa vyombo vya habari.Stephen Suckur anazijua habari za Tz kana kwamba ni Mbongo alafu mdadisi sana cheki alivyombana Lisu atoe ushaidi wa kuwa ameshambuliwa na Serikali ? Hapa Lisu hajajibu vizuri amebaki na ushaidi tu wa mazingira
Alafu jamaa sometimes anaongea mambo na yuko na Statistical data angalia wakati mnahoji kuusu achievements za serikali ya magufuli kusuhu kuondoa watumishi hewa kwenye payroll? na kuongezeka kwa ukanyaji wa mapato
Bwana Stephen ni jembe sana yuko aware na political situation ya Tz lakini hata Lisu yuko vizuri sana hajaburuzwa kwenye interview alikuwa Straight forward hana hesitations yuko fluent in short naweza sema ilikuwa ni battle of words sio interview ya kitoto
Sent using Jamii Forums mobile app
Angalia interview uone jamaa alivyojikanyaga, kila swali akiulizwa hata linalomhusu yeye anajibu PRESIDENT MAGUFULI....! Mtangazaji anamwambia mimi najua kuhusu Magufuli, nakuuliza kuhusu wewe....! Lissu povu mdomoni!Nilichogundua lisu angekua amefanikiwa Leo mabandiko ya chadema yangukua mengi na watu wa CCM wangekua wanafanya kazi ya kudifendi ,ila mambo yamegeuka chadema ndio wanadifendi
kwi kwi maccm hapo flexible au wanaexist kwa ajili ya polisi jeshi na TISSKinachowaokoa CCM always wako flexible. Haina shaka kuwa kwa interview ya jana TL alikula za uso .Tatizo la makamanda ni kushindwa kwenda na wakati. Kama TL angekuwa anaresearch vyema ,akaacha mhemko aka act professionally anaweza akawa mzuri ila akili za makamanda mnazijua wenyewe mkiambiwa ni matusi kwenda mbele. Kiukweli leo alfajiri jamaa katoka kapa nafuu angeenda gym ubelgij labda angapunguza mzigo anaowatwisha walipa kodi ambazo hakucontribute huko
Wanahabari wetu wajifunze kupitia Interview hiiSiyo siri ndio maana Steve ametaja mswaada sheria kandamizi ya vyama vya siasa na kubanwa vyombo vya habari.
ha ha uzuri kila mtu kaangalia hiyo video what a publicity president magufuli the worlds enemyAngalia interview uone jamaa alivyojikanyaga, kila swali akiulizwa hata linalomhusu yeye anajibu PRESIDENT MAGUFULI....! Mtangazaji anamwambia mimi najua kuhusu Magufuli, nakuuliza kuhusu wewe....! Lissu povu mdomoni!
wataweza wwao interview zao nimasifa na mapambio
Wewe unaexist kwa ajili ya nani?kwi kwi maccm hapo flexible au wanaexist kwa ajili ya polisi jeshi na TISS
Una uwezo mdogo sana wa kuelewa Mambo. Nyie pindisheni ukweli ila sindano imepenya. Na bado CNN hadi mtakimbia na chup mkononi. Kama hujui kilichosemwa omba utafsiriwe.Mkuu tatizo la hawa makamanda uchwara ni uelewa mdogo mbaya zaidi hawajui kuwa uelewa wao ni mdogo. Mtangazaji wa BBC Steve amemaliza kazi.... inflamatory allegations!! Lakini kwa kuwa hawajitambui hawataelewa maana yake kwa upana...!